Master Oogway
Senior Member
- Jul 7, 2022
- 141
- 339
- Thread starter
-
- #21
Ni nadharia zako,Big no. Jpm alikuwa hajuai Cha kufanya akiwa ikulu. Yeye mwenyewe alikuwa anashangaa imekuwaje akawa rais. Mpaka Sasa angekuwepo uasi nchi ingekuwa kama DRC. Kungetokea vikundi vingi vya waasi na jeshi lingegawanyika sana. Kuna wanajeshi wanapenda vyama vya upinzani hususani chadema
Vyeti feki ninyi wajinga wajinga ambao mnajua kuwa Magufuri ndiyo msomi pekee Tanzania na anayepingana naye basi ni Vyeti feki pumbavu zenu.bora kuliko wewe vyeti feki
unateseka ukiwa wapi?maana tangu uachishwe kazi kwa vyeti feki umekuwa na makasiriko sana mitandaoniVyeti feki ninyi wajinga wajinga ambao mnajua kuwa Magufuri ndiyo msomi pekee Tanzania na anayepingana naye basi ni Vyeti feki pumbavu zenu.
Vyeti feki mnahasira na Magufuli nani aliwaambia msisomeAcha ujinga alijitolea kwa nani labda kwa wewe na familia yake ndgu na marafiki.
Uliniajiri wewe pumbavu?Na ulinipa kitengo cheti feki wewe.unateseka ukiwa wapi?maana tangu uachishwe kazi kwa vyeti feki umekuwa na makasiriko sana mitandaoni
vyeti feki aajiriki na ndio maana walikutoa hukoUliniajiri wewe pumbavu?Na ulinipa kitengo cheti feki wewe.
Una ushahidi kuwa Magufuli anahusikaje na hawa watu halafu ndio watu pekee waliokufa kipindi cha Magufuli na marais wengine kila wakati kutupostia hawa watu utafikiri watanzania wengine waliokufa sio binadamuAzory Gwanda, Ben saa Nane Nk
Makosa makubwa yalifanyika hata ccm wanajua hiloNi nadharia zako,
Ni makosa kusema kwamba alikuwa hajui anachokifanya kwa sababu kila Raisi anayeingia Madarakani anajua anachokifanya ndio maana Ilani ipo pale kama Dira yake.
Vyeti mpo humu mitandaoni mmejaa mlitumbuliwa 13000 na Magufuli mnahasira naeUliniajiri wewe pumbavu?Na ulinipa kitengo cheti feki wewe.
Halafu hakufanya replacement. We huwezi kuwa na akili tu kwamba ilikuwa mbinu za kupunguza wafanyakazi tu. Nchi haikuwa na mweche Cheri hewa hata mmoja ndo mana mama kawarudishaVyeti mpo humu mitandaoni mmejaa mlitumbuliwa 13000 na Magufuli mnahasira nae
Nilicheka juzi kuna mjinga mmoja anasema enzi za JK na Mwinyi kulikuwa hakuna mauaji 😃 😃 😃 😃Una ushahidi kuwa Magufuli anahusikaje na hawa watu halafu ndio watu pekee waliokufa kipindi cha Magufuli na marais wengine kila wakati kutupostia hawa watu utafikiri watanzania wengine waliokufa sio binadamu
Dr. Ulimboka alipata ulemavu kwa amri ya Magufuli. Wale Waislamu wa Mwembe Chai walipata ulemavu kwa amri ya Magufuli. Babu Seya alifungwa maisha kwa amri ya Magufuli.Azory Gwanda, Ben saa Nane Nk
Ndio maana alikuwa na uchungu nazo.Hakujitolea, alikuwa analipwa na kuhudumiwa vizuri sana kwa kodi za raia.
Makosa gani hayo yalifanyikaMakosa makubwa yalifanyika hata ccm wanajua hilo
hakuna vyeti feki aliyerudishwa acha uongoHalafu hakufanya replacement. We huwezi kuwa na akili tu kwamba ilikuwa mbinu za kupunguza wafanyakazi tu. Nchi haikuwa na mweche Cheri hewa hata mmoja ndo mana mama kawarudisha
Tulikuwa tunaongozwa na mtu anayejua uchumi kila siku. Kuua uchumi no pamoja na kuwakimbiza wawekezaji wakubwa na kunakiza machinga ambaye halipo Kodi. Kosa linguine kubwa na kuvamia na kuiba pesa kwenye personal accounts bank ndo mana vyuma vilianza kukaza kila mtu analiaMakosa gani hayo yalifanyika
Mahaba yakizidi hugeuka ujingaMagufuli hakika uliifanyia mema Tanzania kwa niaba ya Watanzania Wazalendo na sio Kwa ajili ya Wapiga dili na Wauza nchi mchana kweupe.
Your life was a blessing, your memory a treasure🙏
View attachment 2618627