Magufuli amekosea sana

Nebuchadinezzer

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
1,403
2,545
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Acheni niseme ukweli hata kama utanigharimu ila kikubwa nafsi yangu irizike.

Kuna mambo mengi mazuri yasiyoelezeka yamefanywa na huyu rais kwa muda mfupi wa miaka mitano ila amekuja kuharibu sehemu moja tu kwa muda wa siku chache.

Na ndio maana unaweza ukafanya mambo mengi mazuri ila kitu kidogo tu kikakutia doa. Kwa kweli kwa alichofanya magufuli amekosea sana.

How comes rais mzuri kama yeye afanye kampeni miezi miwili na wakati mambo aliyofanya miaka mitano yalitosha kumpigia kampeni.

Ingefaa hizo pesa za kampeni tungenunua hata vichwa viwili vya treni za umeme ili standard gauge ikikamika sehemu zote treni zianze kupishana kama Ulaya.
 
Mimi Binafsi nimefurahi Sana nafsi yangu, nyeupee, Maana wapinzani hata wangeshinda kumi bado wangekosa kura ya veto.

Bunge lijalo hakuna Tena Upinzani uchwara, Nichama tawala pekee Asante Sana Magufuli na Hongera kwa Ushindi,

"ACHA KAZI IENDELEE"
 
Mimi Binafsi nimefurahi Sana nafsi yangu, nyeupee, Maana wapinzani hata wangeshinda kumi bado wangekosa kura ya veto.

Bunge lijalo hakuna Tena Upinzani uchwara, Nichama tawala pekee Asante Sana Magufuli na Hongera kwa Ushindi,

"ACHA KAZI IENDELEE"

Ok
 
1603992896173.png
 
Hilo ulilosema, lipo midomoni mwa watu sana.

Lakini hili la kampeni nzito nzito kama vile alikuwa mpya ajitangazaye kwa watu wasiomjua ama kufahamu aina ya utawala wake, naweza kusema ni jambo lililofanywa na washauri wake wakimwaminisha kufanya kampeni zote hizo ili kujiongezea thamani, lakini wao wakawa wameangalia maslahi yao (fuba)binafsi zaidi.
 
Back
Top Bottom