Magufuli amekosa exposure

Magufuli amekosa exposure

I
Katika sifa kadhaa za mgombea urais kwa tiketi ya ccm huwa ipo ya awe na uzoefu wa masuala ya kimataifa.

sifa hii kwa JPM ilifumbiwa macho,
Nyerere baada ya kusoma nchini alikwenda makerere Uganda na baadae uingereza kunoa Bongo mwinyi alishawahi kukaa Misri ubalozini kwa miaka kadhaa,Mkapa ndio usiseme canada na marekani amekaa sana,JK ziara zake nje ya nchi akiwa foreign affairs minister kwa miaka kumi na miaka kumi ya urais wake ni sawa na kukaa nje miaka mitano,(siungi mkono,it was too much)

JPM alikanyaga Dar es salaam kwa mara ya kwanza mwaka 1984 alipokuwa anakuja kujaza fomu ya kujiunga na UDSM,tangu hapo hajawahi kukaa nje ya nchi kwa zaidi ya mwezi mmoja Amezunguka vichochoro vyote vya Tanzania alipokuwa waziri wa ujenzi akikagua barabara,kazi aliyoiweza kuliko mawaziri wote tangu uhuru .

Back to the point,mimi nimezaliwa Dar Es Salaam na enzi za ujana wangu nilikuwa najiona mtoto wa mjini sana ila siku nilipokanyaga Manhattan mwaka 2002 nilijiona ni mshamba sana kila kitu nilikiona ni kipya na tangu siku hiyo nikajua Dar Es Salaam sio jiji bali ni mji tu.

Wazungu wanakitu wanaita exposure , huwa ni shule tosha kwa tuliosoma zamani tunajua ,mtu wa mtwara kuchaguliwa sekondari wilaya ya Ngara japo kwa upande mmoja ilichangiwa na uhaba wa shule ila ilitusaidia sana,kwa sasa kuna wanafunzi wanazaliwa ndani ya wilaya x,primary mpaka sekondari anasomea ndani ya wilaya hiyohiyo na chuo cha ualimu hapo hapo na anakuja kufundisha shule ndani ya wilaya hiyohiyo ,huyu anakosa exposure atakuwa mshamba tu.

Pia kwa waliopitia vyuo vikuu vya Tanzania mtagundua kuwa lecturers walipata elimu yao nchini bila kwenda nje ya nchi huwa wanakamata sana wanafunzi wakati wa mitihani kuliko walimu waliosomea nje.(sina uhakika kama kutumbua majipu yanhusiana na kukosa exposure )

JPM anasema anataka Tanzania iwe nchi ya viwanda sasa nashangaa itakuwaje nchi ya viwanda wakati anawakimbia wazungu ambao ndio wenye technology ya viwanda,kama hadi pampas za watoto tunaagiza tukubali hatuwezi kujenga viwanda bila kuwa karibu na wazungu,awakaribishe wakae mezani waongee dili win win based business,wanatuhitaji pia bado tunawahitaji,ndio maana Nyerere na kuwatimua kote waingereza alifia kwao akukubali kufia Muhimbili

Pia JPM amekaliliwa akisema Dar ndio kioo cha Tanzania ndio maana anataka kujenga daraja toka cocobeach mpaka ocean road,hii ni kukosa exposure,nchi za watu maendeleo huwa yanakuwa balanced na pia fursa zinakuwa balanced kila sehemu kupunguza msongamano wa watu kwenye miji fulani,kuna baadhi ya nchi watu hawataki kuishi miji mikuu kwani fursa ziko kila kona,Juzi tumesikia kuwa Obama atakuwa rais wa pili wa marekani kuishi washngtone baada ya kustaafu na hii ni kwa sababu watoto wake bado wapo shule,other wise angerudi kwao chicago,JK wakati anakabidhi ikulu na kutuaga kuwa anarudi kijijini helicopter ilimpeleka Msoga mchana jioni akarudi nayo Dar.

Tanzania sio Dar tu
Pia exposure inasaidia kuimprove lugha za kigeni,hili sitaki kuliongelea sana hapa nisije kuchafua jukwaa

Inasikitisha sana kwamba Tanzania yetu tuna watu wenye mawazo mufilisi kama wewe. Huna hoja ya msingi bali una kosoakosoa hovyo hovyo tu. Hivi unajua maana halisi ya neno "exposure"??? Tazama dictionary yoyote ya Kiingereza unayoiamini DUNIANI na utagundua kwamba context ya andiko lako haina msingi na ni hoja ya kipuuzi tu. Je Mtanzania/au Rais wetu kupata exposure ni LAZIMA AFIKE MANHATTAN AU WASHINGTON????? Hivi hujui kwamba kujifunza jambo jipya sio lazima uende Washington tu? Hata huyo MZUNGU UNAYEMUABUDU akija Bagamoyo au kwenye Mapango ya Tanga au hata kule kwa Waamasai wetu Ngorongoro naye pia hujifunza mambo mapya ambayo hajawai kuyaona maishani mwake. Nawe pia ukienda huko Manhatan au Washington utashangaa magorofa yao marefu na miundombinu mizuri ya usafiri etc BUT hiyo si hoja ya kusema kwamba kwa kuwa Rais wetu [HAJASAFIRI KAMA UNAVYOTAKA WEWE] basi hawezi kuwa na maono mazuri kwa ajili ya kuongoza Taifa letu. YOU ARE DAMN WRONG!! Mimi namshukuru Mungu nimeishi ISRAEL [Miaka 4], SOUTH AFRICA [miaka 2], HOLLAND [mwaka 1], GERMANY [miaka 3], UK [miezi] , US [miezi], SINGAPORE [one week], JAPAN [3 weeks], CHINA [miezi 8], URUSI [MIEZI 9] etc, ila pamoja na kuishi katika NCHI HIZO ambazo wewe unaziona ni MBINGU, BADO SIJAELEWA MANTIKI YA ANDIKO LAKO. Ipo mifano ya Marais hata wa Mataifa yaliyoendelea ambao hawakusafiri sana na ambao walipata elimu katika nchi zao na bado ni viongozi walioleta maendeleo makubwa katika Nchi zao. Soma historia ya China, Japan, na Urusi utaelewa nachosema. Nihitimshe kwa kusema kwamba; una haki ya kikatiba ya kutoa maoni yako isipokuwa jaribu kujifunza kuleta mada zenye mchango chanya kwa ustawi wa Taifa letu - kwangu mimi sioni umuhimu wowote wa mada uliyoleta. Sina maslahi yoyote Serikalini na wala siko Tanzania ila nimeona nikujibu japo kwa ufupi maana nilijisikia hovyo baada ya kusoma ulichoandika!!!
 
Rais wetu anajua matatizo yetu. Yaani kutatua matatizo ya ndani ya nyumba yako mpaka uende kwa jirani? Mathalan ndani hakuna chumvi wala sukari na chanzo cha ukosefu huo unakijua kuwa mkeo anachepusha matumizi ya lazima na kupeleka kwenye upatu. Hapo bado unahitaji msaada wa jirani?
Acha ujinga wa kupinga kila kitu,jamaa ameelezea jambo la muhimu sana kuhusu Exposure kwa kiongozi mkubwa kabisa wa nchi. Hata Mwanafunzi tu wa kawaida aliyekuwa exposed na baadhi ya nchi huwezi kumfananisha na akiyesomea hapahapa Tz miaka yooote.

TAFAKARI.
 
Yeye ataibàje bila kuwa na vision ya kitaifa ya kimaendeleo na Ku invest kwenye technical change na implementations ya issue zetu. Bila hivo kamwe tusipovifuata hatutapiga hatua hata akia nje ya nchi. Aanzie ndani
Diva Beyonce dada yangu nikusaidie tu kuwa Exposure ni jambo la muhimu sanaaa kwa kila mtu kuanzia Mwanafunzi na hata viongozi. Kiongozi mkubwa wa Nchi akiwa Exposed na sehemu mbalimbali za nchi atalearn na kushare vitu vingi sana. Dunia hii ya sasa ni digitalised word na pia tupo chini ya mwavuli wa utandawazi.

Dunia hii ya sasa ni nchi moja au kiongozi mmoja kufanya meetings na Economic,Political and Social discussions na viongozi wengine (hasa kiongozi wa nchi masikini kujadili na kujifunza mengi kutoka kwa kiongozi wa developed countries). Na ndio maana hata Rais kutokujua kiingereza(ambacho ni lugha ya kimataifa inayotumika zaidi ulimwenguni ni AIBU) kwahiyo sio mbaya aifahamu vizuri Nchi hii lakini kutoka nje kwa sababu za msingi nayo ni muhimu sana.
 
Nimesomaa yooote ili nipate point ya unachokizungumzia nikakosa!
Maraisi wenye exposure kama mzee wa anga (waliopita) walileta kitu gani extraordinary?
 
Katika sifa kadhaa za mgombea urais kwa tiketi ya ccm huwa ipo ya awe na uzoefu wa masuala ya kimataifa.

sifa hii kwa JPM ilifumbiwa macho,
Nyerere baada ya kusoma nchini alikwenda makerere Uganda na baadae uingereza kunoa Bongo mwinyi alishawahi kukaa Misri ubalozini kwa miaka kadhaa,Mkapa ndio usiseme canada na marekani amekaa sana,JK ziara zake nje ya nchi akiwa foreign affairs minister kwa miaka kumi na miaka kumi ya urais wake ni sawa na kukaa nje miaka mitano,(siungi mkono,it was too much)

JPM alikanyaga Dar es salaam kwa mara ya kwanza mwaka 1984 alipokuwa anakuja kujaza fomu ya kujiunga na UDSM,tangu hapo hajawahi kukaa nje ya nchi kwa zaidi ya mwezi mmoja Amezunguka vichochoro vyote vya Tanzania alipokuwa waziri wa ujenzi akikagua barabara,kazi aliyoiweza kuliko mawaziri wote tangu uhuru .

Back to the point,mimi nimezaliwa Dar Es Salaam na enzi za ujana wangu nilikuwa najiona mtoto wa mjini sana ila siku nilipokanyaga Manhattan mwaka 2002 nilijiona ni mshamba sana kila kitu nilikiona ni kipya na tangu siku hiyo nikajua Dar Es Salaam sio jiji bali ni mji tu.

Wazungu wanakitu wanaita exposure , huwa ni shule tosha kwa tuliosoma zamani tunajua ,mtu wa mtwara kuchaguliwa sekondari wilaya ya Ngara japo kwa upande mmoja ilichangiwa na uhaba wa shule ila ilitusaidia sana,kwa sasa kuna wanafunzi wanazaliwa ndani ya wilaya x,primary mpaka sekondari anasomea ndani ya wilaya hiyohiyo na chuo cha ualimu hapo hapo na anakuja kufundisha shule ndani ya wilaya hiyohiyo ,huyu anakosa exposure atakuwa mshamba tu.

Pia kwa waliopitia vyuo vikuu vya Tanzania mtagundua kuwa lecturers walipata elimu yao nchini bila kwenda nje ya nchi huwa wanakamata sana wanafunzi wakati wa mitihani kuliko walimu waliosomea nje.(sina uhakika kama kutumbua majipu yanhusiana na kukosa exposure )

JPM anasema anataka Tanzania iwe nchi ya viwanda sasa nashangaa itakuwaje nchi ya viwanda wakati anawakimbia wazungu ambao ndio wenye technology ya viwanda,kama hadi pampas za watoto tunaagiza tukubali hatuwezi kujenga viwanda bila kuwa karibu na wazungu,awakaribishe wakae mezani waongee dili win win based business,wanatuhitaji pia bado tunawahitaji,ndio maana Nyerere na kuwatimua kote waingereza alifia kwao akukubali kufia Muhimbili

Pia JPM amekaliliwa akisema Dar ndio kioo cha Tanzania ndio maana anataka kujenga daraja toka cocobeach mpaka ocean road,hii ni kukosa exposure,nchi za watu maendeleo huwa yanakuwa balanced na pia fursa zinakuwa balanced kila sehemu kupunguza msongamano wa watu kwenye miji fulani,kuna baadhi ya nchi watu hawataki kuishi miji mikuu kwani fursa ziko kila kona,Juzi tumesikia kuwa Obama atakuwa rais wa pili wa marekani kuishi washngtone baada ya kustaafu na hii ni kwa sababu watoto wake bado wapo shule,other wise angerudi kwao chicago,JK wakati anakabidhi ikulu na kutuaga kuwa anarudi kijijini helicopter ilimpeleka Msoga mchana jioni akarudi nayo Dar.

Tanzania sio Dar tu
Pia exposure inasaidia kuimprove lugha za kigeni,hili sitaki kuliongelea sana hapa nisije kuchafua jukwaa
Mawazo ya teamLowasa hayo, siyo bure.
 
Diva Beyonce dada yangu nikusaidie tu kuwa Exposure ni jambo la muhimu sanaaa kwa kila mtu kuanzia Mwanafunzi na hata viongozi. Kiongozi mkubwa wa Nchi akiwa Exposed na sehemu mbalimbali za nchi atalearn na kushare vitu vingi sana. Dunia hii ya sasa ni digitalised word na pia tupo chini ya mwavuli wa utandawazi.

Dunia hii ya sasa ni nchi moja au kiongozi mmoja kufanya meetings na Economic,Political and Social discussions na viongozi wengine (hasa kiongozi wa nchi masikini kujadili na kujifunza mengi kutoka kwa kiongozi wa developed countries). Na ndio maana hata Rais kutokujua kiingereza(ambacho ni lugha ya kimataifa inayotumika zaidi ulimwenguni ni AIBU) kwahiyo sio mbaya aifahamu vizuri Nchi hii lakini kutoka nje kwa sababu za msingi nayo ni muhimu sana.
Mkuu Mimi ctaki kuwa na exposure ni muhimu kwa nchi za kiafrica tatizo sio exposure wala kingereza tatizo ni lack of vision, governance at general na system zilizo corrupt weak institutions, hata raisi ateme yao kuliko malkia, azunguke dunia nzima kama Vasco da gama bila vision ya Ku solve AFrican problem wenyewe kamwe hatuta move on.
 
Dumb rat ass...north Korea have no exposure but its damn nuclear super power...what do you mean anyway...go to hell!!! Viva Tanzania viva Uncle Magu...
 
W
Uzi mrefu upuuzi mfupi, hakuna kigezo cha aina hiyo kwa mgombea urais; kajifue upya urudi tena
Watu kama we we tunawaita vipofu wasiotambua upofu wao
 
mi nilishangaa niliposikia kwamba Sadam Hosein alikua kiongozi wa Quwait..
na Syria waliingia vitani kutokana na wananchi kutaka mabadiliko..
Ila kwa wabongo kiongozi kua na uzoefu wa mambo ya kimataifa sio issue..
cha msingi tu awe amewashinda wapinzani..
ni kama simba na yanga..
hata timu iwe ubwabwa ikiifunga yanga au simba imetosha.
ukiona kiongozi anakubalika tu vijijini hapo ujifunze...
 
Dumb rat ass...north Korea have no exposure but its damn nuclear super power...what do you mean anyway...go to hell!!! Viva Tanzania viva Uncle Magu...
they have just nuclear power and is among the poor far east countries !
two years ago they were starving of food.
 
W

Watu kama we we tunawaita vipofu wasiotambua upofu wao
That makes two of us; kwa sababu na mie nakuona wewe kama kipofu mbumbumbu maana kuna vipofu wana akili kweli kweli; zinachaji haswaaa; lakini wewe; mmh; tinkumanya!
 
Mkuu Mimi ctaki kuwa na exposure ni muhimu kwa nchi za kiafrica tatizo sio exposure wala kingereza tatizo ni lack of vision, governance at general na system zilizo corrupt weak institutions, hata raisi ateme yao kuliko malkia, azunguke dunia nzima kama Vasco da gama bila vision ya Ku solve AFrican problem wenyewe kamwe hatuta move on.
Vision ya awamu ya tano ni misifa tu hutakaa uone maendeleo kama Taifa aslan
 
Aslam aleikum.. napenda huu uzi, japo nataka kua tofauti kidogo.. ila kabla sijasema tofauti yangu nina omba kuwekewa sawa kitu kimoja.. niliwahi kusoma humundani kwenye mjadala wa JPM kuongea kiingereza nadhani kulikua na mmojawetu alisema JPM alipata elimu yake ya juu nje ya nchi, baada ya Mlimani, sasa kama hilo linaukweli nadhani atakua alipata exposure ya kutosha.
Ila mfano wa North Korea kwa kutokua na exposure nadhani wako vizuri tu japo wako kinyume na watakavyo jamaa wa Magharibi,achilia hilo mbali.. mzee Madiba baada ya gerezani alitakiwa apate eexposure ya buda gani ili aje kua mmoja wa viongozi wa aina yake?
 
What exactly is exposure mean to you..to meet international community that's all? Wait a minute do you know president has advisor's? Do you know we have minister for foreign affairs.;EAC and in regional integration? Have you ever think o what they are doing or advisors they bring to president... Anyway you have to first understand how system works..how the foreign ministries and embassies perform. Regional and multi national vs state relations then you will know if The president of the Republic is not exposed!!! You have to say sorry for that...being a president is more than being a senior citizen to a state. That's why there is no junior president in the world....Magufuli is still the best president under the planet Earth. Kama we ni jipu kwenda kule..
 
Wew baada kutembea na kutoa ushamba wako huko ,,MANHATTAN,,mbona hukuja kuwa Rais wetu sasa,, maana wew tayari umesha onana na wazungu,,na tayari umesha pata Exposure mbona hatujakuchagua kuwa Rais wetu,,

Hebu pereka huko hizo Exposure zako Tuachie JPM wetu apige kazi,, nyie ndio wezi wa Makontena kule Bandarini hamwishiwi Sababu nyie,, tulieni tu mtumbuliwe vzr mlizani nchi haina mwenyewe hii,,
 
Back
Top Bottom