munyambilisi
Senior Member
- Jul 28, 2015
- 192
- 71
Akamfilisi Chenge na Walanguzi wa CCM
Sheria kuchukua mkondo wake.
MAJIZI siyo ya kuchekea.
duuuh Lowasa fisadi wa ajabu sana ....mabilioni yote aliyonayo mpaka Magufuli anataka kumfilisi anahangaika kutafuta bilion tano
Sasa KWA TAARIFA YAKO, LOWASSA AKIPITA JK NA MWANAE NDO WATAFILISIWA VIBAYA MNO