Elections 2015 Magufuli amshushia tuhuma Job Ndugai, amtahadharisha kuunga mkono kauli za Lowassa

Kama Mkapa kwake ndo mfano wa marais..atafeli vibaya sana
ina maana hajawahi soma historia za kina Mandela
au Bill Clinton?

unaweza kuwa Rais mzuri bila kufokafoka na kutaka kuogopewa

Tatizo kubwa limesababishwa na Mhe Prof Dkt JK. Kwa sababu ya tabia yake ya kuchekelea kila kitu (mfano wezi wa EPA, wamiliki wa makampuni ya kuuza unga, wana wa eskrow, nk) na hivyo kusababisha hasira kwa wananchi kwamba taifa limekwenda isivyo kutokana na chekacheka ya mkulu, sasa mazee ya push up yanaona yatumie mtaji huo kuonesha kwamba yao hayatachekacheka, hence hapakazitu slogan - na kupitiliza kiasi (anaweka chumvi nyingi wakati mfumo utabakia kuwa ule ule).
 
Jamaa personally sioni kama amekomaa kuwa raisi....uraisi ni maono ya siku nyingi...huwezikuamka asubuhi na kuota kuwa raisi wa nchi...lazima uwe umeplan siku kuwa siku.moja you will be a president wa nchi yako...sio siku unaamka unakuta watu wamekuchagua kugombea uraisi.huwezi kuwa raisi mzuri....you must have got a dream.
 
Sasa raisi mtarajiwa tayari anasema watakaojitokeza kutubu kuwa walikuwa wala rushwa ameishawasamehe saba mara sabini...sasa si tayari ameshaanza kuivunja katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Raisi anatakiwa kuilinda katiba yetu kwa kuwachukulia hatua wahujumu uchumi wetu kakini leo hii anasema ameishawasamehe kabla hata hajapata madaraka....tunajuaje kama atakuwa anawasamehe hata wale ambao watakuwa wakikamatwa wakiiba twiga wetu kila siku....yaani jamaa hafai hata kidogo......unawasamehe wala rushwa na mahakama unaianzisha ya nini????
 
Nilitegemea mahakama ni kwa ajili ya kufunga wala rushwa...sasa kama tayari umeshawasamehe unaianzisha ya nini...gyys ebu jaribuni kuangalia kiundani...si tunachezewa hapa...ebu Watanzania tuwe makini na wagombea wa aina hii. Mtu wa kawaida kabisa lazima ujiulize huyu mheshimiwa ameahidi mahakama ya wahalifu wa rushwa halafu anasema kaishawasamehe....does it make sense.....dont think so..something got lost somewhere....i am an interpreter....all geos understands this.
 
Back
Top Bottom