Magufuli is confused big time! Sikiliza

Magufuli is confused big time! Sikiliza

Halafu vijitu vinavyo kaa nje ya nchi vinalalamika sanaaaa... wakati havipo hata kwenye list ya walipa kodi wa Tanzania! Tumewachoka nyie wahamiaji embu tuacheni na Rais wetu jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii..... K zenu nyie!!! nyambafuuuuuuu
Ilikuwa hivyo hivyo Wakati wa uhuru ndio vilikuwa vikipiga Kelele kwenye Universities, ndio vilivyokuwa vikiwaandalia akina Nyerere, Kenyatta Lumumba, Mboya, Nkruma mikutano ya nje! Ndio Vilivyokuwa Vikipiga Kelele Washington, London New York na kwingine kuwa Mandela aachiliwe. Ni vijitu Nuksi sana!
 
Anajiandama Mwenyewe Kutetea Majambazi kama Lipumba na Makonda! Hujalazimishwa kuamini habari ndio hiyo!
wewe ni mhaini na huitakii mema TZ: Kazi Yenu Kulalamika Tu na Kupiga SOga - Nenda Katafute ShambA Ulime -MZIKI WA AWAMU HII HAMTAUWEZA
 
Hii audio ni ya gaidi aliyeshiriki mauaji ya askari wetu kule rufiji amekuja hapa kujitetea.
Ipeleke Mahakamani au Polisi, Ni audio yangu TL. Marandu, that will not work on me! my Public Record is established and immaculate! Nikushauri kwa nini Msinisingizie nauza Unga kama Mlivyomsingizia Askofu Gwajima na Mbowe? Bashite zero bin zero hajawafundisha?
 
wewe ni mhaini na huitakii mema TZ: Kazi Yenu Kulalamika Tu na Kupiga SOga - Nenda Katafute ShambA Ulime -MZIKI WA AWAMU HII HAMTAUWEZA
Jibu hoja Msomi na Mkweli huwa ajajibu kwa hoja au kukanusha usemi kwa fact unaishia kutukana kwa kuwa kila nilichosema ni kweli 100% Nitafutie nilichosema ambacho sio kweli ntakutumia $ 5000.00
 
Naona jamaa anatwanga maji kwente kinu, maana vichwa vyetu waafrika bado saaana so mwacheni magufuli afanye yake labda vichwa vyetu vitafunguka, [HASHTAG]#Tanzanians[/HASHTAG] are scared to stand up when something doesnt seem right, we need to have that kind of mentality where we as Tanzanians have to come together and tell these people so called viongozi that we aint scared. [HASHTAG]#Dolikekenyans[/HASHTAG]
 

Sasa mbona huyu anaeongea ndio haaminiki zaidi??? Tena akae mbali asitufanye wote ni mazuzu (manyumbu). Upumbavu alioufanya 2015 unatosha! Magufuli songa mbele baba, Tunakuombea. Majizi yamekusanyika pamoja ili yakuangushe yatashindwa! Labda waje na hoja makini ambazo hata ivo kwa sasa hawana. Daah.... nimemkumbuka sana dk Slaa. Naamini km angekuwepo na jinsi utawala wa Magufuli ulivyo makini, mambo yangeenda safi sana TZ.
 
Back
Top Bottom