Magufuli avuruga mchoro wa Lowassa na CHADEMA!

Magufuli avuruga mchoro wa Lowassa na CHADEMA!

Lakini kwa HEKIMA na USHAURI aliopata akaamua kumpongeza Uhuru kenyatta HARAKA sana na kuwaacha CHADEMA na Lowassa wakishangaa tu wasijue nini cha kufanya.
Hapa ndipo ulipoharibu na kuonyesha udhaifu wako.
Kama alitoa pongezi kutoka moyoni,ushauri
ulikuwa wa nini?
 
Haha haha unafiki tu! Odinga yuko njiani kuja chato kwa mapumziko!! Uhuru na Magu ni mwanga na giza havichangamani
 
Jamani acheni matusi kwani Chadema wamefanikiwa kitu gani kama sio upumbavu tu!!! Huyo wakili wao alitangaza duniani Tanzania ya Magufuli inyimwe misaada sasa umeona? Magufuli haendi kokote kutembeza bakuli lakini wenyewe wanaleta misaaada wamewapuuza Chadema na ombi lao, jana tumeshuhudia Bill Gates alafu balozi wa Marekani wakimwaga misaada poleni sana Chalema!!!
Pole sana. Elimu Elimu Elimu. Hiyo yote ni ya Kikwete walisha ahidi kitambo ndio inamaliziwa kutolewa. Huyo wasasa si alisema Tanzania itakuwa inatoa misaada sio kuomba au umeshau, Ila sasa tunaomba misaada kwa Ethiopia na Waturuki..
 
Haha haha unafiki tu! Odinga yuko njiani kuja chato kwa mapumziko!! Uhuru na Magu ni mwanga na giza havichangamani
URAFIKI wao ni sawa. Kile nichokizungumzia ni MASLAHI ya kama nilivyoeleza hapo juu.
 
Kwa maana nyingine ni kwamba kama maguful kamuunga mkono kenyatta aliyepigiwa kampeni na lowassa ni kwamba aneukubali kazi ya lowassa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa ndipo ulipoharibu na kuonyesha udhaifu wako.
Kama alitoa pongezi kutoka moyoni,ushauri
ulikuwa wa nini?
UNAFIKIRI RAIS HURUPUKA tu jinsi ANAVYOWAZA bila "CONSULTATIONS"
Ndo maana anaitwa Rais JMTZ. Maana yake hufanya kazi na TEAM kila TAMKO la RAIS hupimwa madhara yake. Ndo maana marais wote duniani wana WASHAURI maalumu. Kwa mfano.
1.Wa mambo ya USALAMA.
2.UCHUMI
3.MAMBO ya nchi za KIGENI
4. nk.
Hii ni kusema inapofika KUJIBU kuhusu mambo ya kigeni, Rais HAONGEI na mshauri wa masuala ya UCHUMI.
Tunatumia neno Magufuli kama rais na ndani yake kuna MAMBO MENGI.
Rais yeyote duniani ASIYEKUWA na WASHAURI, basi mambo HUMHARIBIKIA.
Maana anaweza kutoa MAAMUZI yanayoweza kuleta utata katika taifa lake.
Ahsante mkuu.
 
Ni lazima atume salamu za pongezi awe anataka au hataki hata kinafiki

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna tatizo ni njia ipi ama nia ipi.
Jambo kubwa ni score/Kupya ushindi KIDIPLOMASIA.
Kuwa Tz HATUINGILII masuala ya ndani ya nchi ya Kenya.
Mambo mengine utajijazia.
 
Dk.Bana amekuwaje?
IMG-20170811-WA0020.jpg
 
Back
Top Bottom