Magufuli "atalazimishwa" na "wanyonge" akubali miaka saba

Magufuli "atalazimishwa" na "wanyonge" akubali miaka saba

Na tulivyo wanyonge tutakubali na kumwachia atawale miaka saba. Tutamwachia Mungu.
Yule aliye kuwa na ujasiri wa kukemea mambo kama haya wane mpyu pyu, ni Mingu tu alimnusuru na kifo
 
Huu mchakato usiutazame kwa jicho la kizembe-zembe. Utizame na ufuatilie kikamanda

Huu mchakato ni copy and paste kutoka kwa Paulo Kagame. Huu mchakato uko hatua za awali usidhani umefifia,nooo ndio kwanza kuni za kuwasha moto zinasanywa. Ninakupa experience ya ilikuwaje Kagame akabadilisha katiba kutoka miaka mitano mitano mpaka saba? Ilikuwa hivihivi anakataa-kataa, halafu wanyonge feki wanamlazimisha.

Mh. Juma Mkamia anajua anachokifanya, badala ya kumkebehi na kumdharau mnapaswa kumuandalia tuzo,zawadi ya ushindi. Subirini hoja yake ipewe nafasi ya kujadiliwa bungeni.

Mjadala huo utatumbuizwa na maandamano ya kumuunga mkono kutoka kwa "watanzania wanyonge". Kwanza itaanzia Dodoma. Wanyonge wa Dodoma wataandamano kumshinikiza rais akubali maombi yao. Halafu sauti zitapazwa na kuitikiwa na wanyonge kila mahali.

Hatima yake Rais ataheshimu kilio cha watanzania wanyonge waliokombolewa na John Pombe Joseph Magufuli toka mikononi mwa wapiga dili. Kwamba watanzania wanyonge wana nia njema na rasilimali za nchi.

Haaaaaaaa haaaaaaa. Msidhani kila mtu mshamba wengine tuna akili zetu na tutabaki kuona mbali siku zote. Msiseme sikusema
Hiyo itatokea ila baada ya uchaguzi wa 2020
 
Unajuwa mkuu sisi watanzania tunashinikizwa kwa mambo ya ajabu sana Mimi maono yangu tukitaka ukweli wa hili jambo wawaite hao wanyonge wao alafu wafunge vifaa vya upigaji uwe wa fingure print Alafu waone ukweli uko wapi.

BuletAngle ,
Mkuu,
Bado watashinda hata wafunge vifaa vya Nasari. Na Msigwa na Lema.

Suluhisho, ni.kukataa huo mchakato kwa nguvu.

Bila hivyo, EAC camp inajengwa na.....wasiojulikana.

Wewe angalia Rwanda, Uganda, Burundi, South Sudan Kenya napo pana ukakasi kwenye chaguzi zao zote mbili zilizopita.
Pia, Tanzania, tunajikongoja kwenye siasa safi.

Kwa hiyo, tegemea majanga hapo Tanzania kama hiyo issue itapitishwa maana, wazungu wataweka vikwazo faster sana ndani ya wiki mtashangaa vikwazo siyo chini ya 10.
 
Huu mchakato usiutazame kwa jicho la kizembe-zembe. Utizame na ufuatilie kikamanda

Huu mchakato ni copy and paste kutoka kwa Paulo Kagame. Huu mchakato uko hatua za awali usidhani umefifia,nooo ndio kwanza kuni za kuwasha moto zinasanywa. Ninakupa experience ya ilikuwaje Kagame akabadilisha katiba kutoka miaka mitano mitano mpaka saba? Ilikuwa hivihivi anakataa-kataa, halafu wanyonge feki wanamlazimisha.

Mh. Juma Mkamia anajua anachokifanya, badala ya kumkebehi na kumdharau mnapaswa kumuandalia tuzo,zawadi ya ushindi. Subirini hoja yake ipewe nafasi ya kujadiliwa bungeni.

Mjadala huo utatumbuizwa na maandamano ya kumuunga mkono kutoka kwa "watanzania wanyonge". Kwanza itaanzia Dodoma. Wanyonge wa Dodoma wataandamano kumshinikiza rais akubali maombi yao. Halafu sauti zitapazwa na kuitikiwa na wanyonge kila mahali.

Hatima yake Rais ataheshimu kilio cha watanzania wanyonge waliokombolewa na John Pombe Joseph Magufuli toka mikononi mwa wapiga dili. Kwamba watanzania wanyonge wana nia njema na rasilimali za nchi.

Haaaaaaaa haaaaaaa. Msidhani kila mtu mshamba wengine tuna akili zetu na tutabaki kuona mbali siku zote. Msiseme sikusema
Yaani umewaza vyema kabisa na ndo maana kati ya yote ambayo polepole alizungumza na rais aliona atoke na hilo ili kuwapumbaza Watukisaikorojia maana jambo hilo kisingekuwa kwenye mpango wao mh asingerigusia kabisa, kwahili muda utazungumza.
 
Poise,
Ngoja niendelee kula bata huku Wellington maana, hakuna namna.

Sijui huyu jamaa wa kwenye avatar yangu aliwaza nini aisee....
 
Tena inaweza ikazidi hiyo saba

clem sayi ,
Mkuu,
Tutegemee vikwazo rukuki hilo likipitishwa.

Nakuhakikishia , wazungu wanatuvutia pumzi kwenye hilo kama Chui anavyovuta pumzi wakati wa kumkimbiza swala.
Maana, wazungu wamekasirika sana ila kwa bahati mbaya watu kama Ngamia hawaelewi kinachoendelea huku duniani tulipo sisi akina Poise

Muda utaongea.

Poise, niko zangu Wellington nakula bata.
 
Hao wanyonge walionufaika na uongozi wake ni akina nani hebu wajitokeze watueleze walivyonufaika na utawala wake.
Je katika katika kunufaika huko unyonge wao umefikia level gani? Hapa hakuna cha wanyonge ila wanufaika na mfumo ndo wapiga zumari,akili za mashithole utazijua tu

Mimi ni Mmoja wa wanyonge nilionufaika

Sina hofu ya Vurugu za Maandamano kwa zaid ya Miaka miwili haijawahi tokea kwa robo Karne
 
Hivi wanyonge ni watu wa namna gani, sijawahi kuelewa hii dhana ya unyinge kwenye utawala huu. Eti wanyonge wanataka, napigania wanyonge, hao wanyonge ni kina nani???
 
Mimi ni Mmoja wa wanyonge nilionufaika

Sina hofu ya Vurugu za Maandamano kwa zaid ya Miaka miwili haijawahi tokea kwa robo Karne
Ujinga tu ndo maana unakuja na mambo ya kijinga,taja mafanikio yanayoeleweka
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Bata wa kwenye computer?

Pohamba,
Mkuu,
Buku 7ni ndogo sana tena mno huwezi ukafika nilipo hata wakikupa hiyo ajira ya mtandaoni kwa miaka 20 ijayo nauli tu hutaipata.
Achilia mbali visa na accommodation and meals.
 
This is mission impossible but they make to be possible

Ha ha ha ha ha.........
Tanzania
 
Wanyonge hawa waliofukuzwa kwa vyeti fake bila kulipwa mafao yao, uku bashite ana baki?
Au wanyonge waliobomolewa nyumba zao?
Wanyonge hawa ambao kila siku wanatuhumiwa kwa uchochezi?
Wanyonge hawa wanaokamatwa sababu watoto wao wamepewa mimba na wahuni ambao yeye anawatoa jela wabakaji?
Au wanyonge waliokosa pakusemea matatizo yao sababu media zote zinatishiwa?
Eee mola tuepushe na hili balaa km kuna uwezekano kikombe hiki cha mateso ukakiondoa mapema Fanya hivyo haraka tupumue.
Ni full maigizo!!
 
Back
Top Bottom