Magufuli effects: Ushuhuda wa hali iliyopo mtaani

sonofobia

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
1,303
Reaction score
4,705
Nimeshuudia kwa macho yangu mtu akiuza gari yake aliyotumia kuchukulia vidosho wetu. Gari anauza milioni 3 ist alianza na milioni 6, na bado hajapata mteja.

Siku hizi haipiti siku bila kupigwa mzinga, tena watu wanaomba elfu kumi kumi.

Nimeshangaa masista duu ukikaa nao, story zimebadirika na wao wanawaza kutafuta mashamba ya kulima. Yale mambo ya laki si pesa siyasikii siku hizi.

Nilienda Copa cabana Tabata imefungwa.. Billcanas hakuna watu.. Pub zote bia ya ukawa ndio habari ya mjini.. TBL wamepunguza bei ya vinywaji. Mapedeshee wamepotea viwanjani.

Marafiki tuliopoteana wameanza kurudisha mawasiliano, story zao kubwa ni ugumu wa maisha na wanaomba michongo.

Nashuudia mengi awamu hii mtaani..

Vipi kuna yoyote mwenye ushuuda tushee wanajamvi?
 
Uuzaji wa nyumba umeongezeka mara dufu wa magari ndo usiseme kabisa halafu bado wateja hakuna kabisa, hakuna mtu wa kutoa mapesa makubwa kipindi hiki na kama yupo basi alibakiza chenji kutoka kwa JK
 
Nimeshuudia kwa macho yangu mtu akiuza gari yake aliyotumia kuchukulia vidosho wetu. Gari anauza milioni 3 ist alianza na milioni 6, na bado hajapata mteja.

Siku hizi haipiti siku bila kupigwa mzinga, tena watu wanaomba elfu kumi kumi.

Nimeshangaa masista duu ukikaa nao, story zimebadirika na wao wanawaza kutafuta mashamba ya kulima. Yale mambo ya laki si pesa siyasikii siku hizi.

Nilienda Copa cabana Tabata imefungwa.. Billcanas hakuna watu.. Pub zote bia ya ukawa ndio habari ya mjini.. TBL wamepunguza bei ya vinywaji. Mapedeshee wamepotea viwanjani.

Marafiki tuliopoteana wameanza kurudisha mawasiliano, story zao kubwa ni ugumu wa maisha na wanaomba michongo.

Nashuudia mengi awamu hii mtaani..

Vipi kuna yoyote mwenye ushuuda tushee wanajamvi?
https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/17719514
 
Mwambie alete kwangu nampa Tsh2,000,000 kama ni nzima.
Nianze kwenda na gari Shuleni.
 
Nimeshuudia kwa macho yangu mtu akiuza gari yake aliyotumia kuchukulia vidosho wetu. Gari anauza milioni 3 ist alianza na milioni 6, na bado hajapata mteja.

Siku hizi haipiti siku bila kupigwa mzinga, tena watu wanaomba elfu kumi kumi.

Nimeshangaa masista duu ukikaa nao, story zimebadirika na wao wanawaza kutafuta mashamba ya kulima. Yale mambo ya laki si pesa siyasikii siku hizi.

Nilienda Copa cabana Tabata imefungwa.. Billcanas hakuna watu.. Pub zote bia ya ukawa ndio habari ya mjini.. TBL wamepunguza bei ya vinywaji. Mapedeshee wamepotea viwanjani.

Marafiki tuliopoteana wameanza kurudisha mawasiliano, story zao kubwa ni ugumu wa maisha na wanaomba michongo.

Nashuudia mengi awamu hii mtaani..

Vipi kuna yoyote mwenye ushuuda tushee wanajamvi?
Ahahahaaa, mpaka tukojoe dagaa had aje kumaliza muda wake huyu jamaa!!!!
 
Kama huyo jamaa hajaiuza ist mwambie tuwasiliane, japokuwa ameishaifanyia ufuska ndani nitaibeba hivyo hivyo ili tugawane shida, maana maisha ni magumu mno kitaa [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
 
Asee watu wamekata tamaa na maisha inafikia wakati ma ex-GF wanatafuta mawacliano kwa nguvu na kutumia kila namna warudi wakiamini watakuta unafuu, ni ukauzu kwenda mbele. Nina jamaa zangu wengi walizoea starehe ila wengi wanaikimbia michepuko sasa na baadhi wamekua wachungu kama nini kwenye issue za pesa.acha jamaa akaze hivi hivi ili watanzania tubadilike tabia tuanze kuwa serious na maisha kwa kuwa na vipaumbele vya msingi.
 
Kuna Salon niliingiaa baada ya watu kupotea wanadai wamama wamesafiri .Sikukuu ya Idd ya kuchinja Mabucha yamejaa nyama mpaka Usiku haijawai tokea...nilikaa sehemu ya Pub moja wkend..meza nyingi maji na Soda.Nikikaa mahali ni Malalamiko si njiani kazi kwenye Bajaji kwenye mwendo kasi daladala ukienda sheli kujaza mafuta Dukani Sokoni majumbani. Nimeongea mpaka na Wauza Karanga za kutembeza wanadai Zamani ilikuwa Dharau.'We kijana toka hapa na Karanga zako Chafu Eti leo vp una za Kuonjaa.(Hali Inatishaaa)
 
Hahaha mizinga mpaka ya buku tano tena utasikia nna emergency mkuu . Magu utaua raia aisee!
 
Kama huyo jamaa hajaiuza ist mwambie tuwasiliane, japokuwa ameishaifanyia ufuska ndani nitaibeba hivyo hivyo ili tugawane shida, maana maisha ni magumu mno kitaa [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
are you sure? Mbona unahukumu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom