gogo la shamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 6,669
- 2,165
yote yanaweza kufanyika lakini ni lazima RZ1 apewe uwaziri
Lakini yeye mwenyewe ni sehemu ya system ya JK. Kwa hiyo naye ajiondoe au?
Atatumia miaka mitano kuifuta system ya JK.
Kama alivyo fanya jk kuifuta system ya Lowasa!! Lakini kuna masalia kibao yalibaki!! kuifuta system ya jk n kitu ambacho hakiwezekani
Hahaa. Maana yake nini mkuu? Bila shaka watz iq yao ni kama ya kuku.. hahaa. Jf bhana, safi sana. Sijutii kuwa member