Magufuli amekosa exposure

Magufuli amekosa exposure

JPM kasomea UDSM kuanzia bachelor mpaka PHD kama ujuavyo wanasayansi huwa hawafuatilii historia au masuala ya geography kivile kama watu waliosoma sheria,Arts na Economics,
Siyo kweli! Tuwe tunajaribu ku google baadhi ya taarifa kutoka kwenye mitandao! Hapa nanukuu baadhi ya cvs ya Mhe. Magufuli: "Dr Magufuli started his education at Chato Primary School from 1967 to 1984 and went on to Katoke Seminary in Biharamulo for his secondary education from 1975 to 1977 before relocating to Lake Secondary School in 1977 and completing in 1978.He joined Mkwawa High School for his A levels in 1979 and completed 1981 and that same year he joined Mkwawa College of Education for a Diploma in Education (Sc.) Chemistry, Mathematics and Education.In 1985 he was enrolled at the University of Dar es Salaam where he graduated and earned a B.Sc Ed. (Hons) in Chemistry and Mathematics in 1988 and went to earn a Masters Degree in Chemistry from both the Universities of Dar es Salaam and Salford in the UK in 1994. He currently holds a PhD in Chemistry from the University of Dar es Salaam." Kwahiyo siyo kweli kwamba hajatoka nje ya nchi!
 
Katika sifa kadhaa za mgombea urais kwa tiketi ya ccm huwa ipo ya awe na uzoefu wa masuala ya kimataifa.

sifa hii kwa JPM ilifumbiwa macho,
Nyerere baada ya kusoma nchini alikwenda makerere Uganda na baadae uingereza kunoa Bongo mwinyi alishawahi kukaa Misri ubalozini kwa miaka kadhaa,Mkapa ndio usiseme canada na marekani amekaa sana,JK ziara zake nje ya nchi akiwa foreign affairs minister kwa miaka kumi na miaka kumi ya urais wake ni sawa na kukaa nje miaka mitano,(siungi mkono,it was too much)

JPM alikanyaga Dar es salaam kwa mara ya kwanza mwaka 1984 alipokuwa anakuja kujaza fomu ya kujiunga na UDSM,tangu hapo hajawahi kukaa nje ya nchi kwa zaidi ya mwezi mmoja Amezunguka vichochoro vyote vya Tanzania alipokuwa waziri wa ujenzi akikagua barabara,kazi aliyoiweza kuliko mawaziri wote tangu uhuru .

Back to the point,mimi nimezaliwa Dar Es Salaam na enzi za ujana wangu nilikuwa najiona mtoto wa mjini sana ila siku nilipokanyaga Manhattan mwaka 2002 nilijiona ni mshamba sana kila kitu nilikiona ni kipya na tangu siku hiyo nikajua Dar Es Salaam sio jiji bali ni mji tu.

Wazungu wanakitu wanaita exposure , huwa ni shule tosha kwa tuliosoma zamani tunajua ,mtu wa mtwara kuchaguliwa sekondari wilaya ya Ngara japo kwa upande mmoja ilichangiwa na uhaba wa shule ila ilitusaidia sana,kwa sasa kuna wanafunzi wanazaliwa ndani ya wilaya x,primary mpaka sekondari anasomea ndani ya wilaya hiyohiyo na chuo cha ualimu hapo hapo na anakuja kufundisha shule ndani ya wilaya hiyohiyo ,huyu anakosa exposure atakuwa mshamba tu.

Pia kwa waliopitia vyuo vikuu vya Tanzania mtagundua kuwa lecturers walipata elimu yao nchini bila kwenda nje ya nchi huwa wanakamata sana wanafunzi wakati wa mitihani kuliko walimu waliosomea nje.(sina uhakika kama kutumbua majipu yanhusiana na kukosa exposure )

JPM anasema anataka Tanzania iwe nchi ya viwanda sasa nashangaa itakuwaje nchi ya viwanda wakati anawakimbia wazungu ambao ndio wenye technology ya viwanda,kama hadi pampas za watoto tunaagiza tukubali hatuwezi kujenga viwanda bila kuwa karibu na wazungu,awakaribishe wakae mezani waongee dili win win based business,wanatuhitaji pia bado tunawahitaji,ndio maana Nyerere na kuwatimua kote waingereza alifia kwao akukubali kufia Muhimbili

Pia JPM amekaliliwa akisema Dar ndio kioo cha Tanzania ndio maana anataka kujenga daraja toka cocobeach mpaka ocean road,hii ni kukosa exposure,nchi za watu maendeleo huwa yanakuwa balanced na pia fursa zinakuwa balanced kila sehemu kupunguza msongamano wa watu kwenye miji fulani,kuna baadhi ya nchi watu hawataki kuishi miji mikuu kwani fursa ziko kila kona,Juzi tumesikia kuwa Obama atakuwa rais wa pili wa marekani kuishi washngtone baada ya kustaafu na hii ni kwa sababu watoto wake bado wapo shule,other wise angerudi kwao chicago,JK wakati anakabidhi ikulu na kutuaga kuwa anarudi kijijini helicopter ilimpeleka Msoga mchana jioni akarudi nayo Dar.

Tanzania sio Dar tu
Pia exposure inasaidia kuimprove lugha za kigeni,hili sitaki kuliongelea sana hapa nisije kuchafua jukwaa

Hata huu ni aina ya ushamba pia...au tufanye ni Ulimbukeni to be precise!!
 
Magufuli started his education at Chato Primary School from 1967 to 1974 and went on to Katoke Seminary in Biharamulo for his secondary education from 1975 to 1977 before relocating to Lake Secondary School in 1977 and completing in 1978. He joined Mkwawa High School for his A levels in 1979 and completed 1981 and that same year he joined Mkwawa College of Education for a Diploma in Education (Sc.) Chemistry, Mathematics and Education.[2]

Magufuli earned his bachelor of science in education degree majoring chemistry and mathematics as teaching subjects from theUniversity of Dar es Salaam in 1988. He also earned his master's and doctorate degrees in chemistry from the University of Dar es Salaam, in 1994 and 2009, respectively.[3]
 
Mbona mnang'ang'ania JPM anende nje.... Mnataka kumpindua nini??!!
 
Angalia TOVUTI ya Serikali ya JMT badala ya Wikipedia! Inasema hivi:
Elimu
"Dkt. John Pombe Joseph Magufuli alipata elimu ya msingi katika shule ya msingi Chato kuanzia mwaka 1967 hadi 1974. Pia alijiunga na elimu ya Sekondari katika shule ya Seminari Katoke-Biharamulo na Lake Sekondari-Mwanza kati ya mwaka 1975 hadi 1978. Aidha, mwaka 1979 hadi 1981 aliendelea na masomo yake ya kidato cha tano na sita katika Shule ya Sekondari Mkwawa Mkoani Iringa.

Dkt. Magufuli pia alijiunga na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa mujibu wa sheria akianzia Makutupora, Dodoma (Julai - Desemba 1983), kisha akaenda kambi ya Makuyuni, Arusha (Januari hadi Machi 1984) na akamalizia katika kambi ya Mpwapwa mkoani Dodoma (Machi – Juni 1984). Mwaka 1985 alijiunga na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akisomea Shahada ya Sayansi ya Elimu akibobea kwenye masomo ya Kemia na Hisabati na alihitimu mwaka 1988.

Kati ya mwaka 1991 na 1994 alijiunga na masomo ya Shahada ya Uzamili ya Sayansi katika Chuo Kikuu cha Salford nchini Uingereza na baadaye mwaka 2006-2009 alijiunga na masomo ya Shahada ya Uzamivu ya Kemia katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kutokana na taaluma yake Dkt. Magufuli ameandika vitabu na machapisho mbalimbali."
(Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Tovuti Rasmi ya Rais)
 
Mie naona Ni vizuri aweke vizuri masuala ya ndani kabla ya kufikiria kutafuta misaada. Ni ujinga Sana kufikiria misaada badala ya kusimamia vizuri rasilimali zilizopo ndani ya nchi. Kwa mawazo tegemezi kamwe hatataendelea. Wenye mawazo hayo washindwe na walegee
 
Siyo kweli! Tuwe tunajaribu ku google baadhi ya taarifa kutoka kwenye mitandao! Hapa nanukuu baadhi ya cvs ya Mhe. Magufuli: "Dr Magufuli started his education at Chato Primary School from 1967 to 1984 and went on to Katoke Seminary in Biharamulo for his secondary education from 1975 to 1977 before relocating to Lake Secondary School in 1977 and completing in 1978.He joined Mkwawa High School for his A levels in 1979 and completed 1981 and that same year he joined Mkwawa College of Education for a Diploma in Education (Sc.) Chemistry, Mathematics and Education.In 1985 he was enrolled at the University of Dar es Salaam where he graduated and earned a B.Sc Ed. (Hons) in Chemistry and Mathematics in 1988 and went to earn a Masters Degree in Chemistry from both the Universities of Dar es Salaam and Salford in the UK in 1994. He currently holds a PhD in Chemistry from the University of Dar es Salaam." Kwahiyo siyo kweli kwamba hajatoka nje ya nchi!
Mkuu tatizo la ukawa wao wanawaza ngono na maandamano tu magufuli katoka nje sana tu,hata hivyo hao viongozi ambao mpaka wamejenga nyumba ulaya ma marekani wamelifanyia nini Taifa zaidi ya kuiba mali zetu na kwenda kuficha nje ya nchi manina zao kabisa.
 
sijasema kama anawakimbia sababu ya lugha bali anataka kuwaonyesha wazungu kuwa sisi ni masikini jeuri hatuwahitaji kivile which is wrong
and whats wrong with that .....if I may ask mkuu? wacha tupate uzoefu mpya and he has not yet disappointed me!
 
Ww masanja acha undina wako,ww hujui au huoni kikwete kafanya nn?acha ulafa,sipendi mtu anayependa kukashifu na kutukana viongozi wetu,kila mmoja amefanya yk kwa wkt wake au umezaliwa mwaka 2000?hakuna binadamu mkamilifu na kila zama na kitabu chake,nchi hii kuibiwa imeanza tangu nyerere na hakufanya kitu na kifupi hakuna kiongozi msafi bongo wala africa kijumla,soma ujue nchi ilikuwa wapi ktk zama hizo na sasa ipo wapi na nini uelekeo wetu
 
Ok lets assume ur right..Sasa ni mfumo gani kaja nao wenye lengo la kuitransform hii elimu yetu ili tuwez kuzalisha hao wataalam competitive na innovetors kama walivofanya wenzetu Singapore...
Je ni Elimu bure?,kutumbua majib without purpose?..au unamaanisha nini labda?
Hilo ndo LA msingi yeye atakuja na strategy gani kulivusha taifa sio kusema eti kwenda nje exposure ndo itatusaidia. Kwanza ka taifa tunajiendea tu bila kuwa na vision ya kutufikisha certain stage matokeo yake kila raisi akiingia anakuja na ya kwakwe.ndo mana vtu haviendi.
Tatizo LA elimu bure ni mkurupukoo bila kujiandaa ila kutumbua jibu kwa kiasi kumerudisha responsibility na accountability kwa sector
 
Katika sifa kadhaa za mgombea urais kwa tiketi ya ccm huwa ipo ya awe na uzoefu wa masuala ya kimataifa.

sifa hii kwa JPM ilifumbiwa macho,
Nyerere baada ya kusoma nchini alikwenda makerere Uganda na baadae uingereza kunoa Bongo mwinyi alishawahi kukaa Misri ubalozini kwa miaka kadhaa,Mkapa ndio usiseme canada na marekani amekaa sana,JK ziara zake nje ya nchi akiwa foreign affairs minister kwa miaka kumi na miaka kumi ya urais wake ni sawa na kukaa nje miaka mitano,(siungi mkono,it was too much)

JPM alikanyaga Dar es salaam kwa mara ya kwanza mwaka 1984 alipokuwa anakuja kujaza fomu ya kujiunga na UDSM,tangu hapo hajawahi kukaa nje ya nchi kwa zaidi ya mwezi mmoja Amezunguka vichochoro vyote vya Tanzania alipokuwa waziri wa ujenzi akikagua barabara,kazi aliyoiweza kuliko mawaziri wote tangu uhuru .

Back to the point,mimi nimezaliwa Dar Es Salaam na enzi za ujana wangu nilikuwa najiona mtoto wa mjini sana ila siku nilipokanyaga Manhattan mwaka 2002 nilijiona ni mshamba sana kila kitu nilikiona ni kipya na tangu siku hiyo nikajua Dar Es Salaam sio jiji bali ni mji tu.

Wazungu wanakitu wanaita exposure , huwa ni shule tosha kwa tuliosoma zamani tunajua ,mtu wa mtwara kuchaguliwa sekondari wilaya ya Ngara japo kwa upande mmoja ilichangiwa na uhaba wa shule ila ilitusaidia sana,kwa sasa kuna wanafunzi wanazaliwa ndani ya wilaya x,primary mpaka sekondari anasomea ndani ya wilaya hiyohiyo na chuo cha ualimu hapo hapo na anakuja kufundisha shule ndani ya wilaya hiyohiyo ,huyu anakosa exposure atakuwa mshamba tu.

Pia kwa waliopitia vyuo vikuu vya Tanzania mtagundua kuwa lecturers walipata elimu yao nchini bila kwenda nje ya nchi huwa wanakamata sana wanafunzi wakati wa mitihani kuliko walimu waliosomea nje.(sina uhakika kama kutumbua majipu yanhusiana na kukosa exposure )

JPM anasema anataka Tanzania iwe nchi ya viwanda sasa nashangaa itakuwaje nchi ya viwanda wakati anawakimbia wazungu ambao ndio wenye technology ya viwanda,kama hadi pampas za watoto tunaagiza tukubali hatuwezi kujenga viwanda bila kuwa karibu na wazungu,awakaribishe wakae mezani waongee dili win win based business,wanatuhitaji pia bado tunawahitaji,ndio maana Nyerere na kuwatimua kote waingereza alifia kwao akukubali kufia Muhimbili

Pia JPM amekaliliwa akisema Dar ndio kioo cha Tanzania ndio maana anataka kujenga daraja toka cocobeach mpaka ocean road,hii ni kukosa exposure,nchi za watu maendeleo huwa yanakuwa balanced na pia fursa zinakuwa balanced kila sehemu kupunguza msongamano wa watu kwenye miji fulani,kuna baadhi ya nchi watu hawataki kuishi miji mikuu kwani fursa ziko kila kona,Juzi tumesikia kuwa Obama atakuwa rais wa pili wa marekani kuishi washngtone baada ya kustaafu na hii ni kwa sababu watoto wake bado wapo shule,other wise angerudi kwao chicago,JK wakati anakabidhi ikulu na kutuaga kuwa anarudi kijijini helicopter ilimpeleka Msoga mchana jioni akarudi nayo Dar.

Tanzania sio Dar tu
Pia exposure inasaidia kuimprove lugha za kigeni,hili sitaki kuliongelea sana hapa nisije kuchafua jukwaa
Kama exposure ndio chachu ya maendeleo Mzee wa Msoga angekuwa ametuweka katika nchi ya uchumi wa kati ila hakika na kwambia uhitaji exposure ili ulete maendeleo unaitaji ujue majukumu yako ni yapi kama RAISI na umejipanga vipi kutimiza ahadi zako kwa wananchi yani mikakati yako, commitment yake kututumikia sisi ndio tunaitaka na uchu wake wa kuleta maendeleo siamini eti kukosa exposure ni mzigo
 
Nashangaa kuona mtu ambaye hana exposure kubwa ya kimataifa anakuwa mzuri zaidi ya wale wenye exposure kubwa...
 
umesema kweli hana eexxposure na hajajiffunza sana nmna ya uongoi anadhani kuongoza ni mawao binafsi watu walifanya tafiti wakandika vitaabu na vitabu jamaa haomi akiklemu kitu basi ndio hivyo hivyo tunaingia miezi sita hajui nchi anaipeleka wapi anakurupuka ttu mpaka sasa bado anapanga afu ya watu wakufanya nao kazi hajiamini
 
  • Thanks
Reactions: PNC
kwa aina ya uvaaji wake, uzungumzaji wake na hata style yake ya kazi ameanza kwa kufeli time will tell
Du hadi uvaaji? Sikuwahi kuwaza wala kufikiria haya mambo,kumbe avaaje? Unaweza ukashauri.
 
Maono ya Mhe. Dr. JPM Rais wa JMT sio exposure au uzoefu wa kimataifa bali ni haya yafuatayo:-

1. Kupambana na umasikini na kutetea wanyonge
2. Kubana matumizi hasa kwa mambo au vitu visivyokuwa vya lazima
3. Kupigana na rushwa na ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka
4. Uwajibikaji, uadilifu na ufuatiliaji
5. Kuifanya TZ kuwa ni nchi ya viwanda
6. Kuboresha huduma za jamii (maji, elimu na Afya bila kusahau miundombinu)
Nk

Bahati nzuri hao wenye exposure wamemuelewa na misimamo Yake. Kesho Rais wa Vietnam anafungua dim a la Marais wa Dunia kumfuata Dr. JPM. Kweli KIZURI CHAJIUZA KIBAYA CHAJITEMBEZA.

Queen Esther

Katika sifa kadhaa za mgombea urais kwa tiketi ya ccm huwa ipo ya awe na uzoefu wa masuala ya kimataifa.

sifa hii kwa JPM ilifumbiwa macho,
Nyerere baada ya kusoma nchini alikwenda makerere Uganda na baadae uingereza kunoa Bongo mwinyi alishawahi kukaa Misri ubalozini kwa miaka kadhaa,Mkapa ndio usiseme canada na marekani amekaa sana,JK ziara zake nje ya nchi akiwa foreign affairs minister kwa miaka kumi na miaka kumi ya urais wake ni sawa na kukaa nje miaka mitano,(siungi mkono,it was too much)

JPM alikanyaga Dar es salaam kwa mara ya kwanza mwaka 1984 alipokuwa anakuja kujaza fomu ya kujiunga na UDSM,tangu hapo hajawahi kukaa nje ya nchi kwa zaidi ya mwezi mmoja Amezunguka vichochoro vyote vya Tanzania alipokuwa waziri wa ujenzi akikagua barabara,kazi aliyoiweza kuliko mawaziri wote tangu uhuru .

Back to the point,mimi nimezaliwa Dar Es Salaam na enzi za ujana wangu nilikuwa najiona mtoto wa mjini sana ila siku nilipokanyaga Manhattan mwaka 2002 nilijiona ni mshamba sana kila kitu nilikiona ni kipya na tangu siku hiyo nikajua Dar Es Salaam sio jiji bali ni mji tu.

Wazungu wanakitu wanaita exposure , huwa ni shule tosha kwa tuliosoma zamani tunajua ,mtu wa mtwara kuchaguliwa sekondari wilaya ya Ngara japo kwa upande mmoja ilichangiwa na uhaba wa shule ila ilitusaidia sana,kwa sasa kuna wanafunzi wanazaliwa ndani ya wilaya x,primary mpaka sekondari anasomea ndani ya wilaya hiyohiyo na chuo cha ualimu hapo hapo na anakuja kufundisha shule ndani ya wilaya hiyohiyo ,huyu anakosa exposure atakuwa mshamba tu.

Pia kwa waliopitia vyuo vikuu vya Tanzania mtagundua kuwa lecturers walipata elimu yao nchini bila kwenda nje ya nchi huwa wanakamata sana wanafunzi wakati wa mitihani kuliko walimu waliosomea nje.(sina uhakika kama kutumbua majipu yanhusiana na kukosa exposure )

JPM anasema anataka Tanzania iwe nchi ya viwanda sasa nashangaa itakuwaje nchi ya viwanda wakati anawakimbia wazungu ambao ndio wenye technology ya viwanda,kama hadi pampas za watoto tunaagiza tukubali hatuwezi kujenga viwanda bila kuwa karibu na wazungu,awakaribishe wakae mezani waongee dili win win based business,wanatuhitaji pia bado tunawahitaji,ndio maana Nyerere na kuwatimua kote waingereza alifia kwao akukubali kufia Muhimbili

Pia JPM amekaliliwa akisema Dar ndio kioo cha Tanzania ndio maana anataka kujenga daraja toka cocobeach mpaka ocean road,hii ni kukosa exposure,nchi za watu maendeleo huwa yanakuwa balanced na pia fursa zinakuwa balanced kila sehemu kupunguza msongamano wa watu kwenye miji fulani,kuna baadhi ya nchi watu hawataki kuishi miji mikuu kwani fursa ziko kila kona,Juzi tumesikia kuwa Obama atakuwa rais wa pili wa marekani kuishi washngtone baada ya kustaafu na hii ni kwa sababu watoto wake bado wapo shule,other wise angerudi kwao chicago,JK wakati anakabidhi ikulu na kutuaga kuwa anarudi kijijini helicopter ilimpeleka Msoga mchana jioni akarudi nayo Dar.

Tanzania sio Dar tu
Pia exposure inasaidia kuimprove lugha za kigeni,hili sitaki kuliongelea sana hapa nisije kuchafua jukwaa
 
Wewe akili nyingi zinazidi kichwa chako , hongera
Hakuna akili nyingi hapa; bali utambuzi wa somo na busara kidogo tu jinsi ya kuwasiliana na binadamu wenzetu! Mwenyezi Mungu ndie Alpha na Omega; akili mingi kupita kiasi!​
 
A very good article ila wachache watakuelewa.tegemea nosenses kutoka kwa wale bendera kufuata upepo.Good job
Una IQ ya mende kama unategemea kwamba kila mtu ataitikia NDIYOOOOOO! kama majuha ya ccm bungeni; isome namba kama wimbo wenu wa kejeli; mlimchagua wenyewe!!
 
Mwandishi anadhan kufika manhattan ndo amekuwa mjanja? Kuna mijitu mijinga sana dunia hii. So kuzaliwa dsm nako unaona ni ujanja? Hii mijitu sijui kwenye kichwa kuliwekwa nini mbadala wa ubongo. Mungu atusamehe tu. Kuna wenzio wamezaliwa usa tena new york,los angels etc. Wewe kwenda tu huko unaona ni jambo la kuja kunadi. But JK kaenda sana nje imelisaidia nini Taifa? A very stupid notion. Kama una akili timamu yu dnt need to go anywhere to learn how to solve your problms. Matatizo ya ufumbuzi wake upo hapa hapa. Acha upumbavu wako wa kulazimisha kuwa mtu akikaa nje eti ndo ana exposure. Unajua maana ya exposure wewe? Au umekariri tu? Unadhan ukizunguka zunguka ndo una exposure? Unaweza ipata exposure popote ulipo provided umewah kutana na tukio husika au hata soma/sikia na kulitafutia ufumbuz. Hii mijitu mingine inawaza fyongo sana.
 
Back
Top Bottom