Wewe inaelekea ulifaidika na system ya Kikwete.Mtaipata tu.
Eti System ya Jk ni mbovu aiondoe wakati ndio iliyofurusha Maharamia wa Lowassa na kusambaratisha leo Mnaiogopa mnajifanya eti aivuruge ili mpumue, magufuli na jk hawakukutana Barabarani na hamtofanikiwa kuwatenganisha kama mlivyojaribu kwa Mwinyi na Mkapa, mkapa na jk.