Magufuli didn’t ban all forms of politics...

Magufuli didn’t ban all forms of politics...

.
Maneno "hakuna siasa mpaka mwaka 2020" ni ya gazeti la Mtanzania 24 Juni 2016.
Maneno "hakuna siasa za aina zote mpaka mwaka 2020" ni yangu.
Hoja ninayoikosoa ni hii:

1. Mtu X amsema "hakuna siasa mpaka mwaka 2020".
2. Neno siasa linayo maana moja tu.
3. Kwa hiyo, kwa mujibuwa mtu X "hakuna siasa za aina zote mpaka mwaka 2020".

Ukisoma editorials zote na lead stories zote zinakumbatia hoja ya aina hii.
Ni aibu kubwa kwa tasnia ya habari Tanzania.

(Note: Nimefanya kazi ndani ya media house, so I know how they cook 'food').


Mtukufu alisemaje kuhusu siasa mpaka 2020?.

Msajili wa vyama vya siasa alirekebishaje kauli ya mtukufu?.

Ma RC wanasemaje kuhusu kufanyika kwa siasa katika wilaya zao?.

Njaa ni mbaya sana,naona umeamua usalimu amri kwa kujiunga nao,na ukitaka ufanikiwe endelea kujitoa akili.
 
Why should he then ban electoral politics when they are supposed to die with the end of the election? Does his definition/understanding of electoral politics match with what is in the political parties act? His actions and those of the police seem to suggest otherwise. When he says"Vyama vya hovyo hovyo havifai kutawala"-to me that is electoral politics. The police ban internal meetings of other parties. Politicians have a way of playing with words-and JPM is not immune to this syndrome. In red - are the certain noise making politicians all from the opposition?. CCM also makes a lot of noises. The president should ensure that all parties have an equal and level playing field. The opposition has to put its case to the public and one way of doing so is through public meetings-are these also electoral? Have these not been "discouraged" by the president?
.
You have missed my point. Electoral politics are easy to see if your peruse an election campaign schedule. you will see primaries inside parties, nomination of candidates, voting, winner announcement, etc. So, by itself, the statement, "Vyama vya hovyo hovyo havifai kutawala" is not electoral politics.

Your statement "The police ban internal meetings of other parties" needs specification in terms of 5Ws and 1H. Otherwise, I can't comment on it except by saying that, the police force has nothing to do with workshops, symposia, seminars and the like, if they don't threaten breach of peace and order.

Concerning public meetings, I have a conditional yes. Tell me, if state politics are done in the same manner as we do during election campaign seasons, when will local direct politics under LGA legislations take place? We have hamlets, and villages who regularly engage in direct politics down there.....
 
Wacha uongo wewe! Usitufanye watu wote humu ni wajinga
Mkuu huyu jamaa alikuwa mwanachadema na aligombea 2010 huko karagwe(kama sijakosea).Pia 2015 alitupwa kwenye kula za maoni akakimbila TLP akagombea pia akashindwa.

Sasa njaa inamsumbua na jumatano ijayo anategemea kujiunga na magamba rasmi.Ameamua aanze kutumikia chama kabla hata hajapewa kadi ili ateuliwe.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mtukufu alisemaje kuhusu siasa mpaka 2020?. Msajili wa vyama vya siasa alirekebishaje kauli ya mtukufu?. Ma RC wanasemaje kuhusu kufanyika kwa siasa katika wilaya zao?. Njaa ni mbaya sana,naona umeamua usalimu amri kwa kujiunga nao,na ukitaka ufanikiwe endelea kujitoa akili.
.
As far as critical political discourse is concerned, you are not the right person to engage with me.
 
Ahsante sana Mkuu kwa taarifa hii Mkuu.

Mkuu huyu jamaa alikuwa mwanachadema na aligombea 2010 huko karagwe(kama sijakosea).Pia 2015 alitupwa kwenye kula za maoni akakimbila TLP akagombea pia akashindwa.

Sasa njaa inamsumbua na jumatano ijayo anategemea kujiunga na magamba rasmi.Ameamua aanze kutumikia chama kabla hata hajapewa kadi ili ateuliwe.
 
Kilichoandikwa kirefu ila kama ni Cut and paste materials....unacho ongelea hakina maana ,mkuu wa mkoa wa Morogoro kasema hata mkutano wa ndan wa watu wa tatu hataki kuisikia
 
Mkipata nafasi sikilizeni tena hii hotuba ambayo ina mapengo chungu nzima na hali halisi iliyopo nchini mwetu sasa hivi.

 
.
Mengine ni argumentum adhomines. Lakini kuna moja muhimu. Nakuuliza swali: Katika sheria zetu, na kwa kuzingatia tekinolojia ya sasa hivi, mkutano ambao unaitwa "open-to-air" ni mkutano wa aina gani? Ukishanijibu tutaendeleza majadiliano.
achana naye huyu, ameshakunywa maji ya lumumba
 
Mkuu huyu jamaa alikuwa mwanachadema na aligombea 2010 huko karagwe(kama sijakosea).Pia 2015 alitupwa kwenye kula za maoni akakimbila TLP akagombea pia akashindwa. Sasa njaa inamsumbua na jumatano ijayo anategemea kujiunga na magamba rasmi. Ameamua aanze kutumikia chama kabla hata hajapewa kadi ili ateuliwe.
.
Umezidiwa hoja....
 
.
As far as critical political discourse is concerned, you are not the right person to engage with me.
Mtu sahihi kwako ni nani wakujadiliana nae?.

We we ni mpu...uz flani hivi unaetumia elimu yako kuhadaa wajinga kama wewe.

Nachokwambia nikuwa humu ni JF utapambana na ubongo wa kila aina.

Endelea kujitoa akili,kwa kuwalisha propaganda uchwara magamba wenzako na sio kutuletea vioja humu.Lazima uonywe na utumie elimu yako vizuri kwa manufaa ya uma.Na sio njaa njaa zako zinakusumbua mpaka unadhalilisha utu wako.Kwa kutetea vitu vilivyopo wazi.

Pole sana mkuu,hii yote ni njaa ndio inasababisha uwe hivi.Pole sana endelea kutumikia tumbo lako.
 
Mtu sahihi kwako ni nani wakujadiliana nae?.

We we ni mpu...uz flani hivi unaetumia elimu yako kuhadaa wajinga kama wewe. Nachokwambia nikuwa humu ni JF utapambana na ubongo wa kila aina. Endelea kujitoa akili,kwa kuwalisha propaganda uchwara magamba wenzako na sio kutuletea vioja humu.Lazima uonywe na utumie elimu yako vizuri kwa manufaa ya uma.Na sio njaa njaa zako zinakusumbua mpaka unadhalilisha utu wako.Kwa kutetea vitu vilivyopo wazi. Pole sana mkuu,hii yote ni njaa ndio inasababisha uwe hivi.Pole sana endelea kutumikia tumbo lako.
.
You are welcome if you abide by the laws of sound reasoning to which you have failed to measure hitherto, though.
 
.
You are welcome if you abide by the laws of sound reasoning to which you have failed to measure hitherto, though.
Unatumia mzani gani kutambua kuwa nimefail?.

Ntaendelea kupinga hoja zako kwa vile unatumia tumbo kufikiri nasivinginevyo.
 
Back
Top Bottom