herzegovina
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 3,155
- 4,743
JK kuna vitu alifanikiwa....pia alijua kucheza na akili zetu, ndio maana aliishia kulaumiwa na sio kuchukiwa...kuna MTU yyte alikuwa anaombea jk afe ??Hamna la maana kila rais akiingia madarakani hua analaumiwa hata JK tulimlaumu sana ila kwa sasa tunamkumbuka kwa hyo hata Magu iko siku tutamkumbuka sana tu
Huyu wa sasa anafeli kila kitu sio makinikia, sio ufisadi sio ajira, sio mikopo, sio chochote...
Harakati za Pombe=Harakati za Pimbi