Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 22,702
- 32,480
Mm nikisema bora asiende nje ya nchi kuficha aibu yetu wanafiki wanalalamaJee jambo hili ni LA kujivunia au ni kujitangaza kuwa vyombo vyetu vya uchunguzi vinavyo fanya vetting ya viongozi ni dhaifu?
Nimesoma mahali kuwa mkuu wetu akiwa Kenya ametamka katika mkutano wake kuwa tuliwahi kuwa na waziri wa Elimu Mkenya nae ni Joseph Mungai.
Mimi nadhani huo ulikuwa udhaifu kwa nafasi kama hiyo kumpa mtu asiye raia, sasa kwa nini jambo hilo tulizungumze nje kama la fahari? Au mie ndio sijamwelewa mkuu pengine ndio undugu wenyewe na Wakenya?