Unaushahidi na family issues!!?;au unatafuta gate la segerea!?Hata mke wake nasikia anataka kurudia kazi yake ya ualimu kwasababu ya visa vya jamaa. Akirudi home eti anataka akute pilau kuku wakati hela ya matumizi haachi.
Thubutuuu!!;sema wanajimwayamwaya humu na kutoa maneno ya shombo!;tangu walipokua wanazungusha mikono ka machizi akili hazijawarudia ndo maana!!Ili uthibitishe haya maneno yako kuwa Magufuli kachuja au lah nenda mtaani alafu ukikuta kikundi cha watu tamka haya maneno kuwa "Magufuli hafai".. Kitachokutokea kutoka kwa wananchi usisite kuja kutuambia ata kama ukiwa ICU.
Mlilipwa kumshambulia JPM kipindi cha kampeni mkashindwa,mlivyo na akili fupi mnadhani mtafanikiwa na mtu ameshakuwa Raisi??,kweli akili zenu fupi sana,ndo maana Mzee Mkapa aliwaita WAPUMBAVU NA MALOFA.,ndo maana Mlikuwa mkizungusha mikono kama wendawazimu,nimeanza kuelewa.
Subir utaelewa tu!!;na ukielewa pia useme sasa umeelewa!Alichokosea alituhaidi kukamata majizi na mafisadi badala yake anatumbua majipu kitu ambacho hakutuahidi, hivyo hatumuelewi.
Hv mnawza lugumi tuuu!!;hamna isue zingine!!?ANAPOFUMBIA MACHO "LUGUMI" na "ESCROW"
IT FINISH HIS .......!?/
LETS QUESTION WHAT HE FEAR?as a nation hero against corruption's.
#4 ni ya wazi zaidi aisee.Kuna sababu kama 4 hivi naziona ndizo zinazomfanya achuje haraka hivi:
1. Kushindwa kwake kudili na majipu (wala rushwa wakubwa) na kubaki kuangaika na kesi za kuku. Hii imejionyesha kwa yeye kunywea kwenye swala la Lugumi, Wezi wa Escrow (kutekeleza maamuzi ya Bunge), kuendelea kukumbatia viongozi majizi, HSC na mambo kama hayo.
2. Kuendesha nchi pasipo kufuata utawala wa sheria. Anajiona yeye ndio ultimate decision maker wa kila kitu na hakuna anayejua zaidi yake. Sasa watu wameamua kumuacha afanye kazi zoootee peke yake.
3. Nchi kukosa muelekeo wa kiuchumi. Hii inapelekea kuwa na hali ngumu pasipo sababu. Bado anaangaika na kodi za machinga na mama Ntilie, wakati kule kwenye madini wanawaanchia wazungu wanachukua madhahabu na Almasi bureee kabisa. Hana vyanzo vipya vya kodi zaidi ya kumbana mwananchi wa kawaidi.
4. Kunyima Uhuru wa habari. Hii imejionyeshwa kupitia kukataa kuonyesha Bunge Live kwa sababu ya kuogopa wananchi kuona serikali yake ikikosolewa. Yeye anataka kusifiwa tu, ukimkosoa ni shida.
Kama akina kubenea eti ehe!!?****
NINGEKUWA MAGUFULI VYOMBO VYA HABARI NINGEVIPA UHURU ZAIDI NA ULINZI MAALUM, MAANA NDIVYO VINAVYOFUNUA UOVU ULIO CHINI KABISA / AU KUJIFICHA.
unless otherwise tunashindwa tambua dhamira yake ya ndani.
Unalaana!!;unaanza kuhubiri ukabila!!?Nafuatilia kauli ya Nyerere ya Makabila ambayo hayawezi kushika urais Kama ilikuwa ya kweli. Mojawapo lilikuwa ni hili la Huyu Jamaa.
Safi sn!!;Espiga deki highway utawaweza!!?Mbona mtoa post na wachangiaji hamjielewi? kwa miezi 7 aliyoyafanya ni makubwa sana, lakini ni muda mfupi kubadilisha nchi na watu kufaidi au kupata ahueni ya maisha, halafu budget ndo hiyo kwanza hata haijapita mmeanza kelele, kumbukeni wafanyabiashara pia wanataka kua juu ya serikali kwa kuficha sukari ili wajipangie bei, JPM bado anajipanga kwa mambo mengi , utumbuaji ( kuwasimamisha watu Kazi) lazima iwe kazi endelee mpaka tuheshimiane.
Hwawezi kukuelewa!!;tangu wlipozungusha mikono akili haijakaa sawa!!Sasa hapa sijakuelewa, amechuja kwa sababu haonekani kwenye magazeti au amechuja kwa kutotumikia taifa? Wakati mwingine sio kila kitu kiwe kisiasa, kuna mengine tuyatazame kama binadamu. Hivi wewe ulitaka watumishi wa uma waendelee na uzembe? Majizi serikali yaendelee kula na hao wafanyabiashara waendelee kutunyonya? Huyu unae mpondea ndio atakae boresha maisha yako, maisha ambayo mzazi wako alishindwa kukuboreshea.
Nyie mlikua mnapiga pushapuMlilipwa kumshambulia JPM kipindi cha kampeni mkashindwa,mlivyo na akili fupi mnadhani mtafanikiwa na mtu ameshakuwa Raisi??,kweli akili zenu fupi sana,ndo maana Mzee Mkapa aliwaita WAPUMBAVU NA MALOFA.,ndo maana Mlikuwa mkizungusha mikono kama wendawazimu,nimeanza kuelewa.
Unapaniki sasa, punguza mapenzi angalia hali halisi, haswaa sukari na uhuru w vyombo vya habariWanopiga mayowe humu ni wezi tu!!;ka c mkwepa kodi basi ni vitumishi vibabaishaji vilivozoea kutengeneza zabuni fake