Magufuli didn’t ban all forms of politics...

.
I have listed some forms of politics in my analysis: electoral politics, budget politics, etc. Read it well. Some forms become dormant automatically. For example, electoral politics automatically die immediately after election results. Do you see this?

Mr.Kahangwa, I appreciate they way you responded to the second question.
In fact I don't really care if those banned forms of politics are relevant or not, is it upon president to decide which forms of politics to be practiced after election?!

Do we have that provision in the Constitution?!
It is clear that you have a broad understanding of election Act and other laws that give guidance to the practice of Multi party system, can you show me where is the presidential power on deciding what other politicians should do on post election period?!
As long as what these other politicians or the parties are doing is not against the Law of the country, no one is to set the bar on what "form of politics" can be practiced.

THANKS
 
Mimi naona hapa ni uhamishwaji wa magoli baada ya maamuzi ya kukurupuka wakijua wanawakomoa wapinzani!Tulishuhudia mkutano wa Act ukipigwa ban,tena ulikuwa unafanyikia ndani ya Ukumbi kwa kisingizio cha agizo la Rais! Mikutano mingi ya ndani ya wapinzani ikazuiwa pia!Huwezi justify kilichotokea kwa maelezo mepesi!Serikali ilishajitanabaisha kama isiyopenda kukosolewa!
.
Kuna jambo umeligusia. Mie naendelea kulitafakari pia. Sina jawabu kamili. JPM anasema, mbunge wa Jimbo X hana "locus standi" kwenda kufanya mikutano ya kisiasa katika jimbo Y. Utafiti wangu wa awali unaonyesha kuwa hii ndiyo sababu iliyotumiwa kumzuia Zitto hapa Dar, Mbowe kule Kahama pia. Linajadilika.Ikumbukwe kuwa Mbowe na Zitto walikuwa wanapaswa kuwa Bungeni Dodoma, lakini baadhi yao ama waliondoka kibabe au waliondolewa kwa sababu za kindidhamu. Yote haya tusiyasahau tunapokuwa tunafanya critical political discourse.
 
Mr.Kahangwa, I appreciate they way you responded to the second question.
In fact I don't really care if those banned forms of politics are relevant or not, is it upon president to decide which forms of politics to be practiced after election?!

Do we have that provision in the Constitution?!
It is clear that you have a broad understanding of election Act and other laws that give guidance to the practice of Multi party system, can you show me where is the presidential power on deciding what other politicians should do on post election period?!
As long as what these other politicians or the parties are doing is not against the Law of the country, no one is to set the bar on what "form of politics" can be practiced. THANKS
.
Your question needs elaborate clarification. But briefly take this: The president is the head of state, head of government and commander in chief. Unfortunately, the present constitution (1977) does not disaggregate the presidential functions along these lines. The Warioba Commission filled this gap in its Draft Constitution. You can refer to it. As it appears to me the president in his capacity as the head of state has immense power to the extent of justifiably overriding some provisions in the statutes. But note this: the political parties act says that electroral politics shall be engaged in within a specific time frame as defined by NEC--Ratibu ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu. So there is nothing new in the words of the President when he says, "electoral politics are over." Umeonae?
 
Hii fimbo BAVICHA lazima wakae chini. Kama hawajaelewa hapa hawatakuja kuelewa mpaka wanaingia kaburini
Wallah tumeelewa. Binafsi nimeelewa kuwa, huu mgogoro wa VAT kwenye miamala ya fedha ulijadiliwa na bunge chini ya serikali. Mbona tunaelewa mkuu!
 
.
Kuna jambo umeligusia. Mie naendelea kulitafakari pia. Sina jawabu kamili. JPM anasema, mbunge wa Jimbo X hana "locus standi" kwenda kufanya mikutano ya kisiasa katika jimbo Y. Utafiti wangu wa awali unaonyesha kuwa hii ndiyo sababu iliyotumiwa kumzuia Zitto hapa Dar, Mbowe kule Kahama pia. Linajadilika.Ikumbukwe kuwa Mbowe na Zitto walikuwa wanapaswa kuwa Bungeni Dodoma, lakini baadhi yao ama waliondoka kibabe au waliondolewa kwa sababu za kindidhamu. Yote haya tusiyasahau tunapokuwa tunafanya critical political discourse.
Sawa mkuu,ila katiba imetoa fursa kwa wananchi kushiriki siasa ndani ya nchi yao!Hawajawekewa mipaka kuwa wafanye maeneo wanakotoka!Ndio maana kuna viongozi wa chama katika ngazi ya taifa!Ina maana hawa ndio wanawaunganisha watanzania ambao ni wafuasi wa chama chao ikiwa ni pamoja na kushawishi watanzania zaidi kujiunga na vyama vyao!Sioni mantiki ya kuzuia mbunge wa jimbo "x" asifanye siasa jimbo "y"!
Suala la wabunge kuadhibiwa bungeni halimuhusu Rais kwani ni muhimili mwingine kabisa,kusema kuwa awazuie wasifanye siasa mtaani kwamba warudi bungeni iko nje ya mamlaka yake!
 
Kutoka gazeti la Mwananchi:

Friday, July 8, 2016

MAONI YA MHARIRI: Kwa hali ilivyofikia polisi watoe kauli inayoeleweka

Katiba ndiyo inatoa haki na uhuru wa wananchi kujumuika bila kuvunja sheria. Ibara ya 18 ya Katiba Sehemu ya (1) inasema bila ya kuathiri sheria za nchi, kila mtu yuko huru kuwa na maoni yoyote na kutoa nje mawazo yake, na kutafuta, kupokea na kutoa habari na dhana zozote kupitia chombo chochote bila ya kujali mipaka ya nchi, na pia ana uhuru wa mawasiliano yake kutoingiliwa kati.

Jeshi la Polisi linakabiliwa na swali jepesi kwamba katika utumishi wake linamtumikia nani? Majibu ya swali hili yatawasaidia wananchi kujua kwanini limekuwa likijichanganya linapotoa sababu za kufuta mikutano ya vyama vya siasa.

Sehemu ya (2) inasema kila raia anayo haki ya kupewa taarifa wakati wote kuhusu matukio mbalimbali nchini na duniani kote ambayo ni muhimu kwa maisha na shughuli za wananchi, na pia juu ya masuala muhimu kwa jamii.

Mbali ya Ibara hiyo ya 18 ya Katiba, sura ya 258 ya Sheria ya Vyama vya Siasa sehemu ya IV inatoa haki kwa chama chochote cha siasa kuandaa mkutano au maandamano. Ibara ya 11 (1) inasema chama chochote chenye usajili wa muda au wa kudumu; (a) kinaruhusiwa kuandaa mikutano yake eneo lolote katika Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kujitangaza au kutafuta wanachama baada ya kuwapa taarifa polisi wa eneo husika; (b) kinastahili kupewa kinga na msaada wa ulinzi ili kiweze kufanya mkutano wake kwa amani.

Ili shughuli hizo za kisiasa ziweze kufanyika kwa amani, vyama vya siasa vinapaswa kulijulisha Jeshi la Polisi ili uwepo ulinzi kwa usalama wao.

Sheria ya Jeshi la Polisi kifungu cha 43 sehemu ya (1) inasema yeyote anayetaka kuandaa mkutano au mkusanyiko au kufanya maandamano atapaswa kuwajulisha polisi katika muda usiopungua saa 48 kabla ya siku ya mkutano, muda na mahali kujulisha kwamba siku ya mkutano au maandamano imekaribia.

Japokuwa Katiba iko wazi na sheria ya vyama vya siasa pamoja na ya Jeshi la Polisi zote zinatoa uhuru kwa vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu na wa muda kufanya mikutano yao wakati wowote, mahali popote ili kunadi sera na kupata wanachama, Jeshi la Polisi limekuwa likivunja na kusambaratisha mikutano ya vyama vya upinzani pekee lakini linalinda ya chama tawala.

Kila polisi walipozuia mikutano ya upinzani walitoa sababu nyingine hazina mashiko. Mfano, walipozuia mahalafi ya wanafunzi wa vyuo vikuu wafuasi wa Chadema mjini Dodoma walidai kuna ugonjwa usiojulikana na walipozuia mkutano wa Chadema mjini Kahama walidai ni kuzuia vurugu baada ya CCM kusema itafanya mikutano ya kufuta nyayo za Chadema.

Sasa vijana wa Chadema wanajihamasisha kwenda Dodoma kuvuruga mkutano wa CCM, je, polisi watazuia kama walivyofanya CCM waliposema wataandaa mikutano ya kufuta nyayo za Chadema?

Sisi tunadhani, jeuri hii ya vijana wa Chadema inatokana na polisi wenyewe kujichanganya kutokana na sababu walizokuwa wanatoa walipokuwa wanafuta mikutano ya Chadema.

.
NImefanya uchambuzi wangu kama raia mwenye uhuru wa kupokea, kuchakata, kutunza, na kusambaza mawazo na maoni chini ya ibara ya 18 ya Katiba. Wao siwezi kuwasemea.
 
Sawa mkuu,ila katiba imetoa fursa kwa wananchi kushiriki siasa ndani ya nchi yao!Hawajawekewa mipaka kuwa wafanye maeneo wanakotoka!Ndio maana kuna viongozi wa chama katika ngazi ya taifa!Ina maana hawa ndio wanawaunganisha watanzania ambao ni wafuasi wa chama chao ikiwa ni pamoja na kushawishi watanzania zaidi kujiunga na vyama vyao! Sioni mantiki ya kuzuia mbunge wa jimbo "x" asifanye siasa jimbo "y"! Suala la wabunge kuadhibiwa bungeni halimuhusu Rais kwani ni muhimili mwingine kabisa,kusema kuwa awazuie wasifanye siasa mtaani kwamba warudi bungeni iko nje ya mamlaka yake!
.
Umesema, "Sioni mantiki ya kuzuia mbunge wa jimbo "x" asifanye siasa jimbo "y." Jielimishe kidogo kuhuusu dhana ya locus syandi, then unaweza kuelewa anachosema JPM, hata kama hutakubaliana nacho. Mie naona umantiki wake. mamlaka ya mbunge yanatoka kwa wapiga kura wake. Yeye yuko accountable kwake, na sio vinginevyo. Hili linaeleweka. Lakini kukubalika ni suala jingine. Mjadala uendelee.
 
.
Kuna jambo umeligusia. Mie naendelea kulitafakari pia. Sina jawabu kamili. JPM anasema, mbunge wa Jimbo X hana "locus standi" kwenda kufanya mikutano ya kisiasa katika jimbo Y. Utafiti wangu wa awali unaonyesha kuwa hii ndiyo sababu iliyotumiwa kumzuia Zitto hapa Dar, Mbowe kule Kahama pia. Linajadilika.Ikumbukwe kuwa Mbowe na Zitto walikuwa wanapaswa kuwa Bungeni Dodoma, lakini baadhi yao ama waliondoka kibabe au waliondolewa kwa sababu za kindidhamu. Yote haya tusiyasahau tunapokuwa tunafanya critical political discourse.
Ikiwa umesoma kidogo, basi usiache elimu yako ikaambatana na unafiki. Unafiki ni dhambi na unazalisha magaidi.

Abdulrahman Kinana alizunguka nchi nzima kwenye operesheni za kufufua chama chao. Yeye ni mbunge wa nchi nzima?

Ni kazi ya Rais wa nchi kudhibiti utoro wa wabunge bungeni? Kwenye bandiko lako unasema 'Magufuli didn't ban 1,2,3' mbona jambo hili lilikanushwa kwamba si yeye ni polisi na wamefanya hivyo kwa sababu za kiusalama? Mbona kuna kupishana hapa?

Unaweza kuusaidia umma huu kwa kubandika hapa : Majukumu ya Vyama vya Siasa ktk nchi ya kidemokrasia yenye kufuata mfumo wa vyama vingi?
 
.
NImefanya uchambuzi wangu kama raia mwenye uhuru wa kupokea, kuchakata, kutunza, na kusambaza mawazo na maoni chini ya ibara ya 18 ya Katiba. Wao siwezi kuwasemea.

..uchambuzi mzuri.

..lakini hujatoa ushauri wala angalizo kwa JESHI LA POLISI ambao ni one of key player in our politics.

..vilevile ungekuwa balanced zaidi. Umeegemea upande mmoja kuwa uko wrong.

..mimi naona pande zote zinazokinzana kuna maeneo/hoja wako sahihi na kwingine wamekosea.
 
Kutoka gazeti la Mwananchi:

Friday, July 8, 2016

MAONI YA MHARIRI: Kwa hali ilivyofikia polisi watoe kauli inayoeleweka

Katiba ndiyo inatoa haki na uhuru wa wananchi kujumuika bila kuvunja sheria. Ibara ya 18 ya Katiba Sehemu ya (1) inasema bila ya kuathiri sheria za nchi, kila mtu yuko huru kuwa na maoni yoyote na kutoa nje mawazo yake, na kutafuta, kupokea na kutoa habari na dhana zozote kupitia chombo chochote bila ya kujali mipaka ya nchi, na pia ana uhuru wa mawasiliano yake kutoingiliwa kati.

Jeshi la Polisi linakabiliwa na swali jepesi kwamba katika utumishi wake linamtumikia nani? Majibu ya swali hili yatawasaidia wananchi kujua kwanini limekuwa likijichanganya linapotoa sababu za kufuta mikutano ya vyama vya siasa.

Katiba ndiyo inatoa haki na uhuru wa wananchi kujumuika bila kuvunja sheria. Ibara ya 18 ya Katiba Sehemu ya (1) inasema bila ya kuathiri sheria za nchi, kila mtu yuko huru kuwa na maoni yoyote na kutoa nje mawazo yake, na kutafuta, kupokea na kutoa habari na dhana zozote kupitia chombo chochote bila ya kujali mipaka ya nchi, na pia ana uhuru wa mawasiliano yake kutoingiliwa kati.

Sehemu ya (2) inasema kila raia anayo haki ya kupewa taarifa wakati wote kuhusu matukio mbalimbali nchini na duniani kote ambayo ni muhimu kwa maisha na shughuli za wananchi, na pia juu ya masuala muhimu kwa jamii.

Mbali ya Ibara hiyo ya 18 ya Katiba, sura ya 258 ya Sheria ya Vyama vya Siasa sehemu ya IV inatoa haki kwa chama chochote cha siasa kuandaa mkutano au maandamano. Ibara ya 11 (1) inasema chama chochote chenye usajili wa muda au wa kudumu; (a) kinaruhusiwa kuandaa mikutano yake eneo lolote katika Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kujitangaza au kutafuta wanachama baada ya kuwapa taarifa polisi wa eneo husika; (b) kinastahili kupewa kinga na msaada wa ulinzi ili kiweze kufanya mkutano wake kwa amani.

Ili shughuli hizo za kisiasa ziweze kufanyika kwa amani, vyama vya siasa vinapaswa kulijulisha Jeshi la Polisi ili uwepo ulinzi kwa usalama wao.

Sheria ya Jeshi la Polisi kifungu cha 43 sehemu ya (1) inasema yeyote anayetaka kuandaa mkutano au mkusanyiko au kufanya maandamano atapaswa kuwajulisha polisi katika muda usiopungua saa 48 kabla ya siku ya mkutano, muda na mahali kujulisha kwamba siku ya mkutano au maandamano imekaribia.

Japokuwa Katiba iko wazi na sheria ya vyama vya siasa pamoja na ya Jeshi la Polisi zote zinatoa uhuru kwa vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu na wa muda kufanya mikutano yao wakati wowote, mahali popote ili kunadi sera na kupata wanachama, Jeshi la Polisi limekuwa likivunja na kusambaratisha mikutano ya vyama vya upinzani pekee lakini linalinda ya chama tawala.

Kila polisi walipozuia mikutano ya upinzani walitoa sababu nyingine hazina mashiko. Mfano, walipozuia mahalafi ya wanafunzi wa vyuo vikuu wafuasi wa Chadema mjini Dodoma walidai kuna ugonjwa usiojulikana na walipozuia mkutano wa Chadema mjini Kahama walidai ni kuzuia vurugu baada ya CCM kusema itafanya mikutano ya kufuta nyayo za Chadema.

Sasa vijana wa Chadema wanajihamasisha kwenda Dodoma kuvuruga mkutano wa CCM, je, polisi watazuia kama walivyofanya CCM waliposema wataandaa mikutano ya kufuta nyayo za Chadema?

Sisi tunadhani, jeuri hii ya vijana wa Chadema inatokana na polisi wenyewe kujichanganya kutokana na sababu walizokuwa wanatoa walipokuwa wanafuta mikutano ya Chadema.
.
Nimependa umakini wako. Na kwa kutumia mfano huu sasa nataka nikuonyeshe jinsi ambavyo baadhi ya media houses zinavyopotosha umma kwa njia ya omission. Kifungu hicho cha 11 cha sheria ya vyama vya siasa kinasema jambo muhimu sana, lakini ambalo mhariri wa gazeti la Mwananchi hakulisema katika tahariri yake. Ili uone ninachokiona, tusome vifungu vya 11(4)-(6) vya sheria hiyo pamoja. Sheria inasema haya:

11 (4) When a political party is desirous of holding a meeting or procession in any open public place in any area it shall, not less than forty eight hours before the meeting, submit a written notification of its impending to the police officer in charge of the area in which the meeting is to take place is situated.

11 (5) The written notification referred to in subsection (4) shall specify—

(a) the name of the political party submitting the notification;
(b) the place in and time at which the meeting is to take place;
(c) the agenda or purpose in general of the meeting;
(d) such other particulars as the Minister may from time to time by notice published in the Gazette specify.

11 (6) Where a political party submits a notification in accordance with subsection (4) it may proceed to hold the meeting in question as schedule
unless and until it receives an order from the police officer in charge of the area directing that the meeting be not held as notified.

Nimeweka msisitizo katika hiyo rangi nyekundu. Mhariri hakuchapisha hiki kifungu wakati anajua wazi kwamba ndio msingi wa maamuzi yanayofanywa na Jeshi la Polisi. Kwa kukificha amewapa wakati mgumu watu kama wewe. Hamwezi kuona ukweli wote kupitia lenzi ya kifungu hiki.

Kimsingi, Mkuu wa Jeshi la Polisi katika eneo husika (OCD) anayo mamla ya kisheria kufanya kitu kifuatacho: to issue an "order...directing that the meeting be not held as notified."

Hivyo, kitu pekee kinachoweza kubishaniwa ni uhalali wa sababu. Na sababu zenyewe zinaanguka ndani ya kifungu cha 11(5) kama kilivyonakiliwa hapo juu.

Hivyo Mhariri wa Mwananchi anayo nafasi ya kunyoosha maneno yake kwa kusema vizuri maudhui ya ibara ya 11 ya sheria ya vyama vya siasa, lakini kama akitaka.

Umeona jinsi vyombo vya habari vinavyoweza kuzalisha Rwanda nyingine hapa Tanzania?
 
.
Umesema, "Sioni mantiki ya kuzuia mbunge wa jimbo "x" asifanye siasa jimbo "y." Jielimishe kidogo kuhuusu dhana ya locus syandi, then unaweza kuelewa anachosema JPM, hata kama hutakubaliana nacho. Mie naona umantiki wake. mamlaka ya mbunge yanatoka kwa wapiga kura wake. Yeye yuko accountable kwake, na sio vinginevyo. Hili linaeleweka. Lakini kukubalika ni suala jingine. Mjadala uendelee.
Mkuu usijitoe fahamu. Huyo unayemzungumzia ni MBUNGE ni MWANASIASA na kwa mujibu wa katiba anayo ruhusa ya kufanya siasa ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, muhimu tu atoe taarifa kwa polisi. Au wewe unaweza kuniambia Chama Cha Siasa kinaongeza vipi wanachama wake bila rallies?

Jamani Watanzania tusichezee amani, mbona mna maneno marefu kwenye dhulma? Mkiwa majukwaani nyakati za chaguzi maneno yenu ni 'VYAMA VYA MSIMU HIVYO, HUVIONI HADI WAKATI WA UCHAGUZI' au hujawahi kuyasikia maneno haya?
 
.
Umesema, "Sioni mantiki ya kuzuia mbunge wa jimbo "x" asifanye siasa jimbo "y." Jielimishe kidogo kuhuusu dhana ya locus syandi, then unaweza kuelewa anachosema JPM, hata kama hutakubaliana nacho. Mie naona umantiki wake. mamlaka ya mbunge yanatoka kwa wapiga kura wake. Yeye yuko accountable kwake, na sio vinginevyo. Hili linaeleweka. Lakini kukubalika ni suala jingine. Mjadala uendelee.

Katiba ya JMT ibara ya 18-1 inatoa Uhuru wa mtu kutoa mawazo kupitia chombo chochote ndani ya nchi,kukusanyika na kubadilishana mawazo!Kama unataka mjadala wa kupinga haki iliyotolewa kikatiba napata ukakasi kukuelewa!Yaani tujadili juu ya kuvunja katiba?
 
.
Umesema, "Sioni mantiki ya kuzuia mbunge wa jimbo "x" asifanye siasa jimbo "y." Jielimishe kidogo kuhuusu dhana ya locus syandi, then unaweza kuelewa anachosema JPM, hata kama hutakubaliana nacho. Mie naona umantiki wake. mamlaka ya mbunge yanatoka kwa wapiga kura wake. Yeye yuko accountable kwake, na sio vinginevyo. Hili linaeleweka. Lakini kukubalika ni suala jingine. Mjadala uendelee.
Do you know what three lines whip means?
 
Urais mzuri sana ukitamka neno hata kama ni tusi wapo watakao sema sio tusi rais alikuwa na maana hii pia wapo watakao komaa kwamba alilosema ni tusi. Na akikaa kimya asifafanue wapo watakao andika hata paper kuelezea alikuwa na maana gani. Watadiscuss hilo tamko kama vile limetoka kwa mungu ambaye haonekani.
 
Kama uenyekiti wa Makamanda
 
Ikiwa umesoma kidogo, basi usiache elimu yako ikaambatana na unafiki. Unafiki ni dhambi na unazalisha magaidi. Abdulrahman Kinana alizunguka nchi nzima kwenye operesheni za kufufua chama chao. Yeye ni mbunge wa nchi nzima? Ni kazi ya Rais wa nchi kudhibiti utoro wa wabunge bungeni? Kwenye bandiko lako unasema 'Magufuli didn't ban 1,2,3' mbona jambo hili lilikanushwa kwamba si yeye ni polisi na wamefanya hivyo kwa sababu za kiusalama? Mbona kuna kupishana hapa? Unaweza kuusaidia umma huu kwa kubandika hapa : Majukumu ya Vyama vya Siasa ktk nchi ya kidemokrasia yenye kufuata mfumo wa vyama vingi?
.
Maelezo yangu haya hukuyazingatia:

1. Kinana sio mbunge na alikuwa anazunguka under Jakaya's regime. Tunafanya political discourse katika enzi mpya.
2. Rais kama mkuu wa nchi anayo mamlaka juu ya wabunge. Mfano ndiye anakusanya kodi na kuwalipa mshahara.
3. Kuna chain of command inaanzia kwa Rais kupitia kwa Waziri wa Mambo ya Ndani kwenda kwa IGP, kwa RPC, kwa OCD. Hiyo pia ni chain of accountability. Polisi ni watekelezaji wa maagizo ya Rais kama mkuu wa nchi, na mkuu wa serikali.
4. Majukumu ya vyama vya siasa naweza kuyabandika. Ni haya:

----------------------POLITICAL PARTIES ACT SECTION 11--------------------------------------

11. —(1) Every party which has been provisionally or fully registered shall be Entitled

a) to hold and address public meetings in any area in the United Republic after giving notification to the police officer in-charge of the area concerned for purposes of publicizing itself and soliciting for membership;

b) to the protection and assistance of the security agencies for the purposes of facilitating peaceful and orderly meetings: provided that provisional registration shall not entitle any party to put up a candidate or to campaign for any candidates in any parliamentary or presidential election or in a local authority election.

(2) Notwithstanding any other written law to the contrary sections 43, 44, 45 and 46 of the Police Force and Auxiliary Services Act shall apply and have effect as to all meetings to be held on any part of the United Republic by any political party whether provisionally or fully registered.

(3) Every party which has been fully registered shall be entitled to put up candidates and to campaign for any candidates in any parliamentary or presidential election or in a local government authority election.

(4) When a political party is desirous of holding a meeting or procession in any open public place in any area it shall, not less than forty eight hours before the meeting, submit a written notification of its impending to the police officer in charge of the area in which the meeting is to take place is situated.

(5) The written notification referred to in subsection (4) shall specify—

a) the name of the political party submitting the notification;

b) the place in and time at which the meeting is to take place;

c) the agenda or purpose in general of the meeting;

d) such other particulars as the Minister may from time to time by notice published in the Gazette specify.

(6) Where a political party submits a notification in accordance with subsection (4) it may proceed to hold the meeting in question as schedule unless and until it receives an order from the police officer in charge of the area directing that the meeting be not held as notified.

(7) A police officer to whom a notification is submitted pursuant to subsection (4) shall not give a stop order under subsection (6) in relation to the notification unless he is satisfied that –

a) a previous notification has been submitted by another political party or other persons for holding a meeting or other function or procession in the same place at the same time as is intended by the notifier;

b) the meeting or procession is intended to execute, or to be used for, an unlawful purpose; the meeting is likely or intended to cause a breach of the peace or to prejudice the public safety in the area;

c) the political party or group of persons giving the notification is not a registered political party or body of persons or the persons submitting the notification is not appropriately identified as an authorised representative of the political party concerned.

(8) A stop order given under subsection (6) shall be in writing and in such form as is able to easily disclose the reasons for its issuance and state whether or not the political party concerned may hold the meeting at the venue at another time or date convenient to it in the same area.
 
.
Your question needs elaborate clarification. But briefly take this: The president is the head of state, head of government and commander in chief. Unfortunately, the present constitution (1977) does not disaggregate the presidential functions along these lines. The Warioba Commission filled this gap in its Draft Constitution. You can refer to it. As it appears to me the president in his capacity as the head of state has immense power to the extent of justifiably overriding some provisions in the statutes. But note this: the political parties act says that electroral politics shall be engaged in within a specific time frame as defined by NEC--Ratibu ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu. So there is nothing new in the words of the President when he says, "electoral politics are over." Umeonae?

Kahangwa. I am.worried that Mr President was not keen enough to distinguish electoral politics and everyday politics....

Hilo umemsemea hapa leo. Anahitajika kutafuta platform ya kurectify hili...na kulifafanua hili maana neno la mkuu hata kama kalisema kwenye kikao.cha kamati ya arusi ndio agizo na ni msimamo wa.nchi na vyombo vyake vyote...for this we are still confused
 
.
Uchambuzi mzuri. Lakini hujatoa ushauri wala angalizo kwa JESHI LA POLISI ambao ni one of key player in our politics. Vilevile ungekuwa balanced zaidi. Umeegemea upande mmoja kuwa uko wrong. Mimi naona pande zote zinazokinzana kuna maeneo/hoja wako sahihi na kwingine wamekosea.
.
Nimekuelewa. Ila, zingatia kwamba uchabuzi wangu ulilenga kujibu swali moja tu lifuatalo: Je, ni kweli kwamba, wakati Magufuli anapokea ripoti ya uchaguzi mkuu uliopita, alipiga marufuku shughuli zote za kisiasa mpaka mwaka 2020? Jawabu lango ni hasi. Nikipata muda nitajadili hayo mengine na kuyatolea msimamo.
 
Back
Top Bottom