Magufuli ataka CHADEMA "washindwe na walegee"

Magufuli ataka CHADEMA "washindwe na walegee"

Magufuli ni mwana CCM, na CCM ni Chama Cha Mafisadi, hakuna aliye msafi katika chama hicho woooooooooooote wameoza, kama kuna mtu anabisha akamuulize kada wa CCM Sofia Simba atawathibitishia hilo kwani aliwahi kusema kwenye moja ya vikao vizito vya CCM kuwa ndani ya CCM hakuna aliye msafi, na hakuna aliyewahi kupinga kauli hiyo.
 
Ndani ya ccm hakuna mtu wa kumwamini,wote wachafu 2,ila kuna wa2 wanapenda sifa kama Mwakyembe,6,magufuli,kilango nk,ukweli ni kuwa ni wanafiki.CCM ngozi ya kitimoto,haifai kwa ngoma

Nani msafi ndani ya CHADEMA ????? Acheni hizo. Wangekuwa wasafi wangetunga uongo wa kumzulia Dr. Balele kifo??? Tena anayezua huo uongo ni ex-Padri!!!!!! Ama kweli nyani haangalii kundule. Sijawahi kuona padri mwongo. Kule Musoma kazua uongo mwingine kuwa bustani ya Manispaa imebinafsishwa na mtumishi mmoja wa Halmashauri hiyo. Mwongo ni mwongo tu hata kama anagombea urais na hata kama mnamshabikia kiasi ganil. Huyu mtu ni hatari na tukimlea kwa jazba zetu zisizokuwa na vision tutalia siku si nyingi.

Uchu wa madaraka maana yake nini???? Anataka kuingia Ikulu kufanya biashara gani???? Anajitia ana uchungu na nchi hii au ana uchungu na tumbo lake???? Padri anaposhindwa kazi ya:mullet: utume na kuchukua wake za watu, subirini mtaona matokeo yake. Akiwa Rais wa nchi hii, wake zenu wote muwanunulie nguo za ndani za chuma na makufuli mkaweke strongroom. Hahahaaaaaaaaa Padri.
 
Mbona hazungumzii kupigwa stop na aliyepinda? Naona yeye ndo kashashindwa na kulegea kwenye kampeni yake ya kubomoa bomoa
 
Bora nawe ukemee maana wanataka leta balaa kubwa nchini.

Hongera Dr Pombe
 
Kila atakaye kosoa cdm ni mkosaji hana akili tena ni fisadi. Hiki ni chama kutoka mbinguni,ambacho hakikosei?Au kwa sababu kinasapoti ya wale jamaa wasiomtambua meya wa arusha,kiasi wafuasi wake waamini kila kitu

Akili zako ziko hazina akili wacha pumba
 
hivi mlidhani bwana pombe anaweza kuipongeza chadema kwa maandamano wanayoyafanya
 
Kila atakaye kosoa cdm ni mkosaji hana akili tena ni fisadi. Hiki ni chama kutoka mbinguni,ambacho hakikosei?Au kwa sababu kinasapoti ya wale jamaa wasiomtambua meya wa arusha,kiasi wafuasi wake waamini kila kitu

CCM haipendi watanzania especially wazalendo. Ndio maana haijawahi kuwekeza ktk wa2.

Awamu ya 1; Ilichukua kodi za wanachi na ikaunda mashirika yake. Mashirika hayo hayakufanikiwa nchi ikafilisika, waTZ wakawa maskini kuliko walivyokuwa.

Awamu ya 2; Ilijaribu kutoka ktk hali hiyo mbovu kwa kauli mbiu ya "ruksa". Mikakati hii ilifungua milango ya wizi, ufisadi na kujilimbikizia mali.
Hali hiyo ikaendelea kwenye awamu ya 3 na ya 4.

Kwa jinsi makusanyo ya kodi yalivyoongezeka ndivyo jinsi hiyo hiyo viongozi wa CCM walivyoiba badala ya kuwekeza kwa waTZ. Hakuna jinsi CCM inavyoweza kuendeleza waTZ. Kwa kifupi ni kuwa "CCM HAINA UWEZO".
Ingekuwa na uwezo, muda wa 34yrs tuliowapa tusingekuwa maskini hata kidogo. Sababu tunazo, uwezo tunao, rasilimali tunazo, nia tunayo na VIONGOZI (WENYE NIA) HATUNA.
They r just joking, hata mtoto anayesoma kidato cha kwanza kwenye shule ya kata anaweza kukueleza machungu haya.
 
Bado bado nasubiri Mwanamume au yeyote alete hayo matusi ya CDM. Mbona nasikia matusi lakini sioni hata mmoja akiyaainisha hata tusi moja?
 
WAZIRI wa Ujenzi, John Magufuli amekitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kiache kutoa watusi katika mikutano yake huku akikiombea dua akitaka "Kishindwe na kilegee katika jina la Yesu."
Alitoa kauli hiyo jana jioni, katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa shule ya Msingi, Chato ambao ulihudhuriwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ambaye yuko katika siku yake ya nne ya ziara ya kikazi mkoani Kagera.
"Tulipata ugeni katika Wilaya yetu ya Chato lakini wakubwa wao hawakuja, hakuna cha msingi walichosema bali ni matusi tu. Mimi nasema washindwe, washindwe na walegee katika jina la Yesu" alisema huku akishangiliwa. Alisema Watanzania wanachotaka ni kuona wanatatuliwa matatizo yanayowakabili na hasa changamoto za barabara, walimu au maji na sio kusikia matusi katika majukwaa.
MWANANCHI MACHI 8 2011
 
Na kama hayatatuliwi?
Porojo porojo tu watanzania wafanye nini?
 
ataenda kufanya ile biashara anayoifanya Jk ya kuzaa na watoto wa shule kla kona ya nchi. Hv kuna kiongoz anayecfka kwa uongo kwnye hii nchi km Jk?
Nani msafi ndani ya CHADEMA ????? Acheni hizo. Wangekuwa wasafi wangetunga uongo wa kumzulia Dr. Balele kifo??? Tena anayezua huo uongo ni ex-Padri!!!!!! Ama kweli nyani haangalii kundule. Sijawahi kuona padri mwongo. Kule Musoma kazua uongo mwingine kuwa bustani ya Manispaa imebinafsishwa na mtumishi mmoja wa Halmashauri hiyo. Mwongo ni mwongo tu hata kama anagombea urais na hata kama mnamshabikia kiasi ganil. Huyu mtu ni hatari na tukimlea kwa jazba zetu zisizokuwa na vision tutalia siku si nyingi.

Uchu wa madaraka maana yake nini???? Anataka kuingia Ikulu kufanya biashara gani???? Anajitia ana uchungu na nchi hii au ana uchungu na tumbo lake???? Padri anaposhindwa kazi ya:mullet: utume na kuchukua wake za watu, subirini mtaona matokeo yake. Akiwa Rais wa nchi hii, wake zenu wote muwanunulie nguo za ndani za chuma na makufuli mkaweke strongroom. Hahahaaaaaaaaa Padri.
 
nakuhakikishia hakuna mwanaume hta m1 ndani ya Ccm, wote wa kike na ndo mana wanaropoka hovyo bla kutaja ni ma2c gn Cdm wameyatoa kwny mikutano yao. Waongo wakubw tn kwa uzush wameshndkana ila mwaka huu 2nao, watazua sn!
Bado bado nasubiri Mwanamume au yeyote alete hayo matusi ya CDM. Mbona nasikia matusi lakini sioni hata mmoja akiyaainisha hata tusi moja?
 
Sikuwahi kumuweka Magufuli katika watu waadilifu toka ampe mimba mtoto wa rafiki yake, agawe nyumba za serikali kwa upendeleo na kumpa huyo hawara yake na kaka yake wakati wakiwa pasipo kuwa na sifa za kupewa nyumba hizo.

Magufuli ambaye hakuwawezesha wavuvi, hakuwatafutia soko wavuvi zaidi ya kukamata vyavu za korokoro na kukamata samaki tusizokuwa nauwezo wa kuvua kwasababu ya vitendea kazi duni.

Kizuri afanyacho mwache afanye maana ni wajibu wake lakini sio muadilifu kama wengi wanavyo mnadi

umbea.co.tz
 
cdm nadhani watakua wamemgusa huko jimboni kwake.. moto wa cdm unachoma kwa kasi ya ajabu sana wenyewe hawaamini
 
nakuhakikishia hakuna mwanaume hta m1 ndani ya Ccm, wote wa kike na ndo mana wanaropoka hovyo bla kutaja ni ma2c gn Cdm wameyatoa kwny mikutano yao. Waongo wakubw tn kwa uzush wameshndkana ila mwaka huu 2nao, watazua sn!

du kweli ccm hakuna wanaume, sweetylady, basi nenda kwa dr wa 'ukweli' halafu usisahau kutuletea result
 
Dua la kuku halimpati mwewe. Sasa atakaeshindwa na kulegea ni kuku au mwewe. Tayari kayanda keshaanza kumfadhaisha, tuone kama ataendelea kusimama.:A S 13:
 
2. Akiwa wizara ya... mifugo na uvuvi.
Ili kupata "umaarufu" alikamata ile meli moja ya "majangili" wa nje waliokuwa wakiendelea ku2ibia. (note: majangili hawa na meli hizi zipo nyingi sana katika bahari ye2 na serikali inafanya maigizo).
Pamoja na hivyo Magufuli hakuweka mikakati ya "kuwawezesha waTZ kuvua samaki" na matokeo yake ni kuwa "wengi wa samaki wanaouzwa pale SOKO LA FERRY wanatoka NJE YA NCHI". Samaki hawa wanaletwa kwa "meli kubwa" ndani ya makontena. Samaki hawa wanatokea nje especially India ikimaanisha Indian Ocean ambayo hapa kwetu "bahari ni hiyo hiyo".[/QUOTE]

Kwa kipengere hiki naunga mkono kabisa kwamba Mh. Magufuli anakurupuka sana, Wale samaki wanaoitwa wamagufuli wameiletea serikali hasara kubwa mno (wanaojua zaidi wanaweza kusaidia kutoa figures) lakini kuna hasara kubwa mno ambapo kuwakamata kwake hakukuwa na tija kwa taifa, na pamoja na hayo hadi hii leo bado kuna meli nyingi tuu zinaendelea na shughuli hiyo hakuna hatua zinazochukuliwa, ama tuamini kwamba ilikuwa ni kuchukua ule umaarufu basi ilitosha. Hasara ya pesa zetu itafidiwaje? Magufuli anajua namna zitakavyofidiwa. kufanya mambo bila kufikiri mara zote huleta hasara usiyoitegemea, ni sawa na kuuma mbu aliye juu ya TV yako kwa nyundo, matokeo yake yatakuwaje? CCM hawa hawajui hata vipaumbele wanachojua wao ni kutumia sana vyombo vya habari kujenga umaarufu.

CDM na viongozi wake wamekuwa hawapewi coverage kubwa kwenye vyombo vya habari hivi hii ni kwa nini? ama ndiyo CCM wanadhibiti habari zile kwa kudhani kwamba wakitangazwa watajizolea umaarufu mkubwa? Bado Hawa jamaa wa Chama cha upinzani mwaka 2015 wamejikita kwa kujidanganya kwamba umaarufu wa mtu unajengwa na vyombo vya habari, jambo ambalo mimi siamini hivyo!
 
Wengi wetu humu ni wanafiki na tunajifanya sisi ni safi kuliko fulani au ni bora kuliko wao, na kubwa zaidi ni WAFATA UPEPO. Mnawasema wengine lakini hata nyie kwenye nafasi zenu kuanzia ngazi ya familia mpk madaraka mliyokabidhiwa na waajiri wenu ni UFISADI MTUPU.
 
Back
Top Bottom