Magufuli didn’t ban all forms of politics...

Magufuli didn’t ban all forms of politics...

Duh ! Maneno mengiii ya kunyonganyonga. Magufuli alisema "uchaguzi umeisha, watu wafanye kazi sasa na siasa ni mpaka 2020". Na hiyo baada ya polisi kuanza kuzuia mikutano na makonmgomana ya kisiasa; ni kama ana clarify kuhusiana na hilo. Sasa kiingreza kingi cha nini?! Si unaona hata wakuu wa mikoa na wilaya nao wanasema siasa mpaka 2020 kwenye maeneo yao. Wenye kazi zao za kisiasa sijui wafanye nini. Moja nilijualo ni kwamba nchi chini ya Magufuli ni KIZA KINENE TUENDAKO. Let's for God's mercy.
.
Maneno "hakuna siasa mpaka mwaka 2020" hayana maana sawa na "hakuna siasa za aina zote mpaka mwaka 2020." Ni lazima reporters wawe makini kusoma kati kati ya msitari ili watoe habari sahihi. Vinginevyo watapoteza uhalali.
 
Does the constitution give him the power to ban what you have referred to as electoral politics? Who defines electoral politics here? We have seen other indoor meetings being broken up by the police and to my knowledge there has been no statement from his office about these happenings.
My take is that yours is a sophisticated attempt to justify what is expected to happen on the July 23, 2016.
.
Electoral politics are defined in the political parties act under the provision which empowers NEC to issue the election campaign schedule. When this schedule dies, electoral campaigns die to. It is automatic. So, in the eyes of this law, the president's words are in fact redundant. They only serve one purpose--To remind certain noise-making politicians that it is no longer business as usual...
 
Hivi huyu katokea wapi na hii makala leo na si baada tu ya polisi kusambatatisha mahafali ya Dodoma?
 
Hakuna ukweli wowote hapa unaoleta zaidi ya propaganda za kuharalisha aliyosema mtukufu. Karibu kwenye chama chetu pendwa maana kama ulivosema haki zote unazo,zisizokeuka katiba. Lakini tambua half knowledge is poison,due to satisfication of your stomach you did all of this.
.
Umenikumbusha ile interview ya Bwana mvi via BBC wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu. So, nami nitafanya kama yeye ili tumalize: Unanionea! Tehe tehe tehe...........
 
.
Umenikumbusha ile interview ya Bwana mvi via BBC wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu. So, nami nitafanya kama yeye ili tumalize: Unanionea! Tehe tehe tehe...........
Endelea kupigania tumbo lako,maana wasomi wa sasa wameweka elimu zao tumboni,na wanaendelea kupigania matumbo yao.
 
Nimeishia nacheka, sasa mnaopinga na kuomba video iwekwe si ameweka link au vipeeee?

Hongera kwa kusema watu wa vyombo vya habari, ni kweli wengi hawajui kazi.
 
Ndio mana umeziwekea " ikiwa na maana huamini kama ni RC wa Medula oblangata.
.
Quotation marks zina maana tofauti na hiyo. Naona umesahau alichokwambia mwalimu wako wa Biology kuhusu sehemu za ubingo na kazi zake. Kimsingi "medulla oblangata" haifanyi kazi ya kifikiri. Lakini ni rahisi kutamkwa. Kwa hiyo huwa tunaitumia kimzaha kumaanisha "mental faculties". Angalia mchoro....
brain.jpg
 
.
Maneno "hakuna siasa mpaka mwaka 2020" hayana maana sawa na "hakuna siasa za aina zote mpaka mwaka 2020." Ni lazima reporters wawe makini kusoma kati kati ya msitari ili watoe habari sahihi. Vinginevyo watapoteza uhalali.
Deus J. Kahangwa, unawaasa watu wasome kati ya mistari, lakini inaonekana wewe hata mistari unayoongelea huijui wala huioni. Naomba unijibu haka kaswala...maneno "hakuna siasa mpaka mwaka 2020" ni ya nani na maneno "hakuna siasa za aina zote mpaka mwaka 2020." ni ya nani? Hilo tu ndugu yangu, ukishanijibu nitakuwa na tuswali tuwili twa nyongeza.
 
.
Quotation marks zina maana tofauti na hiyo. Naona umesahau alichokwambia mwalimu wako wa Biology kuhusu sehemu za ubingo na kazi zake. Kimsingi "medulla oblangata" haifanyi kazi ya kifikiri. Lakini ni rahisi kutamkwa. Kwa hiyo huwa tunaitumia kimzaha kumaanisha "mental faculties". Angalia mchoro....
View attachment 364598
Mkuu nikusaidie kitu kimoja naomba uendelee na mada yakurekebisha maneno ya mtukufu.Mambo ya medula,mambo ya IT uliyosomea wewe kwenye chama chako pendwa hayana nafasi.

Nakushauri uweke elimu yako tumboni ili ufikie angalau matarajio ya ndoto yako.

Watanzania wote ni wapuuzi na hawakumuelewa mtukufu,isipokuwa wewe na msajili wa vyama vya siasa.
 
.
Electoral politics are defined in the political parties act under the provision which empowers NEC to issue the election campaign schedule. When this schedule dies, electoral campaigns die to. It is automatic. So, in the eyes of this law, the president's words are in fact redundant. They only serve one purpose--To remind certain noise-making politicians that it is no longer business as usual...
Why should he then ban electoral politics when they are supposed to die with the end of the election? Does his definition/understanding of electoral politics match with what is in the political parties act? His actions and those of the police seem to suggest otherwise. When he says"Vyama vya hovyo hovyo havifai kutawala"-to me that is electoral politics. The police ban internal meetings of other parties. Politicians have a way of playing with words-and JPM is not immune to this syndrome. In red - are the certain noise making politicians all from the opposition?. CCM also makes a lot of noises. The president should ensure that all parties have an equal and level playing field. The opposition has to put its case to the public and one way of doing so is through public meetings-are these also electoral? Have these not been "discouraged" by the president?
 
Deus J. Kahangwa, unawaasa watu wasome kati ya mistari, lakini inaonekana wewe hata mistari unayoongelea huijui wala huioni. Naomba unijibu haka kaswala...maneno "hakuna siasa mpaka mwaka 2020" ni ya nani na maneno "hakuna siasa za aina zote mpaka mwaka 2020." ni ya nani? Hilo tu ndugu yangu, ukishanijibu nitakuwa na tuswali tuwili twa nyongeza.
.
Maneno "hakuna siasa mpaka mwaka 2020" ni ya gazeti la Mtanzania 24 Juni 2016.
Maneno "hakuna siasa za aina zote mpaka mwaka 2020" ni yangu.
Hoja ninayoikosoa ni hii:

1. Mtu X amsema "hakuna siasa mpaka mwaka 2020".
2. Neno siasa linayo maana moja tu.
3. Kwa hiyo, kwa mujibuwa mtu X "hakuna siasa za aina zote mpaka mwaka 2020".

Ukisoma editorials zote na lead stories zote zinakumbatia hoja ya aina hii.
Ni aibu kubwa kwa tasnia ya habari Tanzania.

(Note: Nimefanya kazi ndani ya media house, so I know how they cook 'food').

Huyu jamaa hajitambui kabisa. Anatumika na Ikulu ili kupotosha ukweli halisi kwamba Magufuli pamoja na kuwa hakuna kipengele chochote cha katiba ambacho kinampa nguvu ya kuzuia mikutano ya hadhara na maandamano ya vyama vya upinzani anataka kupotosha ukweli na kuvitupia lawama vyombo vya habari ambavyo vyote vinaripoti uhalisia wa kile kinachoendelea nchini kuhusu Serikali kuitumia polisi kuvidhibiti vyama vyote vya upinzani nchini.

Vyama vya upinzani vinatakiwa kuendelea na shughuli zake za kisiasa 24/7 ili kutangaza sera zake, kukutana na wanachama wake na kupanga mikakati mbali mbali ya kujiendesha na namna ya kuongeza mapato yake, kukusanya mapato sehemu mbali mbali nchini kutoka kwa wanachama wa zamani na wanachama wapya, lakini hili Magufuli kwa kaamua kusigina katiba kwa kupiga marufuku vyama vya upinzani kufanya shughuli zozote za kisiasa nchini mpaka 2020. Kwa maana nyingine kati ya sasa na 2020 vyama vya upinzani visiendelee kwa lolote lile lakini wakati huo CCM wanaendelea kufanya mikutano yao, kuandamana na shughuli nyingine zote nyingine za kisiasa. Hali hii si sawa hata kidogo na ipigwe vita kwa nguvu zote na Watanzania wote wanaoitakia nchi yetu amani.

Kama shughuli za kisiasa zimepigwa marufuku nchini basi na CCM wasiruhusiwe kufanya mikutano ya aina yoyote ile, kuandamana n.k.
 
Wacha uongo wewe! Usitufanye watu wote humu ni wajinga

Back
Top Bottom