Magufuli effects: Ushuhuda wa hali iliyopo mtaani

Magufuli effects: Ushuhuda wa hali iliyopo mtaani

Nimemshuhudia jamaa anaweka kwenye gari mafuta ya sh.3000 halafu vioo kafunga vyote ,sikumuelewa anajificha au kawasha kiyoyozi.
 
images

Kwangu ni neema maana kijiwe changu cha kahawa ndo imekuwa bunge la mitaani na utawakuta UKAWA, UKUTA, CCM ..... wakirushiana makombora kutwa ......... MIMI FARANGA KUMUKONO!
YAANI MPAKA RAHA MAANA HATA PEDESHEE, PAPAA KIBOMBOBOMBO, NAYEYE MWASIKUHIZI KAHAMIA KWANGU NA AMEAPA 'BAR' KWAKE MWIKO!
 
Duh! Kweli watu mnaisoma number buku 5 umeioverate sana kama laki.

Mnyuko umeshika hatamu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ahahahaaa, mpaka tukojoe dagaa had aje kumaliza muda wake huyu jamaa!!!!
Itakuwa Hakuna mtanzania mwenye kitambi zaidi ya wabunge ,mawaziri,na yeye mwenyewe ,nihapo sasa atakapo kuja na mtindo Wa badala ya push up.wakusimamia kitambi jukwaani [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mlivyoambiwa wapo watakaoishi kama mashetani basi mlijua ni vigogo tu , sasa afadhal wao , sisi makapuku ndio tumekua scavengers
 
Maisha kwa sie tuloozoea kula za jasho ni poa,wapo jamaa zangu walikua vishoka.bandar day yake m.2 sasa hata kumi elfu hakuna lazma alie,hao wengine walikua wez,anasa kila kona sasa hazipo lazma walaani Serikal,lkn mimi nnaengoja salary aah sina tabu as long as Magu hajaupunguza, Kila mtu afanye kaz hakuna konakona,ukijifanya mjanjamjanja lazma urudi kijijini kwenu maana hii awamu haiitaji ubabaishaji
 
Mimi vile tu sinywi pombe lkn ingekua mlevi nna uwezo wakunywa dailly tena mibia ya maana sio safar,nashangaa kama mtu ulikua unapiga mpunga halal imekuaje ulillelie
 
Ila kitendo cha prof Muhongo na team yake kujikuta wote wamechanga jumla ya sh elfu 40 taslimu kwa wahanga wa tetemeko ni dalili ya kupatwa kwa hali ya juu mno kwa pesa!!
 
Ila tuache utani, hali ni ngumuuu, sanaaa...!! Hii thread kama watu wanaongea kwa utani vile ila ndio reality..!!

Kuna mademu wamepigika sana sasa hv... walikuwa hata kuwaongelesha mabraza hakuna.. siku hz wanakopesha mzigo... nasema kweli..!!

Unakopeshwa, unalipa labda nauli na lunch ya siku hiyo.. kisha ukipata mwisho wa mwezi au muda wowote unamrushia buku 10...!!

Watu kimyaaaaaa...!!
 
Kama huyo jamaa hajaiuza ist mwambie tuwasiliane, japokuwa ameishaifanyia ufuska ndani nitaibeba hivyo hivyo ili tugawane shida, maana maisha ni magumu mno kitaa [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Atakuambukiza upako wa kizinzi, uwe makini
 
Mm nauza dawa ya kupunguza nguvu za kiume wateja wake wameongezeka tofauti na zakuongeza nguvu vp uongeze nguvu wakati hela ya kuonga madem una kwa anaye hitaji akiitumia hela zitajaa mifukoni mwake
KUONGA=KUHONGA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom