Magufuli atawamudu Home Shopping Centre?

Magufuli atawamudu Home Shopping Centre?

Sasa ndio wabia wa serikali hii , tusitegemee vita dhidi ya ufisad.

Sahz g.s.m ndio marafiki wa magufuri watu walioimaliza nchii hii pale bandarin kupitia jina la hom shopping center. Hii kwa vituko hatujambo
 
Yule mkuu wa....ndiyo kama middlefield pia

OVA
Sasa ndio wabia wa serikali hii , tusitegemee vita dhidi ya ufisad.

Sahz g.s.m ndio marafiki wa magufuri watu walioimaliza nchii hii pale bandarin kupitia jina la hom shopping center. Hii kwa vituko hatujambo
 
Mimi naendelea kumwaza Lema, nasikia mpaka February! Na nasikia mkutano uliopelekea kesi inayomkabili aliufanyia jimboni kwake kama ilivyoelekezwa na mamlaka za juu.
 
Ndio maana hawatochunguzwa, hawatoshtakiwa, na wakipatikana na hatua hawatofilisiwa mali zao na za jamaa zao, hawatofungwa kwa uhujumu uchumi, hawatofanywa lolote lile kwa sababu Magufuli hatotaka kwenda kinyume na mtu aliyemtangaza nchi nzima?

Lakini habari za ndani kabisa ni kuwa sasa hivi hawa waarabu wanajiandaa kuhamishia makao yao makuuu Rwanda au Msumbiji kwani hawana uhakika na insurance policy yao (Msoga?)

Pia kuna madai kuwa wanazo diplomatic passports wao na wanafamilia zao hivyo wa kitakachoendelea kaondoka wanapita tuuu pale VIP bila kubugudhiwa au kaulizia kitu.

Yule wa Guangzhou sasa hivi yuko Kigali. Lakini kiusalama ni kuwa hawa jamaaa sote tunajua ni bunch of thugs masquerading as businessmen na access waliyokuwa nayo utajiuliza clearance walikuwa na nani wakawa karibu kiasi kile na Ikulu na mawaziri, maofisa wakuu wa idara nyeti za serikali na wabunge.

Hawa jamaa ni wa Yemen na allegiance yao iko Yemen na tusisahau kuwa Yemen ni hotbed ya Al Qaeda in Arabian peninsula na ma terrorists wengine. Sasa cha kijiuliza kwa unprecedented access waliyokuwa nayo tuna u hakika gani kama ulinzi na taarifa za siri za serikali hazijabadilika (compromised)?

Tukiondoa suala la terrorism, kuna suala la espionage na najiuliza Salaah wa HSC kule China alikuwa na access ya kutisha. Je, kuna possibility alishawahi kunyanyua data toka kwenye laptop ya mawaziri au viongozi wetu bila wao kujua? M

ind you alikuwa anawaandalia safari, ana book hoteli zao, anaenda kuwapokea Hong Kong, anawapa pesa, anawahudumia kuwafanyia shopping, anatuma makontena yao bila kulipa ushuru, kisha makontena yao yanatolewa bureee hapo bandarini na sie tutaona sawa tuuu! Je, tuna uhakika gani kama our national security haijawa compromised na hawa jamaa??

Hii ndio Tanzania, mwarabu anatoka kwao Hadharamawt (hapa kuna Umauti) Yemen, anakuja kutafuta rizki Tanzania kisha anatesa watanzania, anahusika na kashfa za ufisadi bandarini na kukodisha serikali zaidi ya Trilioni 2 kwa kipindi cha miaka 10, kisha anazawadiwa nafasi ya Ubalozi China, kisha wanawaweka wakuu wa ulinzi na usalama hususan polisi kwenye mikono yao, kisha wanawanunua mawaziri na wabunge, kisha wanawaendesha wakuu wa idara nyeti za serikali na on top wanaleta kiburi cha kututukana, kutunyanyasa, kututesa ndani ya nchi yetu!?

Binafsi sitegemei kama Magufuli atawagusa hawa washihiri. Mbaya zaidi najiuliza, hivi CCM ilishindwa vipi kupata mfadhili mbadala ya hawa wabaguzi, mafisadi, wasioionea huruma nchi hiii?
Kuna unachokilenga wewe
Huko kote umepitia tu..!!
 
Hivi ile BAHARI KIMYA SHIPPING near makao makuu na yenyewe imebadilishwa jina au??

Hawa jamaa walichokifanya nchii hii Mungu anajua.

Na kwa taarifa YAKO hawaguswi NG'O walihakikisha na yule nae MBIA wao..

Am soleeeeeeeeeeeeeeeee
 
Mungu ni mkubwa ukimuamini na kumtii;ukiwauliza msafiri rohoni na mwilini. Lakini kwa mwendokasi huu ninaouona ninachelea kusema mramba mpk usiku uingie mpaka kuchen Mungu hatajibu. Tubuni muuone utukufu wake jinsi ulivyo. Mkia check unafiki Yeye atajibu maombi yenu
 
Awamu 3&4 Ilikuwa zamu ya kina manji&ci Ltd
Awamu hii ni zamu Yao home shipping cnt,
Hawawezi kuguswa haoo

Ova
 
Kumbe home shopping centre ndio:
1. GSM
2. FSM
3. Discount Center
4. Baby Shop
5. n.k
Zamani walikua wakiuza Kilimanjaro Cement?? Naona sikuhizi magari yao yanabeba Dangote cement

Jee, ni wapi ilipopotelea Kilimanjaro Cement??? Au tuamini Dangote ndio Kilimanjaro??

Kama kweli walikuwa hawalipi kodi stahiki kipindi cha nyuma, jee ni mpk leo hawalipi??
Bado ninaona magari yao barabarani yamebeba containers, jee wanaendelea na mchezo wao kama zamani?? Wenye data tujuzeni tumtaarifu Bwana Mkubwa (in Bashite's voice)
 
Ili nchi ipige hatua za maendeleo lwa kasi inahitaji wafanyabiashara wakubwa

Na ili wafanyabiashara waendelee wanahitaji connections na watawala

Kama wanalipa kodi stahiki mimi sioni tatizo, Wapige kazi tu
 
Back
Top Bottom