Magufuli akumbwa na kashfa nzito!

Magufuli akumbwa na kashfa nzito!

Status
Not open for further replies.
Hivi huyu Pombe ile nyumba aliokuwa kammilikisha hawala yake aliirudisha serikalini au?
 
wewe ndiyo mvivu wa kufikiri kwa sababu hujui kama mojawapo ya kazi za bunge ni kupata majibu ya serikali kutoka kwenye report ya CAG hii ikiwa ni pamoja na kutoa majibu kwa maswala yaliyojitokeza wakati wa ukaguzi wa mahesabu ya serikali.

Wewe ndiyo mvivu wa kufikiri.Jiulize auditor amefanya auditing na akahitaji majibu kabla ya kumaliza audit hapewi, baadae afanye exit meeting na auditee bado hakupewa majibu.Halafu ujiridhishe kuwa hakuna tatizo, kubali hapo kuna wizi na ndiyo maana wamekosa majibu in whole audit process.Hadi kumruhusu auditor airushe hewani maana yake ni WIZI MTUPU hakuna majibu
 
mimi ni mkazi wa chato, kama magufuli akipata ubunge 2015, nahamia cicim, mbinafsi mkubwa, nyumbani kwake chato mwenyekiti wa mtaa ni CHADEMA. kwa heri magufuli 2015.
 
Kwa hiyo wote wanaowafuata viongozi wazinzi nao watakuwa wazinzi nadhani ndo una maanisha hivyo.
Kuna mwanafalsafa mmoja alishawahi kusema "Kinacho ingia kwenye taka nacho ni taka", kwa mantiki hii ni kwamba kama CCM ina uchafu, wote wanao andama nayo pamoja na uchafu wake hawawezi kuwa wasafi watachafuka au watajichafua wafanane na wenzao wachafu ili wote wawe wachafu.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums.
 
Kila wizi unavyotokea watu wanatoa mapovu kutetea! ama kweli tumekwisha badala ya kushituka kuna nn wengine wanahangaika kutetea wizi ama zao zimekaribia poleni magamba kwa kushikwa pabaya.
 
magufuli namfaham ni bonge la fisadi anmiliki nyumba nne hapa mtaa wa bwiru mwanza ambazo huwa anawaagiza wakuu wa tanroads kumjengea nyumba kuna nyumba nyingine amejengewa na mayanga contractors kwa kuwapa tender pia nyumba nyingine ghorofa kubwa wachina wamemjengea
 
Nina mashaka sana kuwa hizi pesa zinazopotea kwenye mazingira ya kutatanisha kwenye mafungu ya bajeti kuwa ni makusanyo ya pesa za chama kuweza kuhimili vishindo vya uchaguzi ujao.

Wizi unatokea, CAG anatoa ripoti na bunge kupitia na kuikubali lakini polisi wanasubiri KUAMRIWA kufanya kazi yao.



NCHI YA AJABU HII
 
Mkuu kwani hiyo ishakua kashfa kwa waziri? Wengi tunamuona huyo mCCM jembe.
 
jamaa huwa msanii mbele ya vyombo vya habari lakini hakunaga mrejesho.... naweza kukuaibisha mbele ya media badae anakuomba msamaha. anakwambia its politics...
 
Halafu Libunge la Sikonge linakaa kutukana tu CHADEMA. Ovyo kabisa hili jamaa.... SIKONGE Vumbi tutakula sana.

Magufuli jamani, why?

vi. Barabara ya Tabora-Ipole-Konga-Mpanda (KM 359)
 
Huyu jamaa nilimshuhudia kwa macho yangu akichukua kipisi cha Nondo anaikagua barabara kwakuigongagonga, na hakuridhika na kumwambia Mkandarasi aliyeijenga barabara hiyo anampa miezi 6 awe ameibomoa na kuirudia upya na kua na kiwango kinachoridhisha ama sivyo anamtimua na hela arudishe!

Chezea John Pombe weyee!

Acha utani na profession za watu! Hivi barabara inapimwa kama hapo red?
 
Hapa fedha zimeibiwa , ndio maana walishindwa kumweleza CAG walimlipa nani , hivi ukilipa deni unashindwa kusema kuwa nilimlipa fulani kiasi hiki cha fedha ...........

huu ni wizi mkubwa sana kuiba fedha za barabara .....
 
Halafu Libunge la Sikonge linakaa kutukana tu CHADEMA. Ovyo kabisa hili jamaa.... SIKONGE Vumbi tutakula sana.

Magufuli jamani, why?

Ndio ushangae sasa! Halafu anaanza kwa kusema naunga mkono hoja kwa asilimia 1000! Tuna kazi sana aisee!
 
Huyu jamaa nilimshuhudia kwa macho yangu akichukua kipisi cha Nondo anaikagua barabara kwakuigongagonga, na hakuridhika na kumwambia Mkandarasi aliyeijenga barabara hiyo anampa miezi 6 awe ameibomoa na kuirudia upya na kua na kiwango kinachoridhisha ama sivyo anamtimua na hela arudishe!

Chezea John Pombe weyee!

Katika wa2 waadilifu ndani ya ccm pombe ni mmoja wapo na mwakyembe.bt kashfa moja2 iliyo mchafua pombe ni kuuza nyumba za serikali.Itwas authority above
 
Katika wa2 waadilifu ndani ya ccm pombe ni mmoja wapo na mwakyembe.bt kashfa moja2 iliyo mchafua pombe ni kuuza nyumba za serikali.Itwas authority above
Amenunua kivuko cha kutoka dar kwenda bagamoyo, na anajenga kituo eneo la hoteli inaitwa Rungwe Oceanic hotel, unajua hiyo hoteli wamiliki wake ni kina nani? Fanyeni utafiti kabla ya kuwasifia hawa jamaa ni walaji wa kutisha,
 
"Kinana" weka mbali na tembo....ccm ni wazee wakung'oa wananchi kucha na meno.ndugu wananchi tuiogope ccm ni janga la taifa.ccm no majangili ya tembo yakiongozwa na muhamiaji haramu mwenye uraia fake kinana
 
Magufuli ni JEMBE, mtapoteza muda bure kudunduliza skandali dhidi ya huyu jamaa, mbona mawaziri vilaza cc wako wengi tu, nendeni huko mkafunge magoli!
 
Kwenye vivuko amesema hivi,

1. Shilingi bilioni 3 kununua kivuko kitakachofanya kazi kati ya Dar ES Salaam -Bagamoyo

2. Ujenzi wa maegesho mwambao mwa Bahari ya HIndi katika maeneo ya Magogoni na RUngwe oceanic shilingi bilioni 2.5

fedha zote hizi zipo kwenye fungu 4125 na jumla kwenye kifungu hiki zimetengwa bilioni 5.990.....tafakarini
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom