Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,649
- 5,083
Heshima kwenu wananchi wenzagu.
Nimestaajabu sana kusikia kuwa aliyekuwa waziri wa elimu katika serikali ya awamu ya tatu ndugu Joseph Mungai kuwa asili yake ni Kenya. (Katika hotuba ya Rais akiwa Kenya).
Baadhi ya viongozi ambao ama kwa kushfiwa wameshawahi kutajwa kuwa sio rais waTanzania ni Generali Ulimwengu, Hussein Bashe n.k.
Je, usalama wetu upoje kama watu ambao tunaweza kuwatuhumu sio raia huku tayari wameshawahi kushika nyazifa serikalini?
Hakuna wazawa asilia wasio na shaka yoyote ile?
Pengine nusu yaweza kuwa wengi wetu humu nchini sio watanzania kwa asili.
Tusibaguane, lakini uaminifu juu ya nchi yetu pendwa hatupaswi kuuweka rehani.