Kwa mfano kama ni kweli Magufuli alitaka Jengo la TANESCO-UBUNGO libomolewe, ilibidi afikirie kua lile jengo limejengwa kwa pesa yetu na ujenzi uliidhinishwa na Mawaziri husika walikokuwepo kabla yake Magufuli kwenye wizara hiyo. Likibomolewa leo, kesho kuna uwezekano atakuja waziri mwingine anayembadili Magufuli na akaidhinisha ujenzi tena katika sehemu hiyo - sasa utaona kua sisi ndio tunaliwa tokana na maamuzi ya kibabe toka kwa hao mawaziri wa CCM.
Magufuli angetufaa sana kama angesimamia na kuwakaba walioidhinisha ujenzi wa hilo jengo. Pia atatufaa kama atadhibiti ujenzi holela unaoendelea kukua na hapo hapo kupigania raia kupata viwanja vilivyopimwa haraka - bomoa bomoa is too easy kumpa sifa Magufuli. Vilivyofanywa kwa makosa na wenzake kabla yake, basi na waadhibiwe kwanza ili makosa yasirudiwe.
Kimsingi Magufuli si kiongozi mzuri, anafanya mambo kama kuruta - utafikiri amekatazwa kufikiri. Ni kweli tunaweweza kumlaumu magufuli kwa kutaka kubomoa jengo la TANESCO kwa kigezo cha kula hasara walipa kodi wa tanzania. Sasa tujiulize ni kifanyike ili barabara iweze kutanuliwa?
Kuhusu swali lako, si Waberoya, hata mimi pia nimeliona, lakini tutakuwa tuna deal na hoja ambayo ni tricky sana kiasi kwamba uwezekano ni mkubwa kuishia kujadili mhusika zaidi kuliko swali la utawala na uwajibikaji. Hata hivyo, sio lazima kila mara njia ya kuwajibika kwa kujiuzulu ndio the only option, kuna njia zingine za ku-adjust situation na kusonga mbele.
SN, unafikiri Magufuli anaweza kusema bado anayo imani ya Rais na Waziri wake Mkuu? Mimi ninaamini kuwa kitakachoendelea sasa siyo "kuadjust situation na kusonga mbele" bali itakuwa ni "kucompromise on a principle". Nyerere alisema vizuri "ukivunja kanuni katika jambo dogo, kanuni itakuvunja katika jambo kubwa".
Yes nimekuelewa sana japo maada yako ni ngumu sana na kama tutatumia chekeche hili kuwakaanga CCM, masafi ya mtume! hapiti mtu!...usiseme wapinzani , ndio kabisa!
Mkuu unajua tumbo na principle haviendani! unajua ukiwa na njaa sana unaweza kusahau kunawa mikono?
Yes Magufuli he is compromising with the situation because he dont have options/alternative n.k, njaa mbaya na ukiingia kwenye siasa LENGO lao ni hilo kula kwanza mengine baadaye.
I think we need rich leaders, I mean they have to prove they are rich before being leaders !!!! sound strange??
Rafiki yangu mmoja alisema tunapowachagua viongozi na kuwa -install lets ask them HOW MUCH THEY NEED BEFORE commencing their jobs! mfano lets say JK kabla ya kuanza kazi tungempa sh. bilioni 100! ili afanye kazi nyingi na kwa uhakika, maana yeye kujiingiza kwenye dubius deals lime-cost taifa trillions, wakati tunge-save kwa kumpatia yeye bilioni 100, achilia mbali mshahara wake, then same to mawaziri, wakurugenz n.ki!! nilikaa kimya na kutafakari...kidogo ...
If we will reach stage that politics is not a platform to earn money but is a chance to show how one human can increase value of life to other people then we are 'THERE'! kwa sasa bado, are we??
aisee nimeipenda hiyo thanks! - kunawa mikono is the principle..
Lakini tunao hao tayari; lakini swali ambalo ni gumu lini mtu tajiri aliacha kutaka kuwa tajiri zaidi? Yaani alisema "imetosha"?
Ni wazo la kufikiria ni jinsi gani ukimpa hizo fedha hatozitumia vibaya halafu akatafuta mahali pa kupata zaidi?
Ndio maana pamoja na yote wanayomsema Nyerere nadhani anabakia an enigma - najiuliza kuwa kwanini muda wote ule hakutaka kutumia nafasi yake kama kina Mobutu na wenzao? Nadhani tungekuwa na Rais tajiri sana na sasa.. Sijui alikuwa na kitu gani kinamzuia kutumia nafasi yake ile kujijengea mavila ya kupumzikia huko Zanzibar na ndege za kumpeleka kunywa Chai Dodoma. Maana siku hizi kuna ndege huwa zinaondoka JNIA usiku kwenda baadhi ya sehemu ambazo Watanzania wangejua - ingekuwa ni vurugu ya mwaka.
Yes nimekuelewa sana japo maada yako ni ngumu sana na kama tutatumia chekeche hili kuwakaanga CCM, masafi ya mtume! hapiti mtu!...usiseme wapinzani , ndio kabisa!
Mkuu unajua tumbo na principle haviendani! unajua ukiwa na njaa sana unaweza kusahau kunawa mikono?
Yes Magufuli he is compromising with the situation because he dont have options/alternative n.k, njaa mbaya na ukiingia kwenye siasa LENGO lao ni hilo kula kwanza mengine baadaye.
I think we need rich leaders, I mean they have to prove they are rich before being leaders !!!! sound strange??
Rafiki yangu mmoja alisema tunapowachagua viongozi na kuwa -install lets ask them HOW MUCH THEY NEED BEFORE commencing their jobs! mfano lets say JK kabla ya kuanza kazi tungempa sh. bilioni 100! ili afanye kazi nyingi na kwa uhakika, maana yeye kujiingiza kwenye dubius deals lime-cost taifa trillions, wakati tunge-save kwa kumpatia yeye bilioni 100, achilia mbali mshahara wake, then same to mawaziri, wakurugenz n.ki!! nilikaa kimya na kutafakari...kidogo ...
If we will reach stage that politics is not a platform to earn money but is a chance to show how one human can increase value of life to other people then we are 'THERE'! kwa sasa bado, are we??
Ndugu MM, topic yako hii, inaweza kukuweka mahali pabaya hata wewe, kwa sababu inaonekana kama kumjadili mtu. Tukumbuke kuwa simple minds discuss people...
Kuhusu Pombwe Magufuri, ni mwana sayansi. Watu wengi waliosoma sayansi wana namna yao ya utendaji. Wakijua principle inasema hivi..wao huanza kutekeleza kulingana na hiyo principle inavyosema. Si waongeaji sana kama wewe MM, au kama walivyo wanasiasa per se. Hawaongei sana kama wansheria, au watu waliosoma sana historia. Hawa ni watu, katika aina za watu, wenye kundi lao, ni watendaji.
Kuhusu uuzaji wa nyumba, ilikuwa ni maamuzi ya pamoja katika baraza la mawaziri, kipindi cha serikali ya BW Mkapa. Mkapa alikuwa na utaratibu wa kufanya vikao na mawaziri wake ili waweze kuwa na uamuzi wa pamoja. Naona Kikwete hilo si muhimu sana, yeye anawatembelea huko huko wizarani kwao mmoja mmoja. Kwahiyo baada ya uamuzi huo, Magufuri alianza kutekeleza kwa kishindo principle ya baraza la mawaziri.
Kuhusu hili la bomoa bomoa, naona lina sababu tatu (1) sheria ndio inataka hivyo (2) ilani ya uchaguzi inatao ahadi ya kujenga fly overs na usafiri wa kasi (3) alipelekwa wizara hiyo kwenda kuondoa malalamiko mengi yaliyokuwepo ikiwa ni pamoja na ufisadi.
Kwasababu hizo tu rais alitakiwa kumpa special treatment, yaani kuwa naye karibu ili kuweza kumrekebisha pale anapoharibu na kumpa moyo ili afanye ile kazi aliyompa aifanye katika hiyo wizara ngumu.
Magufuri, amejijengea jina, ambalo hata asipokuwa na madaraka, wengi mtamkumbuka. Ndiyo maana leo tunamjadili yeye na siyo Dr Kawambwa. Ndio maana Lyatonga Mrema ambaye hana madaraka ya uwaziri, lakini nchi nzima tunakumbuka utendaji wake. Hata Hayati Moringe Sokoinne, pia hatasahaulika kwa uwezo wa kutekeleza na kufuatilia utekelezaji katika serikali ya awamu ya kwanza.
Mwisho, kila mtu anaweza kuwa na taswira yake kutegemea na kazi anayofanya, madaraka aliyopewa na aina ya mkuu wake wa kazi alivyo. Kama Dr JP Magufuri angekuwa anafanya kazi chini ya rais Nyerere au Dr Slaa, nadhani angeweza kuwa na manufaa makubwa sana kwa taifa hili.
sasa kwa mfano akiwa Rais Magufuli atatuongozaje?
Mkuu wangu mimi nitatofautiana sana na wewe pamoja na Mwanakijiji ktk hili....Kwa maana yangu na mtazamo wangu. Kiongozi anatakiwa kwanza UZALENDO hata ukiwa na njaa maadam kuna uzalendo haijalishi kama umenawa mikono au hukunawa maadam wewe na uzalendo wako unajiamini kwamba ni msafi.Yes nimekuelewa sana japo maada yako ni ngumu sana na kama tutatumia chekeche hili kuwakaanga CCM, masafi ya mtume! hapiti mtu!...usiseme wapinzani , ndio kabisa!