Magufuli atawamudu Home Shopping Centre?

Magufuli atawamudu Home Shopping Centre?

Kumbe home shopping centre ndio:
1. GSM
2. FSM
3. Discount Center
4. Baby Shop
5. n.k
Zamani walikua wakiuza Kilimanjaro Cement?? Naona sikuhizi magari yao yanabeba Dangote cement

Jee, ni wapi ilipopotelea Kilimanjaro Cement??? Au tuamini Dangote ndio Kilimanjaro??

Kama kweli walikuwa hawalipi kodi stahiki kipindi cha nyuma, jee ni mpk leo hawalipi??
Bado ninaona magari yao barabarani yamebeba containers, jee wanaendelea na mchezo wao kama zamani?? Wenye data tujuzeni tumtaarifu Bwana Mkubwa (in Bashite's voice)

NImeamini BASHITE anatumwa tu.
Mkuu KILIMANJARO CEMENT kipo Tanga na juzi magu alivyokuja alienda kuzindua hiko kiwanda kipo nyuma ya SIMBA Cement.

Kumbuka akiwa Tanga pia alizindua Depot ya mafuta ya GBP, depo ilio katikati ya makaiz ya watu na hakuna wa kuhoji.
Nakumbuka Nundu bungeni alishaombaga hii depo ifungwe na viwanja viwe makazi ya watu.
 
NImeamini BASHITE anatumwa tu.
Mkuu KILIMANJARO CEMENT kipo Tanga na juzi magu alivyokuja alienda kuzindua hiko kiwanda kipo nyuma ya SIMBA Cement.

Kumbuka akiwa Tanga pia alizindua Depot ya mafuta ya GBP, depo ilio katikati ya makaiz ya watu na hakuna wa kuhoji.
Nakumbuka Nundu bungeni alishaombaga hii depo ifungwe na viwanja viwe makazi ya watu.
Unauona umuhimu wa Bashite kwa mkulu?
 
NImeamini BASHITE anatumwa tu.
Mkuu KILIMANJARO CEMENT kipo Tanga na juzi magu alivyokuja alienda kuzindua hiko kiwanda kipo nyuma ya SIMBA Cement.

Kumbuka akiwa Tanga pia alizindua Depot ya mafuta ya GBP, depo ilio katikati ya makaiz ya watu na hakuna wa kuhoji.
Nakumbuka Nundu bungeni alishaombaga hii depo ifungwe na viwanja viwe makazi ya watu.
Kumbe wapo wanaoelewa hii michezo dalili kwamba yana mwisho. Ukifika hapa unajiuliza Tanzania ufisadi ni nini na mafisadi hasa ni kina nani!
Mitaji haramu inababilishwa tu majina and no wonder luck cement na kilimanjaro cement haziagizwi tena kutoka Pakistan bila ya sisi kujiuliza ilikuwa inaagizwa na nani!
 
Ndio maana hawatochunguzwa, hawatoshtakiwa, na wakipatikana na hatua hawatofilisiwa mali zao na za jamaa zao, hawatofungwa kwa uhujumu uchumi, hawatofanywa lolote lile kwa sababu Magufuli hatotaka kwenda kinyume na mtu aliyemtangaza nchi nzima?

Lakini habari za ndani kabisa ni kuwa sasa hivi hawa waarabu wanajiandaa kuhamishia makao yao makuuu Rwanda au Msumbiji kwani hawana uhakika na insurance policy yao (Msoga?)

Pia kuna madai kuwa wanazo diplomatic passports wao na wanafamilia zao hivyo wa kitakachoendelea kaondoka wanapita tuuu pale VIP bila kubugudhiwa au kaulizia kitu.

Yule wa Guangzhou sasa hivi yuko Kigali. Lakini kiusalama ni kuwa hawa jamaaa sote tunajua ni bunch of thugs masquerading as businessmen na access waliyokuwa nayo utajiuliza clearance walikuwa na nani wakawa karibu kiasi kile na Ikulu na mawaziri, maofisa wakuu wa idara nyeti za serikali na wabunge.

Hawa jamaa ni wa Yemen na allegiance yao iko Yemen na tusisahau kuwa Yemen ni hotbed ya Al Qaeda in Arabian peninsula na ma terrorists wengine. Sasa cha kijiuliza kwa unprecedented access waliyokuwa nayo tuna u hakika gani kama ulinzi na taarifa za siri za serikali hazijabadilika (compromised)?

Tukiondoa suala la terrorism, kuna suala la espionage na najiuliza Salaah wa HSC kule China alikuwa na access ya kutisha. Je, kuna possibility alishawahi kunyanyua data toka kwenye laptop ya mawaziri au viongozi wetu bila wao kujua? M

ind you alikuwa anawaandalia safari, ana book hoteli zao, anaenda kuwapokea Hong Kong, anawapa pesa, anawahudumia kuwafanyia shopping, anatuma makontena yao bila kulipa ushuru, kisha makontena yao yanatolewa bureee hapo bandarini na sie tutaona sawa tuuu! Je, tuna uhakika gani kama our national security haijawa compromised na hawa jamaa??

Hii ndio Tanzania, mwarabu anatoka kwao Hadharamawt (hapa kuna Umauti) Yemen, anakuja kutafuta rizki Tanzania kisha anatesa watanzania, anahusika na kashfa za ufisadi bandarini na kukodisha serikali zaidi ya Trilioni 2 kwa kipindi cha miaka 10, kisha anazawadiwa nafasi ya Ubalozi China, kisha wanawaweka wakuu wa ulinzi na usalama hususan polisi kwenye mikono yao, kisha wanawanunua mawaziri na wabunge, kisha wanawaendesha wakuu wa idara nyeti za serikali na on top wanaleta kiburi cha kututukana, kutunyanyasa, kututesa ndani ya nchi yetu!?

Binafsi sitegemei kama Magufuli atawagusa hawa washihiri. Mbaya zaidi najiuliza, hivi CCM ilishindwa vipi kupata mfadhili mbadala ya hawa wabaguzi, mafisadi, wasioionea huruma nchi hiii?
Kwa kuwa umeliongelea hili swala basi umeshaharibu,labda use mwanaccm,si unajua jamaa yetu hataki kuonekana ameambiwa? Wewe imba pambio ya kusifu ña kuabudu ñdo anasikiliza ila hata mengine ukisema umeharibu
 
Hao waarabu wa GSM ndiyo wamejenga gorofa la unofficial First Lady aitwae Grace na wanasomesha wadogo zake Jessica wawili wa kiume. In return ndiyo waliopata zabuni ya ununuzi wa panga boy.

Aiseee, yaelekea unajua mengi wewe mkuu. Hebu mwaga huu ubuyu vizuri
 
Back
Top Bottom