Usio Upuuzi na Ukweli ndio Upi? Mimi kwa akili yangu ndogo nadhani, Upuuzi ni Kumwambia Jambazi, ati "Piga kazi" huo ndio upuuzi
Kuwaita watoto 7900 Wa watanzania Villaza huo ndio Upuuzi,
Kununua Ndege Uchwara wakati wamama wanajifuungulia sakafuni, hakuna chanjo, waalimu hawalipwi kwa wakati, watoto wanasomea chini ya Miti na vibanda vya nyasi huku wamekalia mawe huo ni Upuuzi
Kufukuza Watanzania 9000 kazi kwa kuwa na Vyeti feki na Kuwaita Majambazi na Majizi huku Ukimlinda Mkuu wa Mkoa aliyeiba vyeti, huo ni Upuuzi.
Kukwapua michango ya Wahanga wa Tetemeko na Kisha Kuwapa Biskuti mojamoja na majani ya chai huo ni Unyama na huo ni upuuzi hasa!
Kukwapua 2.7 Bilion hazina na Kuwahonga nazo Wabunge ili wapitishe sheria ya habari ya kikoloni huo ni wizi na huo ni upuuzi
Kukwapua Pesa hazina na Kuwalipa Waalimu wa sekondari na Msingi ili wajaze mikujano ya Mwenyekiti wa chama fulani na Kiongozi wa Serikali ambaye amechokwa kusikilizwa ni Upuuzi sana!
Saa nyingine nadhani watu kama wewe Masikini wa Shetani! Kazi Kubwa ya Vichwa vyenu ni vya kupambia shingo. Na kama mnabahati ya kuwa na Ubongo ni Kwa ajili ya Involuntary functions kama vile Kutoka jasho, kujua sasa ni saa ya kwenda kunya, kupiga chafya, kupepesa macho etc, na Kamwe, Kamwe sio Kufikiri.