Magufuli is confused big time! Sikiliza

Mm sijaelewa sijui wa Tz tunataka rais wanamnagani duuu nisheda huyu mzee hapo awali tulipata kuskika tukisema tumeletewa namungu hivileo watu waminuna sasa sijui nikiaje
 
Makondaa.... Makondaaaa... wewe mpaka sasa umeifanyia nini nchi yetu.. zaidi ya kurecord hichi kivideo chako,,,,, embu tueleze moja ulicho ifanyia Taifa zaid ya kutumalizia oxygen yetu yuuuu
 
Upumbavu umewazidi nyie watu.... Yaani mnashindwa kufikiria taifa linaendaje mbele mnaleta upuuzi huu.... Kama ni mwanaume si aoneshe sura yake tuone
 
Back
Top Bottom