Magufuli "atalazimishwa" na "wanyonge" akubali miaka saba

Huu mchakato usiutazame kwa jicho la kizembe-zembe. Utizame na ufuatilie kikamanda

Huu mchakato ni copy and paste kutoka kwa Paulo Kagame. Huu mchakato uko hatua za awali usidhani umefifia,nooo ndio kwanza kuni za kuwasha moto zinasanywa. Ninakupa experience ya ilikuwaje Kagame akabadilisha katiba kutoka miaka mitano mitano mpaka saba? Ilikuwa hivihivi anakataa-kataa, halafu wanyonge feki wanamlazimisha.

Mh. Juma Mkamia anajua anachokifanya, badala ya kumkebehi na kumdharau mnapaswa kumuandalia tuzo,zawadi ya ushindi. Subirini hoja yake ipewe nafasi ya kujadiliwa bungeni.

Mjadala huo utatumbuizwa na maandamano ya kumuunga mkono kutoka kwa "watanzania wanyonge". Kwanza itaanzia Dodoma. Wanyonge wa Dodoma wataandamano kumshinikiza rais akubali maombi yao. Halafu sauti zitapazwa na kuitikiwa na wanyonge kila mahali.

Hatima yake Rais ataheshimu kilio cha watanzania wanyonge waliokombolewa na John Pombe Joseph Magufuli toka mikononi mwa wapiga dili. Kwamba watanzania wanyonge wana nia njema na rasilimali za nchi.

Haaaaaaaa haaaaaaa. Msidhani kila mtu mshamba wengine tuna akili zetu na tutabaki kuona mbali siku zote. Msiseme sikusema
Sio Magufuli!Huyu bwana ni kisiki cha mpingo.
 
Mkuu kwani tatizo ni nini?, na wewe unataka kugombea?, jamaa atakua kizingiti kwako?, elewa zama zinabadilika, mfumo tulio nao sasa si msahafu au biblia, kaa tayari kwa mabadiliko yoyote yale yajayo, usikariri maisha
 
Unafiki kama huu umeligharimu taifa. Isingekuwa viongozi wanafiki na waroho huyo Magufuli angekuta nchi ipo mbali. Unapokataa leo na kesho umepanga kukubali tukuite nani
 
Mabadiliko huwezi yaziwia dunia ya Leo, suala ni namna ya kukabiliana nayo, kuita kila anayekua tofauti na mtizamo wako mnafiki, basi hata wewe ni mnafiki, kwa sababu kuna raia wasiokubaliana na mtizamo wako,

Huko ulaya tunasikia na kuona changes za kila aina, mfano British na brexit,, Spain na Jimbo la katalonya, Trump kila siku anabadilika msimamo kuhusu afrika na mengineyo mengi.
Suala hapa demokrasi iachwe ichukue mkondo wake, tuna Bunge ambalo kwa mfumo wa kikoloni ndo wawakilishi wetu, uwe mpole
 
Kisiki kilichoishi chumba kimoja na wapiga dili 20yrs serikalini? Kisiki kilichoanzisha mahakama ya mafisadi halafu kinageuka kuwatetea mafisadi wenyewe kina Ben na Mrisho?
Mtasema Mengi,but Magufuli remains to be the best President this country has never had.This truth will be revealed in 2020.Time will tell.
 
Hata angekaa miaka 50 poa tu. Kikubwa mkono unaenda kinywani na wanangu wanapata kuutambua ulimwengu na changamoto zake.

Sioni faida ya kubadilisha marais wakati maisha ya watu hayabadiliki
 
John pombe magufuli niwakupewa miaka nane jumla miaka kumi nasita juhudi zake hamzioni ? kuondoa watumishi hewa, veti feki, elimu bure, kukomboa rasilimali eg madini, ununuz wa ndege , miundombinu kila kono barabara zinajengwa, huko kweny umeme ndio usiseme. mnataka nini nyie acheni mihemko jpm chap kazi wanyonge tunakuelewa
 
Watanzania daini katiba mpya na tume huru vinginevyo mtapata tabu sana, taifa limegawanyika kabisa
 
Hata angekaa miaka 50 poa tu. Kikubwa mkono unaenda kinywani na wanangu wanapata kuutambua ulimwengu na changamoto zake.

Sioni faida ya kubadilisha marais wakati maisha ya watu hayabadiliki
Mkuu utafikiri uko akilini mwangu.To me it doesn't matter who is in power.Akiwa rais mzuri hata akikaa 100 years,fine.
 
Sina hakika kama mheshimiwa rais atakubali kuingia katika historia mbaya ya viongozi walioharibu utaratibu wa taifa letu na kutamani kuwa watawala wa milele.
 
Leadership in most African countries is just not what it seems in the media. Leadership in African countries is an opportunity to make one's life better and for those who are nxt to the big man. Sorry to say but there is a time we need to accept our reality no matter who says it coz it just sounds abusive at the beginning but at the end it derives the reality::Africa is not what it used to be now it's a shithole for all crap that comes just like in Tanzania.
 
Naona utulivu uliokuwepo Tz unaanza kutoweka taratibu sababu ya ubinafsi na chuki za Mkwere vs mkapa.
 
Huu mchakato usiutazame kwa jicho la kizembe-zembe. Utizame na ufuatilie kikamanda

Huu mchakato ni copy and paste kutoka kwa Paulo Kagame. Huu mchakato uko hatua za awali usidhani umefifia,nooo ndio kwanza kuni za kuwasha moto zinasanywa. Ninakupa experience ya ilikuwaje Kagame akabadilisha katiba kutoka miaka mitano mitano mpaka saba? Ilikuwa hivihivi anakataa-kataa, halafu wanyonge feki wanamlazimisha.

Mh. Juma Mkamia anajua anachokifanya, badala ya kumkebehi na kumdharau mnapaswa kumuandalia tuzo,zawadi ya ushindi. Subirini hoja yake ipewe nafasi ya kujadiliwa bungeni.

Mjadala huo utatumbuizwa na maandamano ya kumuunga mkono kutoka kwa "watanzania wanyonge". Kwanza itaanzia Dodoma. Wanyonge wa Dodoma wataandamano kumshinikiza rais akubali maombi yao. Halafu sauti zitapazwa na kuitikiwa na wanyonge kila mahali.

Hatima yake Rais ataheshimu kilio cha watanzania wanyonge waliokombolewa na John Pombe Joseph Magufuli toka mikononi mwa wapiga dili. Kwamba watanzania wanyonge wana nia njema na rasilimali za nchi.

Haaaaaaaa haaaaaaa. Msidhani kila mtu mshamba wengine tuna akili zetu na tutabaki kuona mbali siku zote. Msiseme sikusema
Hiv akitoka yeye akaja rais mbadhirif, mfujaj, dhaalim
Je hamtataka ukomo wa rais upunguzwe zaid????
 
Back
Top Bottom