Magufuli is confused big time! Sikiliza

Magufuli is confused big time! Sikiliza


ntat.jpg
 
Halafu vijitu vinavyo kaa nje ya nchi vinalalamika sanaaaa... wakati havipo hata kwenye list ya walipa kodi wa Tanzania! Tumewachoka nyie wahamiaji embu tuacheni na Rais wetu jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii..... K zenu nyie!!! nyambafuuuuuuu
Ni kweli kabisa mkuu. Watu walioikimbia nchi ndio eti wamekuwa wanayaona maisha magumu tuliyonayo kuliko sisi tuliopo Tz. Magufuli go go go!!!!!
 
Jibu hoja Msomi na Mkweli huwa ajajibu kwa hoja au kukanusha usemi kwa fact unaishia kutukana kwa kuwa kila nilichosema ni kweli 100% Nitafutie nilichosema ambacho sio kweli ntakutumia $ 5000.00
Kwanza wewe ni mbeba mabox huko USA rudi ujenge nchi
 
Tutolee ujinga wako huko nchi yetu kwa sasa inanyoka sisi wananchi tunamkubali raisi wetu,, kazi kulalamika tu tumewachoka
Inanyookaje, kuvamia mikutano na kuwapiga Waandishi makofi, au kuvamia Vituo vya TV kwa mitutu, au kununua ndege huku wajawazito wanajifuungulia sakafuni, na mtoto akizaliwa hakuna chanjo wala clip ya kumfungia kitovu, FU
 
Inanyookaje, kuvamia mikutano na kuwapiga Waandishi makofi, au kuvamia Vituo vya TV kwa mitutu, au kununua ndege huku wajawazito wanajifuungulia sakafuni, na mtoto akizaliwa hakuna chanjo wala clip ya kumfungia kitovu, FU
Kazi kulialia tu, tunachoka sasa
 
Narudi kila siku, muulize Mama yako Atakuhakikishia Nashukia Kampala au kigali kisha nakuja kwa gari! Unadhani mi Bashite?
Mbona unajificha mara Kampala mara Kigali!! Kumbe unaogopa angalia wasije wakakulimboka!!!
 
Rudi basi tuone kama uogopi?? Mbona umeng'ang'ania huko tu mpaka ufukuzwe na Trump.
Ni rudi nisirudi, dunia hii sio ya Jana, Ukweli unabaki palepale Magufuli ni Rais Ovyo sana na Mnafiki sana! Niwe mbali, niwe Karibu, Niseme mimi au nikae kimya Ukweli ndio huo, na hautabadilika! Kama unnaona tuyasemayo hayana ukweli pinga kwa hoja na vigezo, sio oh rudi Tanzania, Nirudi Tanzania Unataka Kunioza Mama yako?
 
Upuuzi mtupu
Usio Upuuzi na Ukweli ndio Upi? Mimi kwa akili yangu ndogo nadhani, Upuuzi ni Kumwambia Jambazi, ati "Piga kazi" huo ndio upuuzi
Kuwaita watoto 7900 Wa watanzania Villaza huo ndio Upuuzi,
Kununua Ndege Uchwara wakati wamama wanajifuungulia sakafuni, hakuna chanjo, waalimu hawalipwi kwa wakati, watoto wanasomea chini ya Miti na vibanda vya nyasi huku wamekalia mawe huo ni Upuuzi
Kufukuza Watanzania 9000 kazi kwa kuwa na Vyeti feki na Kuwaita Majambazi na Majizi huku Ukimlinda Mkuu wa Mkoa aliyeiba vyeti, huo ni Upuuzi.
Kukwapua michango ya Wahanga wa Tetemeko na Kisha Kuwapa Biskuti mojamoja na majani ya chai huo ni Unyama na huo ni upuuzi hasa!
Kukwapua 2.7 Bilion hazina na Kuwahonga nazo Wabunge ili wapitishe sheria ya habari ya kikoloni huo ni wizi na huo ni upuuzi
Kukwapua Pesa hazina na Kuwalipa Waalimu wa sekondari na Msingi ili wajaze mikujano ya Mwenyekiti wa chama fulani na Kiongozi wa Serikali ambaye amechokwa kusikilizwa ni Upuuzi sana!
Saa nyingine nadhani watu kama wewe Masikini wa Shetani! Kazi Kubwa ya Vichwa vyenu ni vya kupambia shingo. Na kama mnabahati ya kuwa na Ubongo ni Kwa ajili ya Involuntary functions kama vile Kutoka jasho, kujua sasa ni saa ya kwenda kunya, kupiga chafya, kupepesa macho etc, na Kamwe, Kamwe sio Kufikiri.
 
Mbowe Dj anaetumia Madaraka yake vibaya ndani ya Chadema, Mwigamba alipigwa tofari na Lema, Mbowe anaangalia
 
Mbona huyo mchada aliyejirevord hapo anajificha ...anawasema wenzake uoga kumbe na yeye ni muoga,

Halafu anazani hawwezi patikana, huyu anakamatwa asubuhi na mapema pole zake.
 
Back
Top Bottom