Magufuli: Joseph Mungai asili yake ni Kenya

Magufuli: Joseph Mungai asili yake ni Kenya

Hata bashe na rage isumail nasikiaga watu wanasema ni wasomal. Na hao ni viongozi huko ccm
 
Hujui kuwa Kuna mtanzania mwanajeshi
Ktk jeshi la Marekani!!!?

Tafuta kick nyingine
Wazee wakumeza mnasubiri kutafuniwa
Yaani sasahivi hakuna jipya ni kungojea Rais aongee tu mnatafuta kick mitandaoni!!!
 
MUNGAI UKOO WAO UKO MPAKA HUKO KENYA
THE MUNGAI'ANS....
ALIKUWEPO MWANASIASA MASHUHURI KENYA SOME BODY MUNGAI WOTE NI KITU KIMOJA NA MUNGAI WA TANZANIA...

OVA
 
Mwambie lukuvi akampore hati za viwanja Mumbai basi...

OVA
Hujui kuwa Kuna mtanzania mwanajeshi
Ktk jeshi la Marekani!!!?

Tafuta kick nyingine
Wazee wakumeza mnasubiri kutafuniwa
Yaani sasahivi hakuna jipya ni kungojea Rais aongee tu mnatafuta kick mitandaoni!!!
 
Jee jambo hili ni LA kujivunia au ni kujitangaza kuwa vyombo vyetu vya uchunguzi vinavyo fanya vetting ya viongozi ni dhaifu?
Nimesoma mahali kuwa mkuu wetu akiwa Kenya ametamka katika mkutano wake kuwa tuliwahi kuwa na waziri wa Elimu Mkenya nae ni Joseph Mungai.
Mimi nadhani huo ulikuwa udhaifu kwa nafasi kama hiyo kumpa mtu asiye raia, sasa kwa nini jambo hilo tulizungumze nje kama la fahari? Au mie ndio sijamwelewa mkuu pengine ndio undugu wenyewe na Wakenya?
***
DO YOU KNOW WHAT OUR PRESIDENT TRYING TO DO?,.../
KISAIKOLOGIA UKO CHINI SANA.../
•RAIS WETU ANACHOJARIBU KUFANYA NI CHEMA KWELI KWELI,ANAONGEZA GUNDI KATIKA UJIRANI WETU,KWAMBA SISI TU WAMOJA ZAIDI,NA PIA KUWAJENGEA COMFIDENCY YA HALI YA JUU ,WAJE KUWEKEZA NA HUKU IN A VERY TRICKLY WORDS.
N.B,/ hakuna ubaya wowote kuwa na waziri,mkenya au mrwanda au mganda.EXCEPT / PRESIDENCY.
 
Kwa muktadha aliozungumzia hakuna jambo la ajabu....
 
Mungai is just a poor leader in person not because he is of Kenya origin
 
Jee jambo hili ni LA kujivunia au ni kujitangaza kuwa vyombo vyetu vya uchunguzi vinavyo fanya vetting ya viongozi ni dhaifu?
Nimesoma mahali kuwa mkuu wetu akiwa Kenya ametamka katika mkutano wake kuwa tuliwahi kuwa na waziri wa Elimu Mkenya nae ni Joseph Mungai.
Mimi nadhani huo ulikuwa udhaifu kwa nafasi kama hiyo kumpa mtu asiye raia, sasa kwa nini jambo hilo tulizungumze nje kama la fahari? Au mie ndio sijamwelewa mkuu pengine ndio undugu wenyewe na Wakenya?
Sisemi kitu maana
 
Nchi inaongozwa kama boma la mtu
 
Mungai ni mkenya na ndio maana aliharibu elimu bila kujali lolote na akijua hafanywi lolote!
 
Kwa wale wa Zamani wanakumbuka hata baada ya kuacha uwaziri Uhamiaji walipata kuwa na mgogoro na Mungai kama ule wa Ulimwengu. Hivyo wachangiaji wanaosema sijui kazaliwa Iringa hawana hoja kwai Uhamiaji walikuwa hawajui kazaliwa Iringa?
Hoja hapa ni jee ni sahihi mambo yenye mapungufu twaweza kuyaxungumza humo nje kwa fahari?
 
Kwa sababu kila hotuba hamsikilizi kwa makini,mnaharakisha mtafute cha kuja kuandika JF ndo maana hujanukuu vizuri,hajasema tuliwahi kuwa na waziri wa Elimu Mkenya nae ni Joseph Mungai,amesema tuliwahi kuwa na waziri wa elimu mwenye asili ya Kenya.Na usiedit post yako.In short.. Joseph Mungai wazazi wake ni raia waliohamia Tz wakitokea Kenya,ila yeye ni mzaliwa wa Iringa.Na mkuu katoa kama mfano mzuri tu.Mnataka Raisi aongee nini sasa?,maana kila anachoongea mnakurupuka kukosoa tu.
Lazima kila asemacho Rais kifuatiliwe yeye sio kama wewe wala sio kama Msanii wa kuchekesha yeye ni Rais.
Ndio maana anaandaliwa hotuba ili kila kitu kiende sawa.
 
Mungai baba mkenya, mama mnyalukolo, baba yake alihamishiwa mafinga kwenye mashamba ya chai ya brook bond mufindi miaka ya 1930 mwanzoni, kutokana na sheria si mkenya ila ana asili ya kenya
 
Unashangaa nini na weye?! Rais kasema asili ya Mungai ni Kenya, hajasema Mungai ni Mkenya, na wengi wetu hapa tanzania kama zilivyo nchi nyingi duniani ikiwemo Marekani, Uingereza na Urusi zina jamii nyingi za wahamiaji, hata wewe mwenyewe tukikuweka kwenye darubini twaweza kukuta ni Mrundi, mkongo au mnubi!

Hakuna la ajabu hapo, Joseph Mungai ni raia aliyelitolea jasho taifa hili kama wengine wanaojiona asilia japo mimi namlaani sana kwa kutuharibia mitaala ya elimu, kwa hilo ni mshenzi sana.
 
Inawezekana kabisa! Mungai akawa mkenya, maana aliharibu kabisa mfumo wa elimu enzi yake! nausikute tuliwekewa pandikizi bila sisi kujua! ili wakenya waendelee kupata nafasi za kazi inchini kwetu!
 
ama kweli leo ndo nimeamini kuwa sisi wabongo tumelogwa, yaani hatuwezi kufikiria bari kuangaria mabaya tu na hatuwezi kusoma bari kuona mabaya tu,
mtu kazariwa Tanzania, ksomea Tanzania, kakuria Tanzania kaoa tanzania kazaa watoto tanzania , leo tunasema eti sio MTanzania, inaonyesha tulivyo na fikra fupi
Wewe utakuwa sio mtanzania, angalia maneno yako tafadhari

Bari-Bali
Kuangaria- kuangalia

Kajifunze kiswahili kwanza ndio uje kutunishiana misuli kwenye mada ngumu kama hizi
 
Ni kinyume cha katiba kuwa na waziri ambaye sio mtanzania kama yupo anayeshibikia ajue anashabikia uvunjifu wa katiba
 
Mawaziri wenye asili ya nje walikuwepo wengi tangu enzi za mwl Nyerere,walikuwa Dereck Brayson,Amir Jamal,Alnoor Kassum lakini ni watanzania hivyo tusikuze jambo
 
Uyu ni mtu aliezaliwa Tanzania kwa kazi maalum. Kazi hiyo ilikua ni kuharibu mfumo mzima wa elimu yetu na alifanikiwa kuharibu mfumo huo.
Kuna njia nyingi za kupenyeza kachero kwenye serikali kuu.
Sio kwavile amezaliwa Tz ndio awezi kufanya hivyo,swali ni kwanini alizaliwa Tz na ni kwanini alifanya yote hayo kwenye elimu yetu?
Unapata jibu kuwa alizaliwa Tz kwa kazi maalum
 
Back
Top Bottom