Hivi unajua kweli unachosema hapa? Utetezi mwingine wa hovyo...!Na usisahau kua mamlaka kamili alikua hana, kweli alikua mbunge ila pia waziri. Hapo angejifanya msema kweli azma ya urais angeisikia kwenye radio. Ukisha pigia mizinga 21 ndio unaweza kushuhulikia mautumbo kwa uhakika zaidi...... Labda nikusaidie kaka ukijibu tena usisahau jina la lugumi!!!!
Ulisababishwa na serikali ya chama gani?MTU ASIE JUA ATAFKIRI MMEPATA WAZIMU KUMBE MNATANIANA TU... UTUMBO WA MIAKA 30 UTATULIWE MIEZI 7. HAHAHAHA
Vurugu tupuHamna mipango endelevu.
Kuwalinda Lugumi na kitwanga, pia Mwakyembe juu ya mabehewa chakavu, January Makamba juu ya Madili yake kibao, Dau na Ufujaji pesa za Ujenzi wa daraja na miladi mingine ya NSSF , NIDA , ATC , IPTL , escrow, kivuko kibovu cha mwaka 1978 kununuliwa Kwa bilion 8 , kumbukumbu za uuzaji nyumba za Serikali nk , haya ni mojawapo yanayomkwaza Kwa sasa .
Another ten wasted years...what a pity!you have him 4 ten years
Kikwete hagombei tena urais sasa hivi yeye kajikita kwenye masuala ya kimataifa, wewe pambana na Dr.Magufuli.
Wewe kweli hata nikikuita mjinga nitakuwa nakusifu. Kwa akili zako hakuna aliyekamatwa? Unafikiri hao waliokuwa wakionekana kwenye Tv walikuwa wanajitokeza wenyewe. Au tafasiri ya kukamatwa kwako ni finyu.Alipokuwa kule Arusha (kama wiki mbili zimepita) alisema kuwa wabadhilifu wa Sukari anawajua na majina anayo. Hiki ni kichekesho sana, sasa kama unawafahamu kwa nini usiende kuwakamata, kama sio mambo ya kinafiki ni nini sasa hiki?
Akaenda mbali zaidi akasema"wameficha sukari Mbagala" mazombi wake wakaenda huko, waliporudi wakasema ile sukari inamilikiwa ki halali, kodi imelipiwa na haina shida... Jamaa akaumbuka.
Cha ajabu nimemsikia Pm alisema serikali itaendelea kuagiza sukari, Sasa kama ndio hivyo kwanini serikali isijishushe na kuruhusu wafanyabiashara waagize sukariSuala la sukari kuadimika limemtia doa sana Rais Magufuli.Washauri wake hawakumshauri vizuri.Kitu kingine kama alivyosema mchangiaji mmoja humu,awe makini na media.Si ya kutumia sana na si ya kukaa nayo mbali.Mungu ibariki Tanzania
Inawezeka lakini ukweli ni kwamba graph yake inashuka kwa kasi ya ajabuNa huu ndo ukweli, huwa nashangaa JPM amachuja wapi? Mtaani kwa kweli ukawa wana kazi ya ziada.
Wewe kweli hata nikikuita mjinga nitakuwa nakusifu. Kwa akili zako hakuna aliyekamatwa? Unafikiri hao waliokuwa wakionekana kwenye Tv walikuwa wanajitokeza wenyewe. Au tafasiri ya kukamatwa kwako ni finyu.
Swala ni kuficha sukari siyo sukari ya magendo? Wewe somo la ufahamu hulijui nakushauri ujifunze, vinginevyo utakuwa mbumbumbu milele na kuendelea kuchangia ujinga. Swala la kuonesha vibali haikuwa hoja hoja ni kwanini sukari ipo na haiuzwi? Uhalali wa kuwa na sukari unao, kwanini hauiuzi kama leseni yako inavyotaka ufanye. Unajuwa wajinga nyie mnaidumaza hii nchi.
Anachuja kwa kasi!wewe ndiyo umechuja, trust me
Utafiti huu umefanywa na taasisi ipi? Twaweza?Anachuja kwa kasi!
Zitto anamlalamikia kila sikuUtafiti huu umefanywa na taasisi ipi? Twaweza?
Hilo ni kweli mkuu,na wanaomfatilia watagundua usemalo lakini wasiomfatilia na watajua ni yule yule wa kipindi kile ameingia madarakani,kumbe ulikuwa ni moto wa gazetiMwanzoni mwa utawala wake ilikuwa kila gazeti linamwandika yeye tena vizuri. Vijiwe vyote kuanzia vya kahawa, daladala, bar na maofisini story alikuwa ni yeye tena watu wakimsema kama malaika mkombozi.
Ghafla upepo ukabadilika, watumishi wakaanza kukosoa utumbuaji majipu, wafanyabiashara wakakosoa mbinyo wake kwenye kodi, wanasiasa wakahoji style yake ya uongozi. Wananchi wa kawaida wakanigwa na maisha magumu (ingawa hawa bado wamebakiza kaimani fulani). Vyombo vya habari wanalalamikia kuminywa uhuru wao.
Kiujumla upepo unavuma vibaya kwa JPM naye ameshakiri ugumu wa kiti chake mpaka akasema angejua asingegombea urais. Je, rais wetu amekosea wapi mpaka hali imegeuka mapema hivyo?
Another ten wasted years...what a pity!
Anajua tatizo ni chama chake na yeye mwenye ni zao la hicho chama na hawezi kutenda tofauti na chama, na ndio kiwanda cha majizi,mafisadi na mazembe. hivyo kiwanda kinachotengeneza sumu hakiwezi tengeneza sukari.Viongozi wote waliotoka kwenye hicho chama wana tabia ya kuficha ukweli na kuongea wasichokitenda ndio maana wanapoteza imazi kwa Watanzania muda mfupi tu wa uongozi, na kinachomgharimu ni kufanya jitihada za kuficha uovu wa chama chake kupitia serekali mbaya ni kwamba kwa dunia hii ya utandawazi hataweza.Mwanzoni mwa utawala wake ilikuwa kila gazeti linamwandika yeye tena vizuri. Vijiwe vyote kuanzia vya kahawa, daladala, bar na maofisini story alikuwa ni yeye tena watu wakimsema kama malaika mkombozi.
Ghafla upepo ukabadilika, watumishi wakaanza kukosoa utumbuaji majipu, wafanyabiashara wakakosoa mbinyo wake kwenye kodi, wanasiasa wakahoji style yake ya uongozi. Wananchi wa kawaida wakanigwa na maisha magumu (ingawa hawa bado wamebakiza kaimani fulani). Vyombo vya habari wanalalamikia kuminywa uhuru wao.
Kiujumla upepo unavuma vibaya kwa JPM naye ameshakiri ugumu wa kiti chake mpaka akasema angejua asingegombea urais. Je, rais wetu amekosea wapi mpaka hali imegeuka mapema hivyo?
If it is through 'stealing' you may be very right.kabisa mkuu!
upinzani ndio ume to let down, it seems for 20 yrs they dont know how to win election..pity