Magufuli: Joseph Mungai asili yake ni Kenya

Kwa sababu kila hotuba hamsikilizi kwa makini,mnaharakisha mtafute cha kuja kuandika JF ndo maana hujanukuu vizuri,hajasema tuliwahi kuwa na waziri wa Elimu Mkenya nae ni Joseph Mungai,amesema tuliwahi kuwa na waziri wa elimu mwenye asili ya Kenya.Na usiedit post yako.In short.. Joseph Mungai wazazi wake ni raia waliohamia Tz wakitokea Kenya,ila yeye ni mzaliwa wa Iringa.Na mkuu katoa kama mfano mzuri tu.Mnataka Raisi aongee nini sasa?,maana kila anachoongea mnakurupuka kukosoa tu.

..sasa mkulu alitaka kusema nini?

..Mungai ni Mtanzania kama yeye Mkulu alivyo Mtanzania.

..Au alitaka kusema Utanzania wa Mzee Mungai una mapungufu kwasababu baba yake ametokea Kenya?

Cc MK254, Chakaza
 
Rais wetu ametusaidia sana kujua makosa yetu na kuanza kuchukua hatua. Amesema sawa kuwa tunaye Mkenya aliyewahi kuwa waziri wa wizara kadhaa Tanzania. Tulihitaji kusikia Raisi akisema ukweli huu kuelewa kwa nini Joseph Mungai - Mkenya aliamua kuua elimu ya Tanzania iliyowekwa vizuri na waasisi wa taifa letu, ili kuwapa nafasi wakenya wenzake kutawalala uchumi wetu

Huyu ndio waziri aliyefuta mitaala ya Kilimo na Biashara katika nchi ya Tanzania. Sasa tuna confirm kuwa huyu hakuwa waziri bali ni Mhaini, hiki kitu kinalisumbua taifa mpaka sasa. Mpaka leo hii huyu bwana hajawahi kutuambia ni nani anayemtumikia hata kufuta mitaala ambayo ni uhai wa taifa letu, letu hapa tuko tunamchekea, angalia taifa letu leo, vijana hawajui biashara kwa nini wakati tulikua na mchepuo wa E.C.A, uliyotoa viongozi motomoto leo pale Shycom na baadae Weruweru, Shule za Galanosi zilikua na utashi mkubwa kwenye masomo ya Kilimo hili jambazi likaja kufuta leo hii bado yuko nchini kwetu anatu sanifu, kaua taifa huyu ni mhaini kama alivyoanza rais naomba watu walioko tayari wani pim twendeni tukafungue kesi ya uhaini huyu bwana tumuweke mahali pake. Je sio yeye aliyefuta michezo mashuleni, is this your hero?

Na hata sasa amejiingiza kwenye wilaya yetu ya Rungwe kusambaratisha zao la parachichi na kuwapashida wananche wa kule, nashangaa wanyakyusa wanamchekea, Mkulima mzungu Robert aliahidi kuwalipa wakulipa malipo ya pili baada ya mauzi kufuatia yale ya kwanza ya sus 320/- kwa kilo (can you imagine)? aliposema tu anapeleka gawio la pili Mungai na team yake wameingilia hata kufanya harakati za kumnyang'anya shamba lake ili asiwape unafaa wakulima wa parachichi. Kama anabisha aje haba ajieleze ama sivyo tusubirini mahakamani, wakenya hawawezi kuitakia mema Tanzania, ulimwengu wao ni wa biashara tu ua adui songa mbele MUngai ni adui wa taifa hili,Asante sana Rais wetu
 
nndondo,

..Joseph Mungai amezaliwa Tz.

..kama kuna mazuri ameyafanya atakuwa amejifu nza Tanzania.

..na kama kuna mabaya ameyafanya atakuwa amejifunza hapahapa Tanzania.

NB:

..alipofuta michezo mashuleni akiwa waziri; Raisi, Makamu, Waziri Mkuu, na wenzake ktk cabinet walishindwa nini kumzuia?
 
ama kweli leo ndo nimeamini kuwa sisi wabongo tumelogwa, yaani hatuwezi kufikiria bari kuangaria mabaya tu na hatuwezi kusoma bari kuona mabaya tu,
mtu kazariwa Tanzania, ksomea Tanzania, kakuria Tanzania kaoa tanzania kazaa watoto tanzania , leo tunasema eti sio MTanzania, inaonyesha tulivyo na fikra fupi
 
Unataka kumtetea mungai kwa kuharibu Elimu yetu??hakwepi lawama za moja kwa moja kwani yy ndo alikuwa waziri Mwenye dhamana. Na kama kazaliwa Tanzania na kusoma Tanzania kwa mtahala aliokuta na ukampa Elimu zuri kwa nn baada ya kupewa madaraka akaanza kuvuruga Elimu yetu.

Wala kufuta michezo mashuleni sio kitu kikubwa kama unavodhani...vikubwa alivofanya Vya kipuuzi ni kufuta masomo ya Kilimo...Biashara na kuunganisha masomo mawili tofauti Kabisa na kusababisha mkanganyiko mkubwa katika ufundishaji na kwa wanafunzi kwa ujumla.

Kwa mfano somo la kemia liliunganishwa na somo la fisikia na likapewa jina lipya lililojulikana kama Chemophysics.. Hv ndo uchafu gani huu??..unachanganya mafuta na maji???vitachanganyika kweli kwa akili yako.

Mungai ni janga kwenye Elimu yetu na nadhani mukulu alitakiwa kuwaambia wakenya kuwa...tulishakuwa na waziri Mwenye ASILI ya Kenya ambaye aliharibu sana mfumo wa Elimu yetu na tusingependa atokee mwingine..

Naomba nimalizie na "OVA" kwa leo.

Mtu ambaye ameiharibu sana elimu ya Tanzania na michezo!!
Nchi gani duniani ambayo haithamini michezo?
 
Unataka kumtetea mungai kwa kuharibu Elimu yetu??hakwepi lawama za moja kwa moja kwani yy ndo alikuwa waziri Mwenye dhamana. Na kama kazaliwa Tanzania na kusoma Tanzania kwa mtahala aliokuta na ukampa Elimu zuri kwa nn baada ya kupewa madaraka akaanza kuvuruga Elimu yetu.

Wala kufuta michezo mashuleni sio kitu kikubwa kama unavodhani...vikubwa alivofanya Vya kipuuzi ni kufuta masomo ya Kilimo...Biashara na kuunganisha masomo mawili tofauti Kabisa na kusababisha mkanganyiko mkubwa katika ufundishaji na kwa wanafunzi kwa ujumla.

Kwa mfano somo la kemia liliunganishwa na somo la fisikia na likapewa jina lipya lililojulikana kama Chemophysics.. Hv ndo uchafu gani huu??..unachanganya mafuta na maji???vitachanganyika kweli kwa akili yako.

Mungai ni janga kwenye Elimu yetu na nadhani mukulu alitakiwa kuwaambia wakenya kuwa...tulishakuwa na waziri Mwenye ASILI ya Kenya ambaye aliharibu sana mfumo wa Elimu yetu na tusingependa atokee mwingine..

Naomba nimalizie na "OVA" kwa leo.

..nakubaliana na 99% ya hoja zako.

..sasa 1% nisiyokubaliana na wewe ni madai kwamba Joseph Mungai ni
Mkenya.

..zaidi mimi nadhani mtu anapofanya mambo mazuri apongezwe yeye binafsi. Tusianze kupongeza dini yake, kabila lake, jinsia yake, au asili ya wazazi wake.

..vivyo hivyo kwa yule aliyetenda makosa kama ufisadi tusianze kumlaumu kwa kuhusisha dini yake, kabila, ...
 
Nisome vzuri Mkuu wangu..mm wala sijasema mungai ni mkenya....nimesema ana asili ya kenya...(tukishakuwa na waziri Mwenye asili ya kenya)

..nakubaliana na 99% ya hoja zako.

..sasa 1% nisiyokubaliana na wewe ni madai kwamba Joseph Mungai ni
Mkenya.

..zaidi mimi nadhani mtu anapofanya mambo mazuri apongezwe yeye binafsi. Tusianze kupongeza dini yake, kabila lake, jinsia yake, au asili ya wazazi wake.

..vivyo hivyo kwa yule aliyetenda makosa kama ufisadi tusianze kumlaumu kwa kuhusisha dini yake, kabila, ...
 
Rais wetu ametusaidia sana kujua makosa yetu na kuanza kuchukua hatua. Amesema sawa kuwa tunaye Mkenya aliyewahi kuwa waziri wa wizara kadhaa Tanzania. Tulihitaji kusikia Raisi akisema ukweli huu kuelewa kwa nini Joseph Mungai - Mkenya aliamua kuua elimu ya Tanzania iliyowekwa vizuri na waasisi wa taifa letu, ili kuwapa nafasi wakenya wenzake kutawalala uchumi wetu

Huyu ndio waziri aliyefuta mitaala ya Kilimo na Biashara katika nchi ya Tanzania. Sasa tuna confirm kuwa huyu hakuwa waziri bali ni Mhaini, hiki kitu kinalisumbua taifa mpaka sasa. Mpaka leo hii huyu bwana hajawahi kutuambia ni nani anayemtumikia hata kufuta mitaala ambayo ni uhai wa taifa letu, letu hapa tuko tunamchekea, angalia taifa letu leo, vijana hawajui biashara kwa nini wakati tulikua na mchepuo wa E.C.A, uliyotoa viongozi motomoto leo pale Shycom na baadae Weruweru, Shule za Galanosi zilikua na utashi mkubwa kwenye masomo ya Kilimo hili jambazi likaja kufuta leo hii bado yuko nchini kwetu anatu sanifu, kaua taifa huyu ni mhaini kama alivyoanza rais naomba watu walioko tayari wani pim twendeni tukafungue kesi ya uhaini huyu bwana tumuweke mahali pake. Je sio yeye aliyefuta michezo mashuleni, is this your hero?

Na hata sasa amejiingiza kwenye wilaya yetu ya Rungwe kusambaratisha zao la parachichi na kuwapashida wananche wa kule, nashangaa wanyakyusa wanamchekea, Mkulima mzungu Robert aliahidi kuwalipa wakulipa malipo ya pili baada ya mauzi kufuatia yale ya kwanza ya sus 320/- kwa kilo (can you imagine)? aliposema tu anapeleka gawio la pili Mungai na team yake wameingilia hata kufanya harakati za kumnyang'anya shamba lake ili asiwape unafaa wakulima wa parachichi. Kama anabisha aje haba ajieleze ama sivyo tusubirini mahakamani, wakenya hawawezi kuitakia mema Tanzania, ulimwengu wao ni wa biashara tu ua adui songa mbele MUngai ni adui wa taifa hili,Asante sana Rais wetu
Mhaini???[emoji86]
 
Nadhani Rais kafikisha ujumbe kiaina.
Huyu Mungai ni Mkenya aliyetuharibia elimu yetu kwa kiwango cha lami.

Hakuna mkenya anayeitakia mema Tz, never.
Hawa watu always wako ktk win situation all the time hawajui kwako utakufa au utaangamia kwa lipi.

Mungai alitumiwa na wakenya vizuri sana kuangamiza elimu yetu iliyokuwa bora sana.

Nasema hiviii Mungai ni mkenya hiyo kuzaliwa Tz ilimkutia tu huku lkn hawa watu hawaachi origin yao .
 
Yeaah..nadhani Mheshimiwa alikuwa sawa..alikuwa anajaribu tu kuwakumbusha Donda na Makovu waliyotuachia hawa jirani zetu...kupitia MUNGAI.....Alifuta michezo ili tubaki na taifa la MAZOMBI...Hakujua kuwa michezo ni kwa afya...!! Eti Profesa...
 
binafsi hotuba ya mtukufu nchi jirani imenifanya nijisikie vibaya sana kama raia ninayeipenda nchi yangu. naomba asiendelee kwenda nje abaki tu hapahapa nchini maana tulimchagua kuwatumikia watanzania na si mataifa ya nje. duh...
 
Kwa sababu kila hotuba hamsikilizi kwa makini,mnaharakisha mtafute cha kuja kuandika JF ndo maana hujanukuu vizuri,hajasema tuliwahi kuwa na waziri wa Elimu Mkenya nae ni Joseph Mungai,amesema tuliwahi kuwa na waziri wa elimu mwenye asili ya Kenya.Na usiedit post yako.In short.. Joseph Mungai wazazi wake ni raia waliohamia Tz wakitokea Kenya,ila yeye ni mzaliwa wa Iringa.Na mkuu katoa kama mfano mzuri tu.Mnataka Raisi aongee nini sasa?,maana kila anachoongea mnakurupuka kukosoa tu.
Mantiki yake ni kwamba huyo waziri alikuwa ni Mkenya.
 
Jee jambo hili ni LA kujivunia au ni kujitangaza kuwa vyombo vyetu vya uchunguzi vinavyo fanya vetting ya viongozi ni dhaifu?
Nimesoma mahali kuwa mkuu wetu akiwa Kenya ametamka katika mkutano wake kuwa tuliwahi kuwa na waziri wa Elimu Mkenya nae ni Joseph Mungai.
Mimi nadhani huo ulikuwa udhaifu kwa nafasi kama hiyo kumpa mtu asiye raia, sasa kwa nini jambo hilo tulizungumze nje kama la fahari? Au mie ndio sijamwelewa mkuu pengine ndio undugu wenyewe na Wakenya?

Amesoma kwenye hotuba aliyoandaliwa na wataalam wake au kaamua kushusha mistari ya kwake mwenyewe?
 
ama kweli leo ndo nimeamini kuwa sisi wabongo tumelogwa, yaani hatuwezi kufikiria bari kuangaria mabaya tu na hatuwezi kusoma bari kuona mabaya tu,
mtu kazariwa Tanzania, ksomea Tanzania, kakuria Tanzania kaoa tanzania kazaa watoto tanzania , leo tunasema eti sio MTanzania, inaonyesha tulivyo na fikra fupi
na wewe utakuwa mkuRia uliyekuRIa tanzania. r problem!
 
ama kweli leo ndo nimeamini kuwa sisi wabongo tumelogwa, yaani hatuwezi kufikiria bari kuangaria mabaya tu na hatuwezi kusoma bari kuona mabaya tu,
mtu kazariwa Tanzania, ksomea Tanzania, kakuria Tanzania kaoa tanzania kazaa watoto tanzania , leo tunasema eti sio MTanzania, inaonyesha tulivyo na fikra fupi
Hata wewe kwa hiki kiswahili chako nina wasiwasi utakuwa umezamia kutoka Burundi.
 
Pia Tanzania tumewahi kuwa na kiongozi wa juu ambaye ni mhutu kutoka Rwanda
 
Jee jambo hili ni LA kujivunia au ni kujitangaza kuwa vyombo vyetu vya uchunguzi vinavyo fanya vetting ya viongozi ni dhaifu?
Nimesoma mahali kuwa mkuu wetu akiwa Kenya ametamka katika mkutano wake kuwa tuliwahi kuwa na waziri wa Elimu Mkenya nae ni Joseph Mungai.
Mimi nadhani huo ulikuwa udhaifu kwa nafasi kama hiyo kumpa mtu asiye raia, sasa kwa nini jambo hilo tulizungumze nje kama la fahari? Au mie ndio sijamwelewa mkuu pengine ndio undugu wenyewe na Wakenya?

Alituharibia sana ili kujenga mazingira ya wakenya wenzake kuja kuchukua nafasi za watanzania, binafsi simwoni kama ni chochote
 
Back
Top Bottom