fikramakini
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 247
- 60
Watanzania kwa kupenda matukio, ili suala tungesubiri waziri mwenye dhamana husika alitolee ufafanuzi kwenye majumuisho, kwa sasa ni mapema sana kusema ni kashfa kwa mhe. Magufuli.
Lakini jambo lingine, wapinzani kwa kukurupuka kwao mara kwa mara na kutoa taarifa za kupikwa bila kuwa na uthibitisho kamili na shutuma zao, refer ile shutuma ya Kinana, imani nao tena sina, hata kama ni kweli Magufuli kafisadi, sipo tayari kuamini kambi ya upinzani unless serikali ithibitishe.
Red ya kwanza: wapinzani wametumia report ya CAG kuhoji so hakuna kukurupuka mkuu
Red ya pili: Kumbe hata kama ni kweli huto amini? AJABU KWELI!!!!