Elections 2015 Magufuli amshushia tuhuma Job Ndugai, amtahadharisha kuunga mkono kauli za Lowassa

Walizoea Kikwete Akisemea Ndani Ya Chama,walizoea Kikwete Kuwabeba Marafiki Zake Kwa Kutowaambia Ukweli,sasa Wajiandae..Magufuli Hana Haja Ya Kuita Kikao Ili Akwambie Unapewa Za Uso Huku Wananchi Wote Wanakuona Live,anakuacha Uugulie Kivyako.Kikwete Si Mpole? Huyo Hapo Magufuli Ambaye Anang'ata Tu Hajui Kupuliza....!!
 
Kwa Magufuli habari za kuwekana sawa hilo wasahau na wanajua halipo.

Mtu mbishi, hataki kushaurika, analolijua yeye ndilo hilo, hajui kwamba hajui, hajawahi kuwa team player hata siku moja, akisema amesema hata kama ni SADDAM RAISI WA KUWAIT wengine mseme ndiyo!. Mtu wa hamaki na papara, anayedhani kasoma bila kujua kasoma nini!. Huyu mtu mnawekana sawa wakati gani?

Kwanza kina Ndungai, na wote anaowabwatukia bwatukia wakati wa uchumba, wajiandae. Hii ni honey moon ya ccm na magufli. Atakapokuwa mwenyekiti wao wa chama, wajiandae namna ya kutoka salama.
Naskia leo amemuamrisha RPC wa dodoma

Hivi mtu wa type hii hata asiyejua mipaka yake ana maana kweli?
 
Magufuli Anang'ata Na Kupuliza! Bila Kujali Misemo Ya Wahenga "likivunda Limevunda! Na La Kuvunda Halina Ubani" #toroka #Uje #Ukawa!

Halikuvunda Ndomana Akalitoa Lingekua Limevunda Ndugai Angeshakua Ukawa Tayari...Anaeng'ata Na Kupuliza Ni Kikwete Na Ndomana Hadi Sasa Lowassa Anarandaranda Tu Na Ufisadi Wake
 
Ni kiongoz asiependa unafiki ukikosea hataki kukaa na kitu moyoni unachukua stahik yako maisha yanasonga na ndo imetoka hiyo hii imekaa poa
 
Tatizo Watanzania Hatutaki Kuambiwa Ukweli Live,wengi Mtu Mwongomwongo Na Mnafiki Ndio Tunaowapenda.Lakini Mwaka Huu Mtampata Mtu Atakae Wanyoosha Na Vijitabia Tabia Vya Unafiki,unafiki,na Mtanyooka Tu Mara Maana Hamna Namna Sasa,lazima Mnyooke Tu,na Kwa Bahati Mbaya Sana Magufuli Hamuogopi Mtu Na Yupo Straight Huyu Ndo Rais Bwana.AtLeast Tupate Rais Ambaye At Anytime,anywhere, To Anyone Anaweza Kukemea Anything Bad Kinachoendelea,tanzania Ya Sasa Hatuhitaji Mtu Wakuanza Kuunda Kamati Ya Uchunguzi Sijui Kamati Za Nini Wakati Vitu Vinaweza Kumalizwa Kwa Uwazi Tu.Mf.Eti Unataka Uunde Kamati Ya Kusuluhisha Migogoro Ya Wakulima Na Wafugaji,kazi Ya Mbunge Ni Nini?Kama Mbunge Unashindwa Kuwakutanisha Na Kuwaunganisha Watu Wako Hivi Kamati From Nowhere Itasolve Vipi Kirahisi Hilo Tatizo.We All Need Changes Kutoka Kwa Mtu Aliyetuonyesha Tayari Mabadiliko Na Aliyekuwa Tayari Kukemea,sio Anaetaka Kwenda Kuanza Kutuonyesha Mabadiliko...
 
Yaani unatudhihirishia kuwa wewe ni mnafiki, na muongo? Mimi nimeikubali hiyo na sitakuamini hata chembe.
 
Tatizo Watanzania Hatutaki Kuambiwa Ukweli Live,wengi Mtu Mwongomwongo Na Mnafiki Ndio Tunaowapenda.Lakini Mwaka Huu Mtampata Mtu Atakae Wanyoosha Na Vijitabia Tabia Vya Unafiki,unafiki,na Mtanyooka Tu Mara Maana Hamna Namna Sasa,lazima Mnyooke Tu,na Kwa Bahati Mbaya Sana Magufuli Hamuogopi Mtu Na Yupo Straight Huyu Ndo Rais Bwana.AtLeast Tupate Rais Ambaye At Anytime,anywhere, To Anyone Anaweza Kukemea Anything Bad Kinachoendelea,tanzania Ya Sasa Hatuhitaji Mtu Wakuanza Kuunda Kamati Ya Uchunguzi Sijui Kamati Za Nini Wakati Vitu Vinaweza Kumalizwa Kwa Uwazi Tu.Mf.Eti Unataka Uunde Kamati Ya Kusuluhisha Migogoro Ya Wakulima Na Wafugaji,kazi Ya Mbunge Ni Nini?Kama Mbunge Unashindwa Kuwakutanisha Na Kuwaunganisha Watu Wako Hivi Kamati From Nowhere Itasolve Vipi Kirahisi Hilo Tatizo.We All Need Changes Kutoka Kwa Mtu Aliyetuonyesha Tayari Mabadiliko Na Aliyekuwa Tayari Kukemea,sio Anaetaka Kwenda Kuanza Kutuonyesha Mabadiliko...
utanyooka wewe na familia yako unayepigwa vibao home
 
Kwa Magufuli habari za kuwekana sawa hilo wasahau na wanajua halipo.

Mtu mbishi, hataki kushaurika, analolijua yeye ndilo hilo, hajui kwamba hajui, hajawahi kuwa team player hata siku moja, akisema amesema hata kama ni SADDAM RAISI WA KUWAIT wengine mseme ndiyo!. Mtu wa hamaki na papara, anayedhani kasoma bila kujua kasoma nini!. Huyu mtu mnawekana sawa wakati gani?

Kwanza kina Ndungai, na wote anaowabwatukia bwatukia wakati wa uchumba, wajiandae. Hii ni honey moon ya ccm na magufli. Atakapokuwa mwenyekiti wao wa chama, wajiandae namna ya kutoka salama.

The worst part ya style hii ya uongozi ni wale watu 'the best brain' kukukimbia
watu hawapendi kufanya kazi kwa mtu wa kufoka foka na kushusha tuhuma na kukuumbua mbele ya watu wadogo kwako
atapata watu wa kujipendekeza na kumlamba miguu...serious people hawatapenda kufanya nae kazi...

Amuulize Mkapa alivyo mbembeleza Daudi Balali aje kuwa governor .....
 
Tatizo Watanzania Hatutaki Kuambiwa Ukweli Live,wengi Mtu Mwongomwongo Na Mnafiki Ndio Tunaowapenda.Lakini Mwaka Huu Mtampata Mtu Atakae Wanyoosha Na Vijitabia Tabia Vya Unafiki,unafiki,na Mtanyooka Tu Mara Maana Hamna Namna Sasa,lazima Mnyooke Tu,na Kwa Bahati Mbaya Sana Magufuli Hamuogopi Mtu Na Yupo Straight Huyu Ndo Rais Bwana.AtLeast Tupate Rais Ambaye At Anytime,anywhere, To Anyone Anaweza Kukemea Anything Bad Kinachoendelea,tanzania Ya Sasa Hatuhitaji Mtu Wakuanza Kuunda Kamati Ya Uchunguzi Sijui Kamati Za Nini Wakati Vitu Vinaweza Kumalizwa Kwa Uwazi Tu.Mf.Eti Unataka Uunde Kamati Ya Kusuluhisha Migogoro Ya Wakulima Na Wafugaji,kazi Ya Mbunge Ni Nini?Kama Mbunge Unashindwa Kuwakutanisha Na Kuwaunganisha Watu Wako Hivi Kamati From Nowhere Itasolve Vipi Kirahisi Hilo Tatizo.We All Need Changes Kutoka Kwa Mtu Aliyetuonyesha Tayari Mabadiliko Na Aliyekuwa Tayari Kukemea,sio Anaetaka Kwenda Kuanza Kutuonyesha Mabadiliko...

Urais sio kama kuendesha shamba
ambapo saa zote unakaripia vibarua
Urais ni kuongoza watu wenye utashi na mawazo tofauti
na wana haki ya kuwa na utashi na mawazo tofauti....
unao waongoza ni your equals ....na sio your servants
sasa ukiwa na mentality za kukemea na kunyoosha...utapata watu
wanaojipendekeza na wasio jiamini wala kujali wanachofanya ni sawa
ili mradi wao wamfurahishe Rais...Ndo maana Nyerere mnamsifia humu kutwa
lakini aliacha nchi kuna foleni ya kununua sukari na sigara...sababu ya kufokea fokea na kupendwa kuogopwa
 
kila MTU mwenye akili atamuelewa huyu bwana..... kama unapenda maendeleo lazima umuelewe
 
Sipati picha huyu. Magufuli akipewa nchi hawa aliowatangazia vita itakuaje na hao ndo wamempigia kura! Watakomaje!
 
Urais sio kama kuendesha shamba
ambapo saa zote unakaripia vibarua
Urais ni kuongoza watu wenye utashi na mawazo tofauti
na wana haki ya kuwa na utashi na mawazo tofauti....
unao waongoza ni your equals ....na sio your servants
sasa ukiwa na mentality za kukemea na kunyoosha...utapata watu
wanaojipendekeza na wasio jiamini wala kujali wanachofanya ni sawa
ili mradi wao wamfurahishe Rais...Ndo maana Nyerere mnamsifia humu kutwa
lakini aliacha nchi kuna foleni ya kununua sukari na sigara...sababu ya kufokea fokea na kupendwa kuogopwa

Mkuu Tatizo Watanzania Tunafanya Vitu Kwa Mazoea Na Esp Pale Tunapoongozwa Na Mtu Mpole Asiyejua Kukemea Na Kunyooshea Kidole Ndo Kabisaa Kila Mtu Anajiona Bosi.Hembu Angalia Uongozi Wa Mkapa Na Jakaya,mkapa Atleast Alikuwa Mkali Maendeleo Kidogo Tukawa Tunayaona Njoo Kwa Jakaya Angalia Upole Wake Ulivofanya Watumish Wa Serikali Kuwa Jeuri.Tunamhtaji Rais Anaekemea.
 
Back
Top Bottom