Nimeshuudia kwa macho yangu mtu akiuza gari yake aliyotumia kuchukulia vidosho wetu. Gari anauza milioni 3 ist alianza na milioni 6, na bado hajapata mteja.
Siku hizi haipiti siku bila kupigwa mzinga, tena watu wanaomba elfu kumi kumi.
Nimeshangaa masista duu ukikaa nao, story zimebadirika na wao wanawaza kutafuta mashamba ya kulima. Yale mambo ya laki si pesa siyasikii siku hizi.
Nilienda Copa cabana Tabata imefungwa.. Billcanas hakuna watu.. Pub zote bia ya ukawa ndio habari ya mjini.. TBL wamepunguza bei ya vinywaji. Mapedeshee wamepotea viwanjani.
Marafiki tuliopoteana wameanza kurudisha mawasiliano, story zao kubwa ni ugumu wa maisha na wanaomba michongo.
Nashuudia mengi awamu hii mtaani..
Vipi kuna yoyote mwenye ushuuda tushee wanajamvi?
Haaaa haaaa, nimecheka kwa nguvu mpaka watu wananishangaa!!Ahahahaaa, mpaka tukojoe dagaa had aje kumaliza muda wake huyu jamaa!!!!
Vyema na sie tupate magar yakulia bata,huyo anaeuza kama yupo mwambie aje nimpe keshi m.tatu alale mbeleUuzaji wa nyumba umeongezeka mara dufu wa magari ndo usiseme kabisa halafu bado wateja hakuna kabisa, hakuna mtu wa kutoa mapesa makubwa kipindi hiki na kama yupo basi alibakiza chenji kutoka kwa JK
Huyo hakuna kumchangia mkuu,hamna la maana kwan lazma shereheKuna sistaduu mkali hapa kitaa mwanzoni alikuwa matawi ya juu saana ila kwa sasa yeye anazuga na happy bezidei yake kupata mkwanja...anasisitiza mchango kila baada ya dakika kadhaa anatuma sms mpaka unakereka.
Mbaya zaidi hata mkionana barabarani anakumbushia kwa mdomo...ni hatari!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we ni falaMimi nimeshuudia watu wengi wakiongea peke yao njiani. Hii sikuiona zamani sana.
I can imagine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna sistaduu mkali hapa kitaa mwanzoni alikuwa matawi ya juu saana ila kwa sasa yeye anazuga na happy bezidei yake kupata mkwanja...anasisitiza mchango kila baada ya dakika kadhaa anatuma sms mpaka unakereka.
Mbaya zaidi hata mkionana barabarani anakumbushia kwa mdomo...ni hatari!
Tabata is another town ila siku zake zinahesabikaCopa Cabana imefungwa ila imefunguliwa pun nyingine matata mitaa hiyo hiyo, na watu wa tabata kama kawa wanakula bata.