Magufuli is confused big time! Sikiliza

Magufuli is confused big time! Sikiliza

Ipeleke Mahakamani au Polisi, Ni audio yangu TL. Marandu, that will not work on me! my Public Record is established and immaculate! Nikushauri kwa nini Msinisingizie nauza Unga kama Mlivyomsingizia Askofu Gwajima na Mbowe? Bashite zero bin zero hajawafundisha?
Mimi nimikubali sana hiyo audio...ukiacha mahaba ya kijinga hiyo audio utaiewa sana TL heshima kwako.....ukweli siku zote unauma, that is fact about truth!
 
Upuuzi mtupu
Upuuzi ni kumlinda Daud Bashite, kumfadhili Lipumba kwa pesa za Umma, kuzuia matangazo ya Bunge Live, kuzuia mikutano ya siasa, kudhoofisha upinzani na maamuzi ya kukurupuka na mambo mengineyo ya hovyo ikiwepo kuchukua pesa za maafa Bukoba kwenda kujengea uwanja wa ndege kijijini kwake nk
 
Mm sijaelewa sijui wa Tz tunataka rais wanamnagani duuu nisheda huyu mzee hapo awali tulipata kuskika tukisema tumeletewa namungu hivileo watu waminuna sasa sijui nikiaje
msema kweli kwa sasa ni mpenzi wa kukumbatia vyeti feki vya Daud Bashite badala ya msema kweli ni mpenzi wa Mungu kwa sasa hakuna kusema kweli tena mpaka vyeti feki vionekane, pesa za Bukoba tujue zimeenda wapi viwanda vijengwe na vile vya zamani vifufuliwe
 
Ni rudi nisirudi, dunia hii sio ya Jana, Ukweli unabaki palepale Magufuli ni Rais Ovyo sana na Mnafiki sana! Niwe mbali, niwe Karibu, Niseme mimi au nikae kimya Ukweli ndio huo, na hautabadilika! Kama unnaona tuyasemayo hayana ukweli pinga kwa hoja na vigezo, sio oh rudi Tanzania, Nirudi Tanzania Unataka Kunioza Mama yako?
Pengine wanataka wakupe jesca lakini ww komaa na Ukweli ingawa Ukweli huwa unauma sana na siku zote Ukweli hauwapendezi waovu madikteta, lakini kwa kuwa JF inafika Mbati natumai akisoma au watu wake wakisoma watampelekea habari atajifunza kitu na kubadilika ingawa Daud Bashite amemroga sana kamwekea Limbwata kubwa.
 
Upumbavu umewazidi nyie watu.... Yaani mnashindwa kufikiria taifa linaendaje mbele mnaleta upuuzi huu.... Kama ni mwanaume si aoneshe sura yake tuone
Upuuzi ni Bashite kuwabambikia watu kesi na kupora magari yao, upuuzi ni utekaji wa Wapinzani kutokubali kukosolewa ni upuuzi mkubwa zaidi.
 
Ipeleke Mahakamani au Polisi, Ni audio yangu TL. Marandu, that will not work on me! my Public Record is established and immaculate! Nikushauri kwa nini Msinisingizie nauza Unga kama Mlivyomsingizia Askofu Gwajima na Mbowe? Bashite zero bin zero hajawafundisha?
Bashite sasa anakula 10% za ununuzi wa ndege mpya yupo kwenye line ya GSM ambao ndiyo Madalali, baada ya kuwa-blackmail watu alivuta pesa nyingi za Rushwa na kuwapora Unga akaenda kuuza South Africa sasa anazitumia pesa kuwalipa utitiri wa waganga wa kienyeji kumlinda.
 
Mbona huyo mchada aliyejirevord hapo anajificha ...anawasema wenzake uoga kumbe na yeye ni muoga,

Halafu anazani hawwezi patikana, huyu anakamatwa asubuhi na mapema pole zake.
Mkamateni lakini Ukweli kawaambia hata akifungwa ataonekana shujaa.
 
Ccm sasa wateke hiyo sauti na kuijaza kwenye kiroba na mawe wakaitose ruvu.manake kila anayesema ukweli wa maovu, ya ccm ama wawinde royo yake kama sio kumg'oa meno,macho na kucha.sasa hii ni sauti mchezo wa ruvu unakuaje hapo ? ingenoga sana ipelekwe BBC,na vyombo vingine vya habari vya nje,ili isambae ikaungane na ya boss wa UN kufukuzwa kwa ajili ya chaguzi feki za uraisi wa ccm bara na Zanzibar.itasaidia sana mataifa kutupia macho Tanzania. Asante sana,kwe mwenye sauti hii,ubunifu huu utapunguza vifo vya wanaoipinga ccm.
 
Inanyookaje, kuvamia mikutano na kuwapiga Waandishi makofi, au kuvamia Vituo vya TV kwa mitutu, au kununua ndege huku wajawazito wanajifuungulia sakafuni, na mtoto akizaliwa hakuna chanjo wala clip ya kumfungia kitovu, FU
Mpumbavu wewe tangu lini mkuu wa mkoa akavamia eneo lililo ndani ya mipaka ya utawala wake? siku zenu zinahesabika.
 
Kwanini kama eneo liko nchini ya mipaka yake, (bashite) kwanini nape afukuzwe uwaziri kwa kusema ukweli, na alichokitetea nape kipo chini ya mipaka yake kiwizara ? Na akipotea mtu tu,tunajua ni wewe na ccm yenu nchini ya bashite,kwakua umetishia kwamba siku zetu zinahesabika ! Nyie kwakua mnalindwa na ccm mnafanya vitisho,uuaji mtakavyo.hata wewe na wauaji wenzako,siku zenu Mungu kesha zihesabu.hamtaishi milele !
 
Mimi nimikubali sana hiyo audio...ukiacha mahaba ya kijinga hiyo audio utaiewa sana TL heshima kwako.....ukweli siku zote unauma, that is fact about truth!
Mind you, "Ignorantia juris non excusat / ignorantia legis neminem excusat".
 
Kwanini kama eneo liko nchini ya mipaka yake, (bashite) kwanini nape afukuzwe uwaziri kwa kusema ukweli, na alichokitetea nape kipo chini ya mipaka yake kiwizara ? Na akipotea mtu tu,tunajua ni wewe na ccm yenu nchini ya bashite,kwakua umetishia kwamba siku zetu zinahesabika ! Nyie kwakua mnalindwa na ccm mnafanya vitisho,uuaji mtakavyo.hata wewe na wauaji wenzako,siku zenu Mungu kesha zihesabu.hamtaishi milele !
Mama yangu ya nini matatizo? not to hiyo extent hapa panafuka moshi tujilalie kipenzi.
 
Back
Top Bottom