ni akina nani hao walioanza kumchafua?Pole sana pombe wameanza kukuchafua mzee mwaenzangu!!!!!!!!!
ni akina nani hao walioanza kumchafua?Pole sana pombe wameanza kukuchafua mzee mwaenzangu!!!!!!!!!
Huo ni mkwara wa kutaka kuwachomoa watu mlungula mrefu tu, hakuna chochote hapo. We uliona wapi lami inapimwa kwa kuigonga na kipande cha nondo!Huyu jamaa nilimshuhudia kwa macho yangu akichukua kipisi cha Nondo anaikagua barabara kwakuigongagonga, na hakuridhika na kumwambia Mkandarasi aliyeijenga barabara hiyo anampa miezi 6 awe ameibomoa na kuirudia upya na kua na kiwango kinachoridhisha ama sivyo anamtimua na hela arudishe!
Chezea John Pombe weyee!
Huyu jamaa nilimshuhudia kwa macho yangu akichukua kipisi cha Nondo anaikagua barabara kwakuigongagonga, na hakuridhika na kumwambia Mkandarasi aliyeijenga barabara hiyo anampa miezi 6 awe ameibomoa na kuirudia upya na kua na kiwango kinachoridhisha ama sivyo anamtimua na hela arudishe!
Chezea John Pombe weyee!
Kwa hiyo kwako wewe kupotea kwa fedha za Serikali sio kashfa.kwa hiyo kashfa iko wapi hapo? si usubiri ufafanuzi wa waziri wakati wa majumuisho
Kwa hiyo kama ni uzushi ameuzusha CAG, unapoandika tumia akili ndugu.huu ni uzushi, hakuna ukweli wowote hapo...hizi ni takwimu za kupakana matope na hazitafanikiwa
Halima Mdee amesema wazi bungeni kuwa CHADEMA wanamkubali sana Magufuli na Mwakyembe
Hapo unajifurahisha kuandika kitu kisicho na msingi wowote.sure mkuu. kuna watu wanajaribu kumchafua kwa vile inasemekana akawa mgombea urais wa 2015. makandarasi wanamkoma
Unajifariji kashfa kama hii ni kubwa na haitakiwi kujibiwa kisiasa.mtahangaika sana kumchafua pombe lakini itawamwagikia tu na mtanuka wenyewe
Una uhakika na ukiandikacho kwani kwa sasa ameishachafuka na unatakiwa uelewe adui mkubwa wa Magufuli ni CCM wenyewe na sanasana kwenye makundi yao ya kuusaka Urais.ni bora kuhangaika na mengine kuliko kupoteza muda kumchafua mtu asiyechafulika
Vote 98: Ministry of Works
Payment made through dummy project worth Shs.252,975,000,000
The Ministry paid a sum of Shs.252,975,000,000 through unspecified project with dummy code No.4168. It was alleged that this amount was used to pay previous years
contractual liabilities for projects which were implemented by TANROADS. However, we were not provided with a detailed analysis of these liabilities. In addition, the amount paid was not disclosed as a previous years liability in the financial statements.
............
Halafu Libunge la Sikonge linakaa kutukana tu CHADEMA. Ovyo kabisa hili jamaa.... SIKONGE Vumbi tutakula sana.
Magufuli jamani, why?
Mwanzoni alikuwa na msimamo wa maslahi ya taifa ccm wenyewe makamdhibiti sasa kaamua kuungana nao kulitafuna taifa kama wanavyotaka ccm na sasa imedhihirisha ccm haina mtu ambae anasifa hata ya kugombea hata wenyekiti wa serikali za mtaa
Watanzania kwa kupenda matukio, ili suala tungesubiri waziri mwenye dhamana husika alitolee ufafanuzi kwenye majumuisho, kwa sasa ni mapema sana kusema ni kashfa kwa mhe. Magufuli.
Lakini jambo lingine, wapinzani kwa kukurupuka kwao mara kwa mara na kutoa taarifa za kupikwa bila kuwa na uthibitisho kamili na shutuma zao, refer ile shutuma ya Kinana, imani nao tena sina, hata kama ni kweli Magufuli kafisadi, sipo tayari kuamini kambi ya upinzani unless serikali ithibitishe.