Ngatiani
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 412
- 470
Hii habari ni kama itakuwa kweli vile!Hili picha ni kopi endi Pesti Kutoka Kwa Paulo! Nadhani alimuachia Original Version kwahiyo yy anatelezea mlemle!
Hii habari ni kama itakuwa kweli vile!Hili picha ni kopi endi Pesti Kutoka Kwa Paulo! Nadhani alimuachia Original Version kwahiyo yy anatelezea mlemle!
Hao wazungu wako wa huko the so called Wellington wamezuia nini endapo hali ni hiyo E.Africa Karibu yote? Jadili mada kwa kuleta mbinu mbadala punguza HANGOVER za hao bata unaokula.
Hiyo kazi anapigia uvunguni?Ujue hata mimi naunga mkono! Jamaa anapiga kazi!
Matusi hapana
Hayo ni mawazo yangu tu.
Ujue hata mimi naunga mkono! Jamaa anapiga kazi!
Matusi hapana
Hayo ni mawazo yangu tu.
Hii kitu ndicho kinachoboa! CDM imejaa wanaharakati tu. Lowassa amejitahidi kuwaondoa ila bado tu! Angalia hapa JF ni ukosoaji, matusi na baya zaidi kuzusha mambo. Kila siku nawaambia kuzusha kunaua upinzani hawasikii. Unakumbuka Mchambuzi alitoa sred ipi wakampinga ile mbaya. Leo mwalimu ni mgombea kinondoni Kikao cha Magufuli na Lowassa chailainisha CHADEMA kutia mguu Kinondoni na SihaHata hiyo miaka mitano iliwekwa kutokana na maoni ya watu kama Nkamia tu,kama atawashawishi walio wengi hakuna shida.
Hiyo demokrasia ipo kikatiba tatizo ni uwepo wa upinzani dhaifu usiodhibiti chombo chochote cha maamuzi miaka 25+ toka uasisiwe.
Mnapinga kila kitu halafu hamna akidi ya kelele zenu kuleta impact kwenye vyombo vya maamuzi.
Kama Uganda tu,hii issue ikiingia bungeni mtasusa ngoma itapenya.
Life goes on.