Magufuli kumfilisi Lowassa

Magufuli kumfilisi Lowassa

CCM imefanya mengi ila haimaanishi kuwa hakuna mapungufu, ndio maana kwanza tukamkataa Lowassa kuwa mgombea wetu ili tuubadili mfumo wa kuwa na watu kama yeye, Tukamuweka Magufuli ambae ana rekodi nzuri ya utumishi wenye mafanikio na ambae mpaka sasa ameweka wazi kuwa haridhishwi na utendaji wa waliomtangulia pamoja na kuainisha vipaumbele kadhaa ambavyo ukiviangalia vina kila sababu ya kuleta mabadiliko ya kweli kwetu Watanzania.
Kwa historia yake ilivyo na kwa ushahidi ulio wazi, atatekeleza hayo yote.

Uraisi hawezi. Atavurunda tuu. Simwamini na kura yangu hapati. Mapungufu ni mengi kuliko maendeleo ukilinhanisha na rasilimali tulizonazo. Aendelee kukudanganya wewe na familia yako.
 
Tushaanza tayari kuwafirisi hawa wahunu ila ngoma itaeleweka vizuri tukishika hatamu ..tutaanza na Tanesco ubungo
 
Wafuasi atakaokwenda nao SEGEREA, UKONGA au KEKO.

Huko segerea na ukonga atapelekwa kwa ushahidi gani wewe??acha kutokwa maw povu kwa chuki zako;leo ni miaka 8 tangu EL alipojiuzulu u pm;mpaka leo ushahidi hakuna.hata kina mwakyembe pamoja na kuaminiwaw na bunge hawakumhoji wakati wanatafuta ushahidi.
 
Hahahahaha eti Magufuli ni maarufu.... Hahahaha, haya ngoja nikuache.... Ila kama unataka kujua ulisemalo ebu tembelea hapa Sumve afu utake jina la Magufuli kama wanamjua.... Hahahahaha endeleeni kumdanganya...

Anapozomewa kama jana Mbeya ndio nafkiri anaanza kupata akili kuwa hali ni ngumu...

Kuzomewa ndio siasa zenyewe hizo na ndio vionjo vya siasa huwez ungwa mkono na watu wote .
Ukitizama ile video ni vijana wachache tu ndio walikuwa wanapiga kelele ambao walikuwa wapo sehem mmoja tu na sio watu wote walizomea

ukilinganisha na ile ya mgombea mwenza WA ukawa Juma Duni watu walimzomea wote hadi security ikabidi imuondoe sabab ni hatari kwake.
 
Uraisi hawezi. Atavurunda tuu. Simwamini na kura yangu hapati. Mapungufu ni mengi kuliko maendeleo ukilinhanisha na rasilimali tulizonazo. Aendelee kukudanganya wewe na familia yako.

Tatizo lenu huwa hamuwezi kujibu hoja kwa hoja, ila sishangai sana kwa sababu siku zote huwa hamna hoja za msingi. Familia yangu inakuhusu vipi?
Lowassa alikuwa wapi? Nani aliejimilikisha mali za umma? Ni nani aliegawa maeneo kwa wahindi? Nashera imejengwa kwenye eneo lililokuwa likimilikiwa na nani kabla ya Lowassa kulichukua?
Wengine sisi hatuwezi kuifanya nchi yetu kama maabara ya kufanyia experiment ya uongozi kwa kumpigia kura mtu yeyote tu kwa kisingizio cha changes.
 
DSC00825.jpg

Matokeo ya uchaguzi yakitangazwa, kabla hata Magufuli hajaapishwa kuwa rais mpya, kuna watu watakimbia hii nchi, wa kwanza kukimbia atakuwa Lowassa. Tusubiri tuone.
 
Unamfili nini kwani yeye ajawahi kugawa nyumba za serikali kwa vimada na ndugu mali zake ni za halali!Labda yeye ajifilisi nyumba sa serikali.
 
Hebu niulizie kwa magufuli hapo lini atarudisha hela zetu alizonunulia kivuko chakavu? Lini atarudisha hasara aliyosababishia serikali kwa kukurupuka kukamata meli yenye vibali vya kimataifa vya uvuvi? Ukiona kama anapata kigugumizi hebu mwulize mbona barabara zake ziko chini ya kiwango? Mathalan toka chato kwenda bukoba viraka ndio vimejaa barabaran?

Bora JPM kafanya tukaona. mahakama nao wamekuwa bingwa wa kugeuza uongo kuwa ukweli,

Kwa hiyo inawezekana UKAWA ndio mlioshiriki kuharalisha wavuvi haram wa bahari kuu kuonekana walikuwa sahihi ili mpate hoja.

Yaan siasa zimewalevya hata mambo ya msingi hamuungi mkono. Wewe lofa kbs, issue hapa El ni Fisadi hapati nchi.

Tunamsubiri Oct 25 kumkata bila kuwaangalia mashabiki wake UCHWARA km wewe.
 
Hivi tukiacha mahaba na ushabiki wa vyama, kuna mtu anaweza kutuelezea utajiri wa hawa wagombea wa urais. Yaani

ningependa kujua historia zao fupi na utajiri wao jinsi walivyoupata. Tuache jazba Tanzania yetu wote na mabadiliko

chanya ndio tunayoyataka.#MabadilikoChanyaSasa.
 
Unamfili nini kwani yeye ajawahi kugawa nyumba za serikali kwa vimada na ndugu mali zake ni za halali!Labda yeye ajifilisi nyumba sa serikali.

Kwani ana vimada dunia nzima? tutajie idadi ya nyumba alizowapa vimada wake
 
Baada ya Lowasa kuapishwa kuwa raisi wa tanzania.
Aliyeuza nyumba za serikali kwa hawara zake ajiandae kwenda segerea.
Ripoti ya CAG mwaka huu inaonyesha upotevu wa bilioni.262 kwenye wizara ya ujenzi waziri husika ajiandae kwenda segerea.

Tatizo huelewi kuwa Mbowe ashaweka reverse kwenye gari la UKAWA halafu wewe mawazo yako yanakufikirisha kuwa bado unaenda mbele. Wenye IQ kubwa washashuka.
 
Bora JPM kafanya tukaona. mahakama nao wamekuwa bingwa wa kugeuza uongo kuwa ukweli,

Kwa hiyo inawezekana UKAWA ndio mlioshiriki kuharalisha wavuvi haram wa bahari kuu kuonekana walikuwa sahihi ili mpate hoja.

Yaan siasa zimewalevya hata mambo ya msingi hamuungi mkono. Wewe lofa kbs, issue hapa El ni Fisadi hapati nchi.

Tunamsubiri Oct 25 kumkata bila kuwaangalia mashabiki wake UCHWARA km wewe.

Walimhujumu makusudi ionekane hawezi ili waje wapate la kuongea ..hivyo hivyo wamemzonga JK aonekane hawezi ili wapate cha kusema, Ole ..Ole ..Ole wao hawa watu wafitini.
 
CCM pamoja na wapambe wao hawana Sera mwaka huu zaidi ya kupiga show jukwaani za wasanii,kumsema Lowassa kila siku wakati kuna wagombea zaidi ya wawili hii inaonesha wazi kuwa Lowassa na Ukawa ndio ajenda zao maana hawana jipya kwa Watanzania zaidi ya kutupa umasikini.
 
Miaka 54 yote mlokaa madarakani mbona hamkufanya hayo bado mwataka kudanganya Watz

Development won't come over night, it needs steps, time, straregies and procedures,

Kutokana na maendeleo yaliyofikiwa kielimu ndo maana ipo hoja ya tatizo la ajira.

Baada ya uhuru tatizo lilikuwa upungufu wa wasomi na wataalam ndio maana viwanda vilianguka vilivyoanzishwa.

Naamini tz ya JPM itakuwa ya viwanda kulingana na ukweli wa sasa maana wasomi wengi mtaani wanasubiri kazi, na kiukweli ule mchezo wa kufanya kazi kwa mazoea na uwepo wa fursa nyingi za kaz kama zaman sa hv hakuna. Ukicheza unatupwa nje.

Namshauri JPM asipoteze muda kufumua sera, sheria ikiwezekana hata likatiba achane nalo ahimize watu wapige kazi tu. HAPAKAZI TU
 
jizi hili kwenye mwamvuli wa mtu mwema, atuamie:-
1.nyumba za taifa ziko wapi?
2.pesa za kuwalipa wakandarasi ziko wapi?
3.pesa za kuwalipa wavuvi wa kichina analipa nani? Kama ni serekali na sio yeye kwanini alituingizia hasara katika umaskini huu bado!!!then awe raisi wa wapi?
4.wamuulize j.k kwa bhaharesa walikurupuka wakamlipa nini? Kama sio hasara kwa taifa hili? Huyu jamaa ana thinking problems...na watu kama hawa wasio na hekima wanaweza kulisababishia taifa hasara kubwa sana !!!!!badala ya kupiga kampeni yeye anapiga watu mkwara:-
1.wawekezaji.
2. Wafanyabiashara
3.watumishi mbalimbali.
Nb:
ATApoteza uchumi mara mbili ya utawala uliopita huyu.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom