Magufuli akumbwa na kashfa nzito!

Magufuli akumbwa na kashfa nzito!

Status
Not open for further replies.
Huku si kumchafua.... mtu akisemwa ... muhimu ni je linalosemwa lina ukweli au la.... tuache unazi kwenye mambo ya umma... tupe taarifa za kama anasingiziwa au la... ndo tunataka tusikie hapa..... hakuna aliye MALAIKA...

Mkuu hivi kuna tatizo gani? Subiri usikie majibu yake
 
Mkuu hivi kuna tatizo gani? Subiri usikie majibu yake
Ukisoma taarifa ya CAG ,utagundua kuwa hizi fedha ni zimepotea, pia ukisoma majibu ya Mwakyembe, na yale ya Lukuvi utaweza kuona jinsi kila mmoja alivyokuwa anasema la kwake , huku Lukuvi anasema kuwa hizo fedha haziko committed, Mwakyembe anasema ni kwa ajili ya kuvizia miradi ambayo haipo kwenye mipango wala bajeti, walipoenda kwa CAG wakamwambia kuwa wamelipa madeni, ila wanashindwa kusema ni madeni gani na kalipwa nani ............kuna jambo zito limejificha nyuma ya hii skendali....
 
huu ni uzushi, hakuna ukweli wowote hapo...hizi ni takwimu za kupakana matope na hazitafanikiwa

ripoti ya cag ni uzushi?au sababu aliyeisoma ni upinzani?ebu wewe tupe ukweli kama huu ni uzushi
 
Ukisoma taarifa ya CAG ,utagundua kuwa hizi fedha ni zimepotea, pia ukisoma majibu ya Mwakyembe, na yale ya Lukuvi utaweza kuona jinsi kila mmoja alivyokuwa anasema la kwake , huku Lukuvi anasema kuwa hizo fedha haziko committed, Mwakyembe anasema ni kwa ajili ya kuvizia miradi ambayo haipo kwenye mipango wala bajeti, walipoenda kwa CAG wakamwambia kuwa wamelipa madeni, ila wanashindwa kusema ni madeni gani na kalipwa nani ............kuna jambo zito limejificha nyuma ya hii skendali....

Mkuu mimi nasikia Wizara imekuwa ikidaiwa pesa nyingi na wakandarasi. Ninachofikiri ni kuwa pesa hizo zilitumika kulipa madeni. Hilo la kalipwa nani huenda kuna shida ya kutoelewana kati ya mkaguzi na mkaguliwa lakini mwisho wa siku mambo yatakuwa hadharani na itaeleweka tu lakini pia mwisho wa siku Magufuli atatakasika.
 
Kumbe , wewe hapa unapigania utakaso wa Magufuli na sio ukweli , basi kama ni hivyo ngoja nikuache , kwani madeni mbona ni rahisi sana kuaccount? Unasema mkataba fulani nilikuwa nadaiwa hizi nimelipa hizi hapo shida ipo wapi? Aidha mbona hicho kifungu tangu wakati huo kimepotea kwenye vitabu vya bajeti? Kwani hakipo ndio maana CAG naye kakifuatilia....
 
Mpaka Kieleweke sina maana ya kumtakasa Magufuli ila ninachokuambia ni kwamba mambo yataeleweka tu wakati anatoa haya majibu. Sijui kama Wizara inalipa madeni ama TANROADS ndio wanaolipa madeni. Hivyo nadhani taarifa za madeni zingepatikana TANROADS
 
Last edited by a moderator:
Mkuu sijaona cha maana ulichoandika,unasema kashifa nzito iko wapi sasa kashifa nzito halafu hotuba ya upinzani mbona yoete ya uongo.

kama mliweza kusafirisha twiga wakiwa hai na kuuwa tembo ili mvune meno yao hakika hii aiwezi kuwa kashfa.
 
Kweli wana JF wamekalia majungu tu, hivi ni kwanini wewe Mtoi usisikilize majibu ya Waziri na ndipo u conclude? Au umesahau ule usemi wa ki falsafa unaosema iwapo hujafanya utafiti basi huna haki ya kuzungumza?

Hebu subiri majibu ya majumuisho na ndipo ushutumu. Sasa hata majibu bado ahaaa! Magufuli akumbwa na kashfa nzito!

Usiwe Zombi uliyesahau kuvaa viatu!!!:mmph:
 
Acha mambo yako. Toa data hapa c mipasho hapa. Ina maana barabara za miaka miwili ww huzioni hali yake saa ivi zilivyo!!! Angalia barabara ya Tarime-Sirari ya enzi hizo hadi leo inazidi za MAGUFULI za mwaka jana. Shame at your withyo ur poor argument
Bara bara ya Sirari hadi makutano walijenga wataliano, sio wachina wa Magufli na JK! Hadi leo bara bara ile asilimia kubwa haihitaji ukarabati!
 
Bado haijawa dawa ya kunitenganisha na Mh. wangu. Mimi naamini Makufuli ni Jembe ile mbaya
 
Vote 98: Ministry of Works
Payment made through dummy project worth Shs.252,975,000,000
The Ministry paid a sum of Shs.252,975,000,000 through unspecified project with dummy code No.4168. It was alleged that this amount was used to pay previous year’s
contractual liabilities for projects which were implemented by TANROADS. However, we were not provided with a detailed analysis of these liabilities. In addition, the amount paid was not disclosed as a previous year’s liability in the financial statements.

Ina maana Magufuli hakuwa na majibu kwa Vijana wa CAG, ila hapa bungeni atapata majibu maana kule kwa CAG hakuna siasa ila bungeni ni mahala pake

halafu tunasema tuna Raisi.
 
'Tell me your friend I will tell you who you are' Huwezi kuwa msafi ukawa na moyo wa kukaa CCM. Wote ni wezi tu na waganga njaa.
 
tusubiri ufafanuzi maana mmmmh hili nalo limestusha sana.
 
Huyu mheshimiwa nilikuwa namkubali sana kati ya mawaziri wa ccm lakini hili linanipa wasiwasi juu ya mawaziri hawa. Ila alianza kuchemka siku alipoenda kumnadi odinga na akaangushwa na uhuru kenyatta.
Labda tusubiri maelezo zaidi.
 
mtahangaika sana kumchafua pombe lakini itawamwagikia tu na mtanuka wenyewe

mkuu kwa nini usikubali tu kwamba hata Magufuli ni mpigaji tena anakula kisawa sawa kuliko kujifanya unataka kufa na tai shingoni??
 
Bado haijawa dawa ya kunitenganisha na Mh. wangu. Mimi naamini Makufuli ni Jembe ile mbaya

Jembe gani wakati kakwapua mabilioni ya kodi za walalahoi hilo gamba lako weka pembeni tujadili utaifa kwanza..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom