Magufuli ataka CHADEMA "washindwe na walegee"

WAZIRI wa Ujenzi, John Magufuli amekitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kiache kutoa watusi katika mikutano yake huku akikiombea dua akitaka "Kishindwe na kilegee katika jina la Yesu."
Alitoa kauli hiyo jana jioni, katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa shule ya Msingi, Chato ambao ulihudhuriwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ambaye yuko katika siku yake ya nne ya ziara ya kikazi mkoani Kagera.
"Tulipata ugeni katika Wilaya yetu ya Chato lakini wakubwa wao hawakuja, hakuna cha msingi walichosema bali ni matusi tu. Mimi nasema washindwe, washindwe na walegee katika jina la Yesu" alisema huku akishangiliwa. Alisema Watanzania wanachotaka ni kuona wanatatuliwa matatizo yanayowakabili na hasa changamoto za barabara, walimu au maji na sio kusikia matusi katika majukwaa.
MWANANCHI MACHI 8 2011

naona anafanya siasa za ushabiki sometimes!!!
 
waziri wa ujenzi, john magufuli amekitaka chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) kiache kutoa watusi katika mikutano yake huku akikiombea dua akitaka "kishindwe na kilegee katika jina la yesu."
alitoa kauli hiyo jana jioni, katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa shule ya msingi, chato ambao ulihudhuriwa na waziri mkuu, mizengo pinda ambaye yuko katika siku yake ya nne ya ziara ya kikazi mkoani kagera.
"tulipata ugeni katika wilaya yetu ya chato lakini wakubwa wao hawakuja, hakuna cha msingi walichosema bali ni matusi tu. Mimi nasema washindwe, washindwe na walegee katika jina la yesu" alisema huku akishangiliwa. Alisema watanzania wanachotaka ni kuona wanatatuliwa matatizo yanayowakabili na hasa changamoto za barabara, walimu au maji na sio kusikia matusi katika majukwaa.
Mwananchi machi 8 2011

hiyo ilikuwa ni kujipendelkeza kabla ya pinda hajamshushua kwa kutumia ubabe na kutoshirikisha serikali katika maamuzi yake hivyo akampiga stop!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mwanasiasa yeyote anayetumia maneno ya dini moja dhidi ya wananchi ambao ni wa dini mbali mbali ni wa kuogopwa na kutengwa kama ukoma. Mara nyingi huwa sio tu amefilisika kisiasa ila pia inaonyesha wazi ni kwa kiasi gani ubongo wake umedumaa.
 
yeye(pombe) ndiye ameshindwa na kulegea kabisa and i dont think if he will raise again. am sure of that
kitendo alichofanyiwa na pinda cha kumcrash mbele za watu juu ya mpango wa bomoabomoa kimemuhumilate sana na sijui atatuambia nini tena. he is dead and gone
 
Naomba kuuliza. Ukiwa Waziri, ukaingia Wizarani, ukaanza kusimamia sheria ulizozikuta, unakuwa umekosea? Yaani hata sheria ulizozikuta ni lazima ukaulize baraza la mawaziri? Hapa naona mtoto wa mkulima amechemsha. Pili, hivi ukiwa na wakubwa lazima uongee? Yaani Magufuli anawalaumu Chadema kwa lipi? Angekaa kimya ingetokea nini? Mbona akina Mwandosya hawaipondi Chadema na bado ni mawaziri? Magufuli umechemsha!
 
Ndio anajimaliza tena kwa kuikandia CDM. Au ndio frustration za kupigwa rungu ya kichwa na mtoto wa fisadi?
 
Pombe na wewe!! ulikua unatafuta sifa kwa PM au? Mwenzio hakuangalia makunyazi, amekuchana hapo hapo live.
 
..hakuna hata siku moja utamsikia Magufuli akijibu hoja zilizoelekezwa dhidi yake bila kutumbukiza kejeli na vijembe.

..yeye anafikiri kuwabeza na kuwatukana wale walio na mawazo tofauti na yake ndiyo kujibu hoja na kutatua matatizo ya wananchi.

..kiburi cha Magufuli ndicho kilichosababisha serikali ikavunja kituo cha mafuta kule Mwanza na baadaye mahakama ikamuona mwenye kituo ana haki na kuamuru serikali imlipe bilioni 14.
 
HAIKA HUU UZI UNAISHI.

KWELI JIWE ALOONYESHA UBAYA WAKE NA ROHO YAKE KITAMBO SANA.

ILA ALIKUWA BONGE LA MNAFIKI.
 
..hakuna hata siku moja utamsikia Magufuli akijibu hoja zilizoelekezwa dhidi yake bila kutumbukiza kejeli na vijembe.

..yeye anafikiri kuwabeza na kuwatukana wale walio na mawazo tofauti na yake ndiyo kujibu hoja na kutatua matatizo ya wananchi.

..kiburi cha Magufuli ndicho kilichosababisha serikali ikavunja kituo cha mafuta kule Mwanza na baadaye mahakama ikamuona mwenye kituo ana haki na kuamuru serikali imlipe bilioni 14.
Enzi hizo...
 
Mkuu unamjua vizuri huyu jamaa toka zamani, hajawahi kuwa na uwezo wa kujenga hoja zaidi ya vitisho na kejeli, na sasa hivi Kawa rais ndio kabisa.
 
Sikuwahi kumuweka Magufuli katika watu waadilifu toka ampe mimba mtoto wa rafiki yake, agawe nyumba za serikali kwa upendeleo na kumpa huyo hawara yake na kaka yake wakati wakiwa pasipo kuwa na sifa za kupewa nyumba hizo.

Magufuli ambaye hakuwawezesha wavuvi, hakuwatafutia soko wavuvi zaidi ya kukamata vyavu za korokoro na kukamata samaki tusizokuwa nauwezo wa kuvua kwasababu ya vitendea kazi duni.

Kizuri afanyacho mwache afanye maana ni wajibu wake lakini sio muadilifu kama wengi wanavyo mnadi
Duh..
 
Watu si hawa sasa! Wenye uwezo wa kusimamia wanachokiamini!!

Magufuli hajawahi kubadirika na hatabadrika, msimamo ni uleule!!
Nouuma saana!!
 
Back
Top Bottom