Magufuli didn’t ban all forms of politics...

Magufuli didn’t ban all forms of politics...

Mtu sahihi kwako ni nani wakujadiliana nae?.

We we ni mpu...uz flani hivi unaetumia elimu yako kuhadaa wajinga kama wewe.

Nachokwambia nikuwa humu ni JF utapambana na ubongo wa kila aina.

Endelea kujitoa akili,kwa kuwalisha propaganda uchwara magamba wenzako na sio kutuletea vioja humu.Lazima uonywe na utumie elimu yako vizuri kwa manufaa ya uma.Na sio njaa njaa zako zinakusumbua mpaka unadhalilisha utu wako.Kwa kutetea vitu vilivyopo wazi.

Pole sana mkuu,hii yote ni njaa ndio inasababisha uwe hivi.Pole sana endelea kutumikia tumbo lako.
Nimesema kuwa Wahaya wamenichosha huyo kahangwa akanitukana! Kumbe ni wa Karagwe, aligombea akakosa! Nadhani kasoma political science akidhani atambabaisha mtu ghumu na kiingereza.
 
Kabla sijajibu lolote kuhusiana na kauli yako naomba ufafanuzi kidogo hapa;
Maneno "hakuna siasa mpaka mwaka 2020" ni ya gazeti la Mtanzania 24 Juni 2016.
Maneno "hakuna siasa za aina zote mpaka mwaka 2020" ni yangu, Deus J. Kahangwa
Kwa hiyo kwa madai yako tafsiri ya gazeti la Mtanzania si sahihi ila ya kwako!
Nimefanya kazi ndani ya media house, so I know how they cook 'food').
Je kuna gazeti lolote unaloliandikia?
 
Nimesema kuwa Wahaya wamenichosha huyo kahangwa akanitukana! Kumbe ni wa Karagwe, aligombea akakosa! Nadhani kasoma political science akidhani atambabaisha mtu ghumu na kiingereza.
.
Leta hoja yako kwa Kiswahili nitakujibu tu.
 
.
Umesema, "Sioni mantiki ya kuzuia mbunge wa jimbo "x" asifanye siasa jimbo "y." Jielimishe kidogo kuhuusu dhana ya locus syandi, then unaweza kuelewa anachosema JPM, hata kama hutakubaliana nacho. Mie naona umantiki wake. mamlaka ya mbunge yanatoka kwa wapiga kura wake. Yeye yuko accountable kwake, na sio vinginevyo. Hili linaeleweka. Lakini kukubalika ni suala jingine. Mjadala uendelee.
Locus standi inahusiana na kuonesha kwamba kuna connenction kati ya harm na mtu anaehusika na hio kesi mahakamani hapo locus standi na akina mbowe etc kahama hakuna uhusiano wowote ule...kwa kifupi unaonesha uhusiano wako na sababu za wewe kuhusika kwenye hio kesi....au locus standi wewe unaielewa vipi?
 
Kabla sijajibu lolote kuhusiana na kauli yako naomba ufafanuzi kidogo hapa; Kwa hiyo kwa madai yako tafsiri ya gazeti la Mtanzania si sahihi ila ya kwako!
Je kuna gazeti lolote unaloliandikia?
.
Soma hoja yangu. Kuna major premise, minor premise followed by conclusion. Kama hutaelewa, simply pull off.
 
Nimesema kuwa Wahaya wamenichosha huyo kahangwa akanitukana! Kumbe ni wa Karagwe, aligombea akakosa! Nadhani kasoma political science akidhani atambabaisha mtu ghumu na kiingereza.
Ndio huyo mkuu.Jamaa ananjaa ndio inamsumbua na jumatano anaingia magambani rasmi.
 
.
Leta hoja yako kwa Kiswahili nitakujibu tu.
Kahangwa watu wanajua kiingereza sana. Unaweza ukawa ulisoma languages lakini watu wako vizuri katika lugha pamoja na kusoma science. Naona unajiona unajua kiingereza, angalia wanavyokuzodoa hata aibu huna! Mnyambo wa wapi wewe, Bukene, Kaisho...............................
 
Bukene!
 
Locus standi inahusiana na kuonesha kwamba kuna connenction kati ya harm na mtu anaehusika na hio kesi mahakamani hapo locus standi na akina mbowe etc kahama hakuna uhusiano wowote ule...kwa kifupi unaonesha uhusiano wako na sababu za wewe kuhusika kwenye hio kesi....au locus standi wewe unaielewa vipi?
.
You have it right. And to round up this matter, let me say this: A person elected as an MP through constituency X can only claim a political locus standi as as an MP for that and only that constituency. The same logic applies to councillors.
 
hahahahahaha lol! Acha kukurupuka na kutaka kujifanya unanifahamu. Sijawahi kuwa Mbunge na wala sina mpango wa kugombea ubunge au nafasi yoyote ile ya kisiasa. Nilipata nafasi hiyo ya kuingia kwenye siasa lakini nikaipiga chini na kuamua kuendelea katika profession yangu niliyonayo na hadi leo hii sijawahi kujutia kuipiga chini nafasi ile ya kuingia kwenye mambo ya siasa. Umepotea tena si kidogo mimi si huyo umdhaniaye.

.
Wewe ungekuwa na akili ndefu usingetimuliwa bungeni kwa utukutu kama mtoto wa chekechea!
 
Long story ...but in reality the ban is there and we have witnessed a number of indoor meeting being cancelled by police. So in short huna hoja
 
.
You have missed my point. Electoral politics are easy to see if your peruse an election campaign schedule. you will see primaries inside parties, nomination of candidates, voting, winner announcement, etc. So, by itself, the statement, "Vyama vya hovyo hovyo havifai kutawala" is not electoral politics.

Your statement "The police ban internal meetings of other parties" needs specification in terms of 5Ws and 1H. Otherwise, I can't comment on it except by saying that, the police force has nothing to do with workshops, symposia, seminars and the like, if they don't threaten breach of peace and order.

Concerning public meetings, I have a conditional yes. Tell me, if state politics are done in the same manner as we do during election campaign seasons, when will local direct politics under LGA legislations take place? We hamlets, and villages who regularly engage in direct politics down there.....
To me electoral politics is about positioning your self to get votes-even if you do it now with 2020 in mind. This is the staff that political parties are made of, the strategies employed may differ depending on whether it is the election season or not hence my reference to the mheshimiwa statement. He is already and indirectly canvassing for 2020. So I did not miss the point. You are right the police force should have nothing to do with what you have listed but their behavior tell a different story and they tend to target the opposition giving very flimsy reasons. Political meetings as you have said can take place at different levels and any party that is seriously wanting to win or hold office knows this. Remember CCM leaders used to label other parties as being SEASONAL now that they have upped their game the CCM leader want them to be seasonal. Ask your self how many public meetings have been held by the opposition since October 25, 2015? The actions of the police reflect the words of the president and this is not coincidental. Whenever he takes the podium and talks to the public he in most cases tells us about CCM and the other parties-to me this is party politics. So why should he have the monopoly of telling us what he thinks but not the other politicians.
You know there is a saying "Give a dog a bad name and then hang it"-You label them noise makers and then ban them from politicking.
 
.
I have replayed it and it shows that the President banned electoral politics in a post-election season. The police actions are may. Be specific and I shall comment accordingly.
Sasa ni chama gani walisema wanakwenda kwa wananchi kuomba kura ? Magufuri ni muoga sana , kama yeye anafanya mazuri anaogopa nini ? Ukifanya mema si hivi vyama vya hovyohovyo vitajifia tu vyenyewe ?
 
Erythrocite, wewe nami tulikuwa wote Chadema hapo nyuma kidogo. Unajua fika jinsi Mesuma Hoteli Kijitonyama ilivyotumika. Unajua fika kwamba ule mkakati ulifeli. Baada ya uchaguzi na matokeo kutangazwa anajitokeza mgombea wenu anasema alishinda kwa asilimia 62% jambo ambalo wewe unajua fika ni uwongo. Ripoti yenye taarifa za kupikwa imeandaliwa na kusambazwa katika balozi mbalimbali kama ilivyokuwa mwaka 2010. Ile ya mwaka 2010 iliandaliwa na binti Sarungi. Sasa yuko CCM siri zimekwisha mwagika. Ungekuwa wewe ungekaa kimya bila kutoa mwongozo wa kuleta political stability katika nchi?
 
Sasa ni chama gani walisema wanakwenda kwa wananchi kuomba kura ? Magufuri ni muoga sana , kama yeye anafanya mazuri anaogopa nini ? Ukifanya mema si hivi vyama vya hovyohovyo vitajifia tu vyenyewe ?

Mkuu nilishajitoa ila baada ya kusoma maneno yako nikaona nirudi kwa muda!
 
Back
Top Bottom