figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
Taja kiwanda cha Mfano cha Magufuli. Mimi naweza kukutajia alivyojenga Nyerere. Hivyo vya Pwani ni Viwanda vya WahindiHuna akili kabisa.
Kuna nchi inaweza kuingia uchumi wa kati bila viwanda? Hebu njoo mkoa wa Pwani ujionee.
Yani wewe ni mshamba kiasi kwamba haujui viwanda vya kuchenjua dhahabu vimejengwa Mwanza?
Julius nyerere mbona alijenga?Hv tukisema Tanzania ya viwanda maana yake serikali ijenge viwanda na kufanya biashara? Au iweke mazingira rafiki ya watu wake kufanya hivyo?
Mimi sitaki namba. Bali anitajie jina la kiwanda anachodhani ni cha Magufuli alijenga kwaajili ya Nchi nami namtajia mmiliki wa hicho kiwanda atakachokitaja. Nipo tayari.Wanakuja na takwimu
Nyerere alifanya natinalization akataifisha viwanda toka kwa wawekezaji through Azimio la Arusha.Na hata kama alijenga mfumo wa kiuchumi wa Nyerere ulikuwa tofauti na sasa(command economy) wakati tupo kwenye free market.Juliu nyerere mbona alijenga
Kaacha cherehani 4Salaam Wakuu,
Baba wa Taifa aliacha Viwanda Vingi sana kiasi kwamba Nchi ilishindwa kuviendeleza hadi Vikabinafsishwa.
Wakati wa Kampeni ya 2015. Mwenda zake alisema "TANZANIA YA MAGUFULI NI TANZANIA YA VIWANDA". Lakini hata baada ya kuongoza awamu tano, alishindwa kujenga kiwanda hata cha sindano wala toothpick za kuchokonolea meno.
Mfano: Nchi idaiwe, haina kiwanda kilichojengwa na Magufuli tunachoweza kuuza wala kubinafsisha kama ilivyokuwa kwa Nyerere. Halafu anaibuka mjinga mmoja eti Magufuli ni sawa na Nyerere.
Rostam akijenga utasikia hongera Magufuli, Ajenge Mo Dewji eti hongera Magufuli, Ajenge Bakhresa utasikia juhudi za awamu ya tano. Kwanini ujisifie utajenga Viwanda wakati huna Mpango wala hela?
Ili Tanzania iondoe umasikini, lazima viongozi tunaowachagua wasimamie kile wanachokiamini.
Tanzania iligubikwa na Viongozi waongo. Kuanzia Majaliwa na Magufuli wake.
Hakuna kituMimi sitaki namba. Bali anitaji kiwanda anachodhani ni cha Magufuli alijenga kwaajili ya Nchi nami namtajia mmiliki wa hicho kiwanda atakachokitaja. Nipo tayari.
Kilimanjaro Ikternational Leather Industries Co. Ltd, Kiwanda cha viatu bora kabisa vya ngozi kwa Africa, chenye kutumia tekkologia kutoka italy, kilijengwa na serikali 2017Mimi sitaki namba. Bali anitaji kiwanda anachodhani ni cha Magufuli alijenga kwaajili ya Nchi nami namtajia mmiliki wa hicho kiwanda atakachokitaja. Nipo tayari.
Mmmmhhh..Salaam Wakuu,
Baba wa Taifa aliacha Viwanda Vingi sana kiasi kwamba Nchi ilishindwa kuviendeleza hadi Vikabinafsishwa.
Wakati wa Kampeni ya 2015. Mwenda zake alisema "TANZANIA YA MAGUFULI NI TANZANIA YA VIWANDA". Lakini hata baada ya kuongoza awamu tano, alishindwa kujenga kiwanda hata cha sindano wala toothpick za kuchokonolea meno.
Mfano: Nchi idaiwe, haina kiwanda kilichojengwa na Magufuli tunachoweza kuuza wala kubinafsisha kama ilivyokuwa kwa Nyerere. Halafu anaibuka mjinga mmoja eti Magufuli ni sawa na Nyerere.
Rostam akijenga utasikia hongera Magufuli, Ajenge Mo Dewji eti hongera Magufuli, Ajenge Bakhresa utasikia juhudi za awamu ya tano. Kwanini ujisifie utajenga Viwanda wakati huna Mpango wala hela?
Ili Tanzania iondoe umasikini, lazima viongozi tunaowachagua wasimamie kile wanachokiamini.
Tanzania iligubikwa na Viongozi waongo. Kuanzia Majaliwa na Magufuli wake.
Imbecile!Taja kiwanda cha Mfano cha Magufuli. Mimi naweza kukutajia alivyojenga Nyerere. Hivyo vya Pwani ni Viwanda vya Wahindi
Yote ni sawa.Hv tukisema Tanzania ya viwanda maana yake serikali ijenge viwanda na kufanya biashara? Au iweke mazingira rafiki ya watu wake kufanya hivyo?
Hivi tunavyoongea Mama anaupiga mwingi ,Salaam Wakuu,