kayaman
JF-Expert Member
- Aug 3, 2013
- 4,516
- 10,442
Sisi msg tumesevu kabisa ni kubadili tu jina!
Sisi msg tumesevu kabisa ni kubadili tu jina!
Una ushahidi na hilo la kibiti ?Plan yao ya Kibiti pia tumeimaliza. Chadeko 2020watakuwa kama TLP
Ahsante mkuu. YAMEISHA.Nashukuru kwa kungudua hayo. Tuendelee na mjadala. Ahsante.Mhh!mkuu umenikata maini kwa kweli inawezekana nimeishambulia hoja yako kwa ukali mno nami sina asili ya ugomvi just got carried away na ubovu wa hoja yako !ila kwa namna ya kistaarab ulivyo react naona bora nijirudi na mimi !
Niwie radhi siku nyingine nitakusema kistaarab! Have a nice sunday!
Sent using Jamii Forums mobile app
Forgiven sir.
Mkuu Basi nawe leta issue yako nayo iki tuijadiri.unajkanyaga huna issue
Urafiki na maslahi ya kitaifa havichangamani.
Mange ana MAMLAKA yapi na ni NANI? Acha mzaha kuhusu mambo yaliyo muhimu.Hizi salam kazitoa baada ta MANGE kuamrisha atoe pongezi ndani ya SAA 24 na kweli ametekeleza japo hataki kushauriwa[emoji12] [emoji196]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sizonje ndo NANI?
Nashukuru kwa kuniona MJINGA.Sitakasirika.Nikitumwa kuleta mtu mjinga duniani hakika sitasita kukuchagua
Ni wewe ndo ulisema. Na unisukumia mzigo?U
Utajijua mwenyewe
Chadema wamefungwa magoli mengi tokana na hii blunder yao.Duh kambi ccm wanachuana na kambi ukawa
Magufuli amempongeza Uhuru hiyo si ndo ni pointi?
Una ushahidi na hilo la kibiti ?
Erythrocyte. Huenda nae ana ka pointi. Hatuwezi ku rule out any dotsUna ushahidi na hilo la kibiti ?
Usibague watu kwa jinsia zao. Hayo ni makosa makubwa.Acha kutuma Uzi wenye chembechembe za kidemu unakua ka demu kutuma umbea umbea humu
Tatizo lao walikurupuka kutoa support bila kufikiria madhara yake. Sasa mabo ndo hayo.Hawa upinzani hawajui hata wanapinga nini wamevurugwa na kubebwa hovyo kama gari bovu. Urafiki wawatu tangu awali wakakurupuka oohh anamuunha mkono Odinga wakati hajawahi kutamka. Watu wakutunga na kulalamika tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jina la Raila ninalijua. Ila la SIZONJE silifahamu. Ni nani huyo?
Ahsante kwa kumwelimisha.Hapana, ni kawaida kwa maraisi kupongezana kulinda amani
Ni duniani kote