Nimekuwa nikimtafakari sana Jk alivyoshindwa kuinua uchumi wa Nchi na badala yake uchumi wa Watu mmoja mmoja ndio uliokuwa.
Sasa kinachoendelea Mh Magufuli amekuta System ileile ambayo ilimkwamisha Jk na anaendelea nayo.
Kinacho nidhibitishia kuwa system ya Jk bado iko kazini, Ni kwamba Jk aliendelea kuteua watu na kubadilisha wengine wakati amekaribia kuachia Madaraka.
Hicho ndicho kinachoniaminisha kuwa Jk bado yuko kazini.
Ushauri wangu kwa Magufuli ni kwamba ahakikishe anaondoa system yote ya Kikwete kwani hiyo ndio itakayomkwamisha ktk utendaji wake.
Mh Rais tengeneza system yako ambayo itaendana na Speed yako.