Magufuli amekosa exposure

Magufuli amekosa exposure

Mwandishi anaonesha ushamba wa hali ya juu sana. Kumbe ushamba alizaliwa nao. Na ndo maana anaona ni issue kufika manhattan mpaka kuja kutangaza hapa.kuna watu wamefika hadi mbinguni na wala hawatangazi. Wewe unaleta ubwege wako na hilo likichwa lako kama limejazwa mawe ndani. Miswahili haijihamini hata kidogo. Inakuwa mioga na isiyojielewa inataka nini....
 
Kwa hiyo JK kwenda sana nje amesaidia nini ktk matatizo ya watanzania? Magu usisafiri piga kazi ukiwa ndani ya nchi
 
Subiri feedback yako muda sio mrefu!
Umeeleweka mkuu. Lakini mimi binafsi naona huyu ambae hana exposure ni bora mno kuliko hao waliopita ambao nchi za wazungu ilikua kama nyumbani kwao. Muda wa kutulia nyumbani nakutatua matatizo ya wananchi walikua hawana. Wao ni shopping tu. We are happy with this one who cares for us. Na anao watendaji na wasomi mahiri wanaoweza kumsaidia katika utendaji wakazi za kila siku hapo Ikulu.
Katika sifa kadhaa za mgombea urais kwa tiketi ya ccm huwa ipo ya awe na uzoefu wa masuala ya kimataifa.

sifa hii kwa JPM ilifumbiwa macho,
Nyerere baada ya kusoma nchini alikwenda makerere Uganda na baadae uingereza kunoa Bongo mwinyi alishawahi kukaa Misri ubalozini kwa miaka kadhaa,Mkapa ndio usiseme canada na marekani amekaa sana,JK ziara zake nje ya nchi akiwa foreign affairs minister kwa miaka kumi na miaka kumi ya urais wake ni sawa na kukaa nje miaka mitano,(siungi mkono,it was too much)

JPM alikanyaga Dar es salaam kwa mara ya kwanza mwaka 1984 alipokuwa anakuja kujaza fomu ya kujiunga na UDSM,tangu hapo hajawahi kukaa nje ya nchi kwa zaidi ya mwezi mmoja Amezunguka vichochoro vyote vya Tanzania alipokuwa waziri wa ujenzi akikagua barabara,kazi aliyoiweza kuliko mawaziri wote tangu uhuru .

Back to the point,mimi nimezaliwa Dar Es Salaam na enzi za ujana wangu nilikuwa najiona mtoto wa mjini sana ila siku nilipokanyaga Manhattan mwaka 2002 nilijiona ni mshamba sana kila kitu nilikiona ni kipya na tangu siku hiyo nikajua Dar Es Salaam sio jiji bali ni mji tu.

Wazungu wanakitu wanaita exposure , huwa ni shule tosha kwa tuliosoma zamani tunajua ,mtu wa mtwara kuchaguliwa sekondari wilaya ya Ngara japo kwa upande mmoja ilichangiwa na uhaba wa shule ila ilitusaidia sana,kwa sasa kuna wanafunzi wanazaliwa ndani ya wilaya x,primary mpaka sekondari anasomea ndani ya wilaya hiyohiyo na chuo cha ualimu hapo hapo na anakuja kufundisha shule ndani ya wilaya hiyohiyo ,huyu anakosa exposure atakuwa mshamba tu.

Pia kwa waliopitia vyuo vikuu vya Tanzania mtagundua kuwa lecturers walipata elimu yao nchini bila kwenda nje ya nchi huwa wanakamata sana wanafunzi wakati wa mitihani kuliko walimu waliosomea nje.(sina uhakika kama kutumbua majipu yanhusiana na kukosa exposure )

JPM anasema anataka Tanzania iwe nchi ya viwanda sasa nashangaa itakuwaje nchi ya viwanda wakati anawakimbia wazungu ambao ndio wenye technology ya viwanda,kama hadi pampas za watoto tunaagiza tukubali hatuwezi kujenga viwanda bila kuwa karibu na wazungu,awakaribishe wakae mezani waongee dili win win based business,wanatuhitaji pia bado tunawahitaji,ndio maana Nyerere na kuwatimua kote waingereza alifia kwao akukubali kufia Muhimbili

Pia JPM amekaliliwa akisema Dar ndio kioo cha Tanzania ndio maana anataka kujenga daraja toka cocobeach mpaka ocean road,hii ni kukosa exposure,nchi za watu maendeleo huwa yanakuwa balanced na pia fursa zinakuwa balanced kila sehemu kupunguza msongamano wa watu kwenye miji fulani,kuna baadhi ya nchi watu hawataki kuishi miji mikuu kwani fursa ziko kila kona,Juzi tumesikia kuwa Obama atakuwa rais wa pili wa marekani kuishi washngtone baada ya kustaafu na hii ni kwa sababu watoto wake bado wapo shule,other wise angerudi kwao chicago,JK wakati anakabidhi ikulu na kutuaga kuwa anarudi kijijini helicopter ilimpeleka Msoga mchana jioni akarudi nayo Dar.

Tanzania sio Dar tu
Pia exposure inasaidia kuimprove lugha za kigeni,hili sitaki kuliongelea sana hapa nisije kuchafua jukwaa
 
Una IQ ya mende kama unategemea kwamba kila mtu ataitikia NDIYOOOOOO! kama majuha ya ccm bungeni; isome namba kama wimbo wenu wa kejeli; mlimchagua wenyewe!!
Punguza kukurupuka nadhani either hujailewa mada au maelezo yangu.Usipojifunza kuelewa na kufikiri kwanza kabla ya kujibu utabaki kua funza ktk jamii.Pili you need to apologize kwa kuniita mwana ccm.Hii ni dharau kubwa sana kunihusisha na hiki chama.
 
Rais wetu anajua matatizo yetu. Yaani kutatua matatizo ya ndani ya nyumba yako mpaka uende kwa jirani? Mathalan ndani hakuna chumvi wala sukari na chanzo cha ukosefu huo unakijua kuwa mkeo anachepusha matumizi ya lazima na kupeleka kwenye upatu. Hapo bado unahitaji msaada wa jirani?
Vijana wa kitanzania mnanichosha kwa fikra mgando. Hauwezi kamwe kulinganisha utawala wa nyumba yako na ule wa nchi. Utawala wa nchi ni mfumo ulio juu ya mtu husika yaani Raisi; wakati mfumo wa kaya yako uko katika uwezo wa mtu husika, awe baba, mama au mtoto. Tutake tusitake tunahitaji mahusiano na nje. Tanzania siyo kisiwa. Cha muhimu ni kujua pale ambako hatujui, yaani kujua UJINGA wetu na kujaribu kuukwepa kwa kutumia wale wanaojua. Mtoa mada anajaribu kutuonyesha ujinga wetu, ili tujaribu kuuepuka. Kwa wale waliosoma falsafa kidogo, kuwa na hekima, ambayo ni sifa kuu mojawapo ya Uongozi, ni kujua kwamba wewe ni MJINGA, la sivyo tunakuita mpumbafu (IMBECILE)
 
Kwa mara ya kwanza umeongea point, hata kwetu bukoba watu walikuwa wanakuja kujifunza maendeleo hasa wa musoma lakini wakama hawakuwahi kwenda nga,mbo
kWA TAARIFA HIYO NDIYO ILIKUWA NG'AMBO YAO. WE NEED ACTIONS TO TALK NOT REACTIONS.
 
Sasa uzoefu wao wakukaa nje
Katika sifa kadhaa za mgombea urais kwa tiketi ya ccm huwa ipo ya awe na uzoefu wa masuala ya kimataifa.

sifa hii kwa JPM ilifumbiwa macho,
Nyerere baada ya kusoma nchini alikwenda makerere Uganda na baadae uingereza kunoa Bongo mwinyi alishawahi kukaa Misri ubalozini kwa miaka kadhaa,Mkapa ndio usiseme canada na marekani amekaa sana,JK ziara zake nje ya nchi akiwa foreign affairs minister kwa miaka kumi na miaka kumi ya urais wake ni sawa na kukaa nje miaka mitano,(siungi mkono,it was too much)

JPM alikanyaga Dar es salaam kwa mara ya kwanza mwaka 1984 alipokuwa anakuja kujaza fomu ya kujiunga na UDSM,tangu hapo hajawahi kukaa nje ya nchi kwa zaidi ya mwezi mmoja Amezunguka vichochoro vyote vya Tanzania alipokuwa waziri wa ujenzi akikagua barabara,kazi aliyoiweza kuliko mawaziri wote tangu uhuru .

Back to the point,mimi nimezaliwa Dar Es Salaam na enzi za ujana wangu nilikuwa najiona mtoto wa mjini sana ila siku nilipokanyaga Manhattan mwaka 2002 nilijiona ni mshamba sana kila kitu nilikiona ni kipya na tangu siku hiyo nikajua Dar Es Salaam sio jiji bali ni mji tu.

Wazungu wanakitu wanaita exposure , huwa ni shule tosha kwa tuliosoma zamani tunajua ,mtu wa mtwara kuchaguliwa sekondari wilaya ya Ngara japo kwa upande mmoja ilichangiwa na uhaba wa shule ila ilitusaidia sana,kwa sasa kuna wanafunzi wanazaliwa ndani ya wilaya x,primary mpaka sekondari anasomea ndani ya wilaya hiyohiyo na chuo cha ualimu hapo hapo na anakuja kufundisha shule ndani ya wilaya hiyohiyo ,huyu anakosa exposure atakuwa mshamba tu.

Pia kwa waliopitia vyuo vikuu vya Tanzania mtagundua kuwa lecturers walipata elimu yao nchini bila kwenda nje ya nchi huwa wanakamata sana wanafunzi wakati wa mitihani kuliko walimu waliosomea nje.(sina uhakika kama kutumbua majipu yanhusiana na kukosa exposure )

JPM anasema anataka Tanzania iwe nchi ya viwanda sasa nashangaa itakuwaje nchi ya viwanda wakati anawakimbia wazungu ambao ndio wenye technology ya viwanda,kama hadi pampas za watoto tunaagiza tukubali hatuwezi kujenga viwanda bila kuwa karibu na wazungu,awakaribishe wakae mezani waongee dili win win based business,wanatuhitaji pia bado tunawahitaji,ndio maana Nyerere na kuwatimua kote waingereza alifia kwao akukubali kufia Muhimbili

Pia JPM amekaliliwa akisema Dar ndio kioo cha Tanzania ndio maana anataka kujenga daraja toka cocobeach mpaka ocean road,hii ni kukosa exposure,nchi za watu maendeleo huwa yanakuwa balanced na pia fursa zinakuwa balanced kila sehemu kupunguza msongamano wa watu kwenye miji fulani,kuna baadhi ya nchi watu hawataki kuishi miji mikuu kwani fursa ziko kila kona,Juzi tumesikia kuwa Obama atakuwa rais wa pili wa marekani kuishi washngtone baada ya kustaafu na hii ni kwa sababu watoto wake bado wapo shule,other wise angerudi kwao chicago,JK wakati anakabidhi ikulu na kutuaga kuwa anarudi kijijini helicopter ilimpeleka Msoga mchana jioni akarudi nayo Dar.

Tanzania sio Dar tu
Pia exposure inasaidia kuimprove lugha za kigeni,hili sitaki kuliongelea sana hapa nisije kuchafua jukwaa
umetusaidia nini sisi kama nchi kukaa kwao nje
 
.................... na enzi za ujana wangu nilikuwa najiona mtoto wa mjini sana ila siku nilipokanyaga Manhattan mwaka 2002 nilijiona ni mshamba sana kila kitu nilikiona ni kipya na tangu siku hiyo nikajua Dar Es Salaam sio jiji bali ni mji tu.

..........................

Kwa mapungufu uliyonayo, unataka kusema ili mtu wa Ulaya au US awe rais lazima awe amefika mbuga za serengeti ili asijeshangaa? Hiyo ni misuse ya JF. Unadhani exposure ni kufika Manhattan? Wapi unakodhani Magufuli akifika atakuwa amepata exposure? Uko hoi kabisa. Mifano yako ya Mkapa na Kikwete kwa nini haijakupa fundisho kwamba unaweza zunguka nchi zote za dunia na bado ukawa huna exposure?

Binadamu alipofikia Homo sapiens, huo ndo ulikuwa mwisho wa exposure hata Neil Armstrong asingeweza kujiona ana exposure kwa kuwa amekanyaga mwezini wa kwanza.
 
Hili jambo nililiona siku nyingi. Nilishamshukuru Mkapa kwa kumuweka Kikwete Foreign atembee miaka kumi kabla ya kuwa rais, ama sivyo tungeshuhudia madudu zaidi.

Magufuli haelewi au haheshimu concepts basic kama separation of powers au collective responsibility kwa sababu hana exposure.

Juzi kamtoa Katibu Mkuu kiongozi mwenye miaka 61 na kusema atampangia kazi nyingine (umri wa kustaafu miaka 60) na kuteua Katibu Mkuu kiongozi mwingine ambaye amebakiza miezi 8 kabla ya kufikia umri wa kustaafu lazima.

Huyu rais haoneshi mfano wa kufuata sheria na taratibu. Anaongoza kwa kutuambia kuvunja taratibu ni sawa tu.

Ila wabongo wengine ukiwaambia hivyo watamtetea kwa munkari usio mantiki.
 
Uchambuzi mzuri na wakina,
Lakini kumbuka Rais ni taasis na si mtu mmoja

Hata kama JPM hana exposure,
[Sidhani kama kakosa kabisa,atakuwa nayo japo kwa kiwango kidogo]

Bado ana watendaji wenye hiyo exposure!

Kuhusu kuwakimbia wazungu,hizi ni story ambazo hazina ukweli wowote

Hakuna lugha iliyokosa mkaliman bhana.
asante ndugu yangu manake nimesoma reply zote baada ya hii thread ya jamaa naona post yako ndio ya mtu makini zilizotangulia zote ni utumbo.. hakika kwa staili hii tutaishusha hadhi ya JF..tujaribuni kuwa critical thinker
 
Ukichanganya system yenye mungu-mtu kama Tanzania (rais anaogopwa na ana nguvu kama mungu-mtu) na rais kichwangumu asiyeambilika kama Magufuli (Magufuli anaandikiwa hotuba halafu anakataa kuzisoma na kusema anachojua yeye kichwani mwake) ni hatari sana kuwa na rais ambaye hana exposure.

Pia kuna mambo ambayo washauri hawawezi kumsaidia.

Rais ambaye hana exposure anaweza kuulizwa swali dogo tu Davos akashindwa kulijibu na kuaibisha nchi.

Kikwete aliwahi kuulizwa na Bob Geldof kwa nini Tanzania ni masikini? Akajibu hajui.

Labda ndiyo maana Magufuli anaogopa kusafiri nje.
 
asante ndugu yangu manake nimesoma reply zote baada ya hii thread ya jamaa naona post yako ndio ya mtu makini zilizotangulia zote ni utumbo.. hakika kwa staili hii tutaishusha hadhi ya JF..tujaribuni kuwa critical thinker
Nimejibu na kuonyesha matatizo ya kufikiri kama uliyemnukuu.

Rais anatakiwa kuwa the smartest person in the room overall, washauri wanatakiwa kuwa experts katika individual fields zao.

Rais ambaye hana exposure, anakosa kitu cha msingi kabisa cha kuwa the smartest person in the room overall.
 
kiranga nilimaanisha post tatu nne za kwanza baada ya hii thread...
back to thread ..Mimi nadhani walio karibu na Magufuli wamshauri awe anaongea kiswahili officially...rather ni janga sidhani kama yeye anaijua english yake..
 
Rais wetu anajua matatizo yetu. Yaani kutatua matatizo ya ndani ya nyumba yako mpaka uende kwa jirani? Mathalan ndani hakuna chumvi wala sukari na chanzo cha ukosefu huo unakijua kuwa mkeo anachepusha matumizi ya lazima na kupeleka kwenye upatu. Hapo bado unahitaji msaada wa jirani?
Wazungu ndiyo wenye teknolojia kwanini awakimbie?hapa ndiyo kwenye hoja ya msingi hiyo mifano unayotoa haina maana ya jikoni hapa tunazungumzia nchi kuwa ya viwanda.
 
Rais aliepita alitembea sana nje so image ya nchi huko tunajulikana huyu ana deal na yaliyoshindikana humu nchini Acha tu balance
 
Hili jambo nililiona siku nyingi. Nilishamshukuru Mkapa kwa kumuweka Kikwete Foreign atembee miaka kumi kabla ya kuwa rais, ama sivyo tungeshuhudia madudu zaidi.

Magufuli haelewi au haheshimu concepts basic kama separation of powers au collective responsibility kwa sababu hana exposure.

Juzi kamtoa Katibu Mkuu kiongozi mwenye miaka 61 na kusema atampangia kazi nyingine (umri wa kustaafu miaka 60) na kuteua Katibu Mkuu kiongozi mwingine ambaye amebakiza miezi 8 kabla ya kufikia umri wa kustaafu lazima.

Huyu rais haoneshi mfano wa kufuata sheria na taratibu. Anaongoza kwa kutuambia kuvunja taratibu ni sawa tu.
Ila wabongo wengine ukiwaambia hivyo watamtetea kwa munkari usio mantiki.

Mkuu heshima kwako hakika umesema vema magu ni tatizo, na tatizo lake kubwa ni kujiona unajua kila kitu kuliko watz wote. Anajokijua ni kufukuza watu kazi na kuamini kuwa kwa kufanya hivyo ndio ataleta maendeleo na baadhi ya watu walivyokuwa mazoba wanaona kumfukuza nesi kazi ndio kupambana na mafisadi huku watu kama chenge, makamba, tibaijuka wakiachwa wadunde dunde uwanjani.
 
Kama nchi ingekuwa inafuata sheria za kazi hao wanaofukuzwa kama mbwa wangeishitaki serikali na kushinda kesi na kuitua serikali hasara jwa kuoewa fidia kubwa.

Ni basi kwa vile Tanzania hatuendi kwa sheria kitu akisema rais ni juu ya sheria
 
Back
Top Bottom