Vijana wa BAVICHA bana,
Kwa uzembe na ujinga wa mawaziri vivuli wanaodhaniwa ni BRIGHT BEYOND IMAGINABLE katika vijiwe vya BAVICHA eti leo ndiyo wanakurupuka na kuwatumia vipepereshu waweke hapa JF kusema kuwa Mh. Magufuri akumbwa na kashifa nzito.
Hii report ilishatua mezani kwa Rais tangu tarehe 28/3/2013 na kama sheria ilivyo, within seven days ikawa iko bungeni na soft copy zilikuwa kwenye mitandao toka 10/04/2013.
Kwa sheria ilivyo, serikali hupewa report na muda ili kutafuta majibu ya changamoto na matatizo yaliyojitokeza katika report kabla ya bunge kuanza kuijadili wizara husika.
Kaa mkao wa kula na uachane na umbea bali subiri majibu ya waziri Magufuri na siyo kukurupuka wakati unachokisema kiko zaidi ya mwezi kwa wananchi wanaojishughulisha na kusoma makabrasha mbali mbali.