boyfriendy
JF-Expert Member
- Sep 9, 2012
- 1,988
- 1,034
kuna post imedai kuwa magufuli kakimbia mahojiano BBC jana tarehe 22 oct, ukweli ni kwamba hata mahojiano ya lowassa na BBC yalifanyika muda mrefu tu uliopita ilibaki kurushwa tu ndo yakarushwa tarehe 21 juzi,hata mahojiano ya magufuli yalisharekodiwa zamani kuna siku yatarushwa, tusipotoshe umma.
.. mahojiano hayo yana uzito gani kufananisha na mdahalo ambao wote hawakuhudhuria? Nilidhani mdahalo ungetupa mwanga zaidi juu ya dira na sera zao.. Kwangu mimi tunaongea tusilolijua.... na kwamba definition ya "lost cause" au ipi ni w"on cause" unapaswa utueleweshe ili kuchagua kilicho bora ... Tuache usanii na kushabikia personal brand badala ya system na TAIFA KWANZA!!!maghufuli ni zigo la nguvu ni mgombea wa kwanza wa Urais katika historia ambaye hajawai fanya mahojiano ya one to one na mhandishi yeyote wa habari majuzi aliwakimbia CLOUDS ambao ni ccm wenzake he is a lost cause
Chezea ngeli wewe??? Kukimbia muhimu.
bila kupewa maswali ayakariri unafikiri atakubali?Ikiwa ni siku moja baada ya Rais mtarajiwa Edward Lowassa kufanya interview ya BBC leo ilikuwa ahojiwe mgombea wa CCM.
BBC waliahidi hivyo jana na hata leo magroup yote ya whatsapp taarifa zilisambazwa kuwa Magufuli atafanya interview na BBC lakini Magufuli amekimbia.
Wewe hujamsikia yule mdada Zuhura Yunus wa BBC akitamka hilo kuwa watamhoji Magufuli kesho yake baada ya mahojiano na Lowassa?Mtoa mada inafanya kazi BBC maana Sijaona bandiko LA BBC lililosema kuwa Leo zamu ya Magufuri just assumptions from people.
ACHA UONGO!!! Magufuli alikimbia mdahalo kwasabb anajua kuna mengi ataulizwa kisha ashindwe kujibu,kwa mfano kuhusu KATIBA INAYOPENDEKEZWA NA WANANCHI....Pia lugha ya kiingereza ni tatizo kubwa kwake.
Hizo ni propaganda za kitoto kabisa....
EL alishajieleza mara nyingi sana kuwa Richmond ni ya JK na akasema kuwa yeyote nwenye ushahidi kuwa Richmond ni yake amburuze mahakamani.
Sasa inashangaza kila siku humu JF mnamuhusisha Edo na Richmond lakini hamthubutu kumburuza mahakamani!
Subirini tu Jumapili muone Umma wa watanzania watakavyotumia 'vichinjio' vyao kukingo'a chama dola kilichoishiwa pumzi ya kuendelea kutawala nchi hii.
ukisema hivyo unakosea, hivi kwa mtazamo wako unaona hao ccm ni wasafi
Bora Magufuli ambaye hajahojiwa kuliko mzee wenu aliyesema atakwenda kuchunga ng'ombe akishindwa uchaguzi!!! Akumbuke hatutaki akachunge ng'ombe, sie tunamtaka ashike nafasi ya katibu mkuu