Magufuli didn’t ban all forms of politics...

Magufuli didn’t ban all forms of politics...

.
Maelezo yangu haya hukuyazingatia:

1. Kinana sio mbunge na alikuwa anazunguka under Jakaya's regime. Tunafanya political discourse katika enzi mpya.
2. Rais kama mkuu wa nchi anayo mamlaka juu ya wabunge. Mfano ndiye anakusanya kodi na kuwalipa mshahara.
3. Kuna chain of command inaanzia kwa Rais kupitia kwa Waziri wa Mambo ya Ndani kwenda kwa IGP, kwa RPC, kwa OCD. Hiyo pia ni chain of accountability. Polisi ni watekelezaji wa maagizo ya Rais kama mkuu wa nchi, na mkuu wa serikali.
4. Majukumu ya vyama vya siasa naweza kuyabandika. Ni haya:

----------------------POLITICAL PARTIES ACT SECTION 11--------------------------------------

11. —(1) Every party which has been provisionally or fully registered shall be Entitled

a) to hold and address public meetings in any area in the United Republic after giving notification to the police officer in-charge of the area concerned for purposes of publicizing itself and soliciting for membership;

b) to the protection and assistance of the security agencies for the purposes of facilitating peaceful and orderly meetings: provided that provisional registration shall not entitle any party to put up a candidate or to campaign for any candidates in any parliamentary or presidential election or in a local authority election.

(2) Notwithstanding any other written law to the contrary sections 43, 44, 45 and 46 of the Police Force and Auxiliary Services Act shall apply and have effect as to all meetings to be held on any part of the United Republic by any political party whether provisionally or fully registered.

(3) Every party which has been fully registered shall be entitled to put up candidates and to campaign for any candidates in any parliamentary or presidential election or in a local government authority election.

(4) When a political party is desirous of holding a meeting or procession in any open public place in any area it shall, not less than forty eight hours before the meeting, submit a written notification of its impending to the police officer in charge of the area in which the meeting is to take place is situated.

(5) The written notification referred to in subsection (4) shall specify—

a) the name of the political party submitting the notification;

b) the place in and time at which the meeting is to take place;

c) the agenda or purpose in general of the meeting;

d) such other particulars as the Minister may from time to time by notice published in the Gazette specify.

(6) Where a political party submits a notification in accordance with subsection (4) it may proceed to hold the meeting in question as schedule unless and until it receives an order from the police officer in charge of the area directing that the meeting be not held as notified.

(7) A police officer to whom a notification is submitted pursuant to subsection (4) shall not give a stop order under subsection (6) in relation to the notification unless he is satisfied that –

a) a previous notification has been submitted by another political party or other persons for holding a meeting or other function or procession in the same place at the same time as is intended by the notifier;

b) the meeting or procession is intended to execute, or to be used for, an unlawful purpose; the meeting is likely or intended to cause a breach of the peace or to prejudice the public safety in the area;

c) the political party or group of persons giving the notification is not a registered political party or body of persons or the persons submitting the notification is not appropriately identified as an authorised representative of the political party concerned.

(8) A stop order given under subsection (6) shall be in writing and in such form as is able to easily disclose the reasons for its issuance and state whether or not the political party concerned may hold the meeting at the venue at another time or date convenient to it in the same area.
Asante. Hayo siyo majukumu ya vyama vya siasa
 
Kahangwa. I am.worried that Mr President was not keen enough to distinguish electoral politics and everyday politics.... Hilo umemsemea hapa leo. Anahitajika kutafuta platform ya kurectify hili...na kulifafanua hili maana neno la mkuu hata kama kalisema kwenye kikao.cha kamati ya arusi ndio agizo na ni msimamo wa nchi na vyombo vyake vyote...for this we are still confused
.
Wazo lako zuri. Ila nadhani kuwa vijana wake wapo humu JF watakuwa wanachukua mawazo haya. BIla shaka watamshauri ipasavyo kuhusu kuondoa dukuduku hizo.
 
Wewe ni mpotoshaji mkubwa ambaye unataka kuvilaumu vyombo vya habari kwamba ndivyo vinavyotaka kusababisha Rwanda nyingine hapa nchini wakati ukweli ni kwamba anayetaka kuleta Rwanda nyingine hapa nchini ni Magufuli.

.
Nimependa umakini wako. Na kwa kutumia mfano huu sasa nataka nikuonyeshe jinsi ambavyo baadhi ya media houses zinavyopotosha umma kwa njia ya omission. Kifungu hicho cha 11 cha sheria ya vyama vya siasa kinasema jambo muhimu sana, lakini ambalo mhariri wa gazeti la Mwananchi hakulisema katika tahariri yake. Ili uone ninachokiona, tusome vifungu vya 11(4)-(6) vya sheria hiyo pamoja. Sheria inasema haya:

11 (4) When a political party is desirous of holding a meeting or procession in any open public place in any area it shall, not less than forty eight hours before the meeting, submit a written notification of its impending to the police officer in charge of the area in which the meeting is to take place is situated.

11 (5) The written notification referred to in subsection (4) shall specify—

(a) the name of the political party submitting the notification;
(b) the place in and time at which the meeting is to take place;
(c) the agenda or purpose in general of the meeting;
(d) such other particulars as the Minister may from time to time by notice published in the Gazette specify.

11 (6) Where a political party submits a notification in accordance with subsection (4) it may proceed to hold the meeting in question as schedule
unless and until it receives an order from the police officer in charge of the area directing that the meeting be not held as notified.

Nimeweka msisitizo katika hiyo rangi nyekundu. Mhariri hakuchapisha hiki kifungu wakati anajua wazi kwamba ndio msingi wa maamuzi yanayofanywa na Jeshi la Polisi. Kwa kukificha amewapa wakati mgumu watu kama wewe. Hamwezi kuona ukweli wote kupitia lenzi ya kifungu hiki.

Kimsingi, Mkuu wa Jeshi la Polisi katika eneo husika (OCD) anayo mamla ya kisheria kufanya kitu kifuatacho: to issue an "order...directing that the meeting be not held as notified."

Hivyo, kitu pekee kinachoweza kubishaniwa ni uhalali wa sababu. Na sababu zenyewe zinaanguka ndani ya kifungu cha 11(5) kama kilivyonakiliwa hapo juu.

Hivyo Mhariri wa Mwananchi anayo nafasi ya kunyoosha maneno yake kwa kusema vizuri maudhui ya ibara ya 11 ya sheria ya vyama vya siasa, lakini kama akitaka.

Umeona jinsi vyombo vya habari vinavyoweza kuzalisha Rwanda nyingine hapa Tanzania?
 
Wewe ni mpotoshaji mkubwa ambaye unataka kuvilaumu vyombo vya habari kwamba ndivyo vinavyotaka kusababisha Rwanda nyingine hapa nchini wakati ukweli ni kwamba anayetaka kuleta Rwanda nyingine hapa nchini ni Magufuli.
.
Hoja yangu ni kwamba: the media is misleading the public by omission of key facts.
Hojasema lolote kuhusu hili.
 
Kama unataka kuwafikia wana jf wote kwanini utumie kiingereza?
 
Which sections in the constitution that allow him ban political rallies and other activities? Is he above the law that he can do any thing he think is good in his mind? If you're near him ask him not to overstep the mother law or we won't be on his side
 
  • Thanks
Reactions: BAK
That is not the truth media is reporting the reality of the situation. Hoja yako haina mashiko. Msitake kuanza kuvisingizia vyombo vya habari wakati anayeiweka nchi njia panda ni Magufuli. Sasa hata Wakuu wa mikoa wamepewa maagizo ya kuzuia vyama vya upinzani kufanya mikutano yao. Hawa wanapata wapi nguvu hizo kama si maagizo wanayopata toka Ikulu ili kuvidhibiti vyama vya upinzani?

.
Hoja yangu ni kwamba: the media is misleading the public by omission of key facts.
Hojasema lolote kuhusu hili.
 
Kama unataka kuwafikia wana jf wote kwanini utumie kiingereza?
.
JPM alitumia Kiswahili hakueleweka.
Kiingereza ndio kinakata mzizi wa fitina. direct politics, indirect politics, political discourse, na viingereza kama hivyo shiiiiida.
 
That is not the truth media is reporting the reality of the situation. Hoja yako haina mashiko. Msitake kuanza kuvisingizia vyombo vya habari wakati anayeiweka nchi njia panda ni Magufuli. Sasa hata Wakuu wa mikoa wamepewa maagizo ya kuzuia vyama vya upinzani kufanya mikutano yao. Hawa wanapata wapi nguvu hizo kama si maagizo wanayopata toka Ikulu ili kuvidhibiti vyama vya upinzani?
.
Naamini katika mjadala inayokwenda kwa style ya point-counter-point.
Naomba ujielekeza hivyo ili twende pamoja.
 
Hii fimbo BAVICHA lazima wakae chini. Kama hawajaelewa hapa hawatakuja kuelewa mpaka wanaingia kaburini
What's wrong with thou gay? Do ye think this dais is for uvccm and BAVICHA? What type of a man are who celebrates any thing articulated by you boss? Adamantly I say one day you will celebrate you boss's deeds when your beloved mom is stripped off her clothes. You don't sit and think when replying to threads here. Next time they will have your head in their home and we won't say anything then.
 
Urais mzuri sana ukitamka neno hata kama ni tusi wapo watakao sema sio tusi rais alikuwa na maana hii pia wapo watakao komaa kwamba alilosema ni tusi. Na akikaa kimya asifafanue wapo watakao andika hata paper kuelezea alikuwa na maana gani. Watadiscuss hilo tamko kama vile limetoka kwa mungu ambaye haonekani.
.
That is an Ignorantio elenche.
 
Katiba ya JMT ibara ya 18-1 inatoa Uhuru wa mtu kutoa mawazo kupitia chombo chochote ndani ya nchi, kukusanyika na kubadilishana mawazo!Kama unataka mjadala wa kupinga haki iliyotolewa kikatiba napata ukakasi kukuelewa!Yaani tujadili juu ya kuvunja katiba?
.
Hakuna mahali ibara ya 18 inasema kwamba kila raia katika nafasi yake kama "mbunge" anayo haki ya 1,2,3.... Read it again. Kisheria, mbunge hala locus standi katika hilo.
 
Kwenda pamoja ni kunahusu pia kuonyesha upotoshaji unaotaka kuufanya hapa wa kuvilaumu vyombo vya habari. Huu hapa ni mfano mwingine wa kuonyesha jinsi ulivyo mpotoshaji. Huyu Mkuu wa mkoa anapata wapi nguvu ya kuweza kutamka kauli hii hadharani bila hata woga huku akijua fika Tanzania si nchi ya chama kimoja bali ya vyama vingi.

Tamko la Rais la kuzuia siasa hadi 2020 laanza kutolewa mwangwi na wakuu wa Mikoa.
"Marufuku mikutano ya siasa katika mkoa wangu, wasubiri hadi 2020 kama watakuwa hai. Kama wanataka kujifunza siasa watafute pahali pengine. Nitawafuata hata wakiwa watatu ndani". - Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Daktari Steven Kebwe akiongea na wazee


.
Naamini katika mjadala inayokwenda kwa style ya point-counter-point.
Naomba ujielekeza hivyo ili twende pamoja.
 
.
Ninauamini na kuuelewa--It contains my justified true beliefs.


Unataka na sisi tuuamini??

Iwapo kila mtu ana his/her own true justified belief??

Hata hivyo hiyo ni aina ya maisha ya huko kuzimu

Tatizo la huko kuzimu ni
1) unafiki na uoga vikisindikizwa na mama yao mkubwa umaskini alie zaa njaa ambae wajukuu zake ni uoga na unafiki

Kundi dogo la watu huko litatawala milele

Suluhisho ni katiba mpya hasa ile ya yule waziri mkuu wa zamani vinginevyo mtaishi vivyo hivyo miaka nenda rudi
 
Poor Tanzania!! Wachumia tumbo wako wengi sana!!! Apo najuwa umejitoa ufahamu unatafuta uDAS!!!
Kwan Kongamano la ACT ulikuwa ni mkutano wa hadhara?...

Mahafali ya Chaso ilikuwa ni mkutano wa hadhara
 
Mkuu usijitoe fahamu. Huyo unayemzungumzia ni MBUNGE ni MWANASIASA na kwa mujibu wa katiba anayo ruhusa ya kufanya siasa ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, muhimu tu atoe taarifa kwa polisi. Au wewe unaweza kuniambia Chama Cha Siasa kinaongeza vipi wanachama wake bila rallies? Jamani Watanzania tusichezee amani, mbona mna maneno marefu kwenye dhulma? Mkiwa majukwaani nyakati za chaguzi maneno yenu ni 'VYAMA VYA MSIMU HIVYO, HUVIONI HADI WAKATI WA UCHAGUZI' au hujawahi kuyasikia maneno haya?
.
Nikusaidie kuona usichokiona. Katika ngazi ya taifa, baada ya electoral politics rais, madiwani na wabunge wanakwenda kwenye budget politics kupitia bunge, kanseli na wdc. Hapo tumetoka kwenye direct democracy tunaingia kwenye indirect democracy. Katika ngazi ya vijiji na mitaa, baada ya uchaguzi ambao ni direct democracy, wananchi wanaendelea na direct democracy kwa mujibu wa sheria za serikali za mitaa. Kuna mikutano ya vitongozi, mitaa na vijiji angalau mara nne kwa mwaka. Ukiruhusu mikutano ya siasa za kitaifa bila udhibiti serikali za mitaa hazitapata muda wa kufanya political discourse hata siku moja. Rais Magufuli ameliona hili, and for the first time, in my opinion amekuwa LAW GIVER. Tuache kuwa watumwa wa historia. Yafaa tubadiliek sasa. Hoja yake ni nzito.
 
Back
Top Bottom