salimkabora
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,441
- 653
Hapa bosi wangu umeuwa kabisa; nchi nyingi tumeona vyama vya upinzani vikianzishwa asubuhi na jioni tayari vimeshinda uchaguzi viko madarakani. Hawa jamaa zetu ni kelele tuuuu usiku mchana hadi usiku tena matokeo hamna zaidi ya kuchanganya akili za watu. Hebu wajifunze ustaarabu bwana; wawape support walioshinda na kuwatia moyo wafanikishe wanacholenga kwa raia wetu; kama watashindwa itaonekana tu kwamba wameshindwa hawafai tujaribu wengine lakini sio kila saa madebe mitaani, mabarabarani, yani kelele nyingiii matokeo hakuna. Nchi ni yetu sote tusaidiane kuijenga tukiwa nyuma ya waliopewa dhamana; wakishindwa ku deliver watatupwa tu kando automatically wala haihitaji mapambano. Tena mtu mjinga atakayewasikiliza hao na kutoka mtaani ajue ni kwa hasara yake mwenyeweKahangwa, you would better know that our political parties together with their fanatic CSOs have only known and versed in the one way of doing politics, political rallies, basi! They know nothing other than that. They are void of political planning, strategizing, organising and the like. No wonder 25 years down the road no party is boastful of overt strong public support based on clear mainstream policy as alternative to the establishment. Parties are merely surviving on 'clouding politics of confusion' in a situation neither leaders nor members are clear of their respective parties' runs strategies. They are mere bunches of opportunists, period!